Panapofuka moshi panaficha moto...

Lissu aliwaambia lakini mkaweka nta masikioni.

Lissu alisema watesi wakimalizana na magwanda watageukiana wao kwa wao (magamba kwa magamba).

sasa ndiyo hii, magamba mshaanza kulalamikiana na walahi lazima mtoane roho mwaka huu!
 
Haifiki hiyo report kwa namna yeyote ile
 
Kwa kweli kuna moto ila uko chini chini juu kunaonekana moshi tu au kusiobekane kitu kama upepo utakuwa mwingi na kutokana na ukaribu wa mtazamaji na chanzo cha moto.
 
🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐
 
hautabiliki = hautabiriki

Umeuona moto upi na wapi? Maana moshi kila upande.

Spika na CAG!

Ndege ukarabati bil 13, wananchi walipohoji tukasema ni bil 6 mlitunukuu vibaya. (Hapa CAG bado hajapita).

Dhahabu Mwanza (kwamba zilikuwa zinatoroshwa kwenda Rwanda).

Sitautaja wa UDOM maana najua lazima utakuwa umeuwaza pia.
 
CAG hata akiwa na Atomic Bomb. Nani wa kumtetea? Nani wa kumsikiliza?

Niliandika haya: Hakuna wa kumtetea Assad, si serikalini si upinzani... - JamiiForums
 
Nyoosha tu wala usiogope ili tuuelewe uwo moshi au moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni miongoni mwa wanafiki wakubwa kutokea Tanganyika huru.
Hakuna cha moshi wala baba yake moshi.
Kwa nn moshi uonekane wiki hizi tu?
Mjipange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika na CAG!

Ndege ukarabati bil 13, wananchi walipohoji tukasema ni bil 6 mlitunukuu vibaya. (Hapa CAG bado hajapita).

Dhahabu Mwanza (kwamba zilikuwa zinatoroshwa kwenda Rwanda).

Sitautaja wa UDOM maana najua lazima utakuwa umeuwaza pia.
Wa CAG nikiandika hivi: Hakuna wa kumtetea Assad, si serikalini si upinzani... - JamiiForums

Wa dhahabu nilianza kutoa darsa zuri sana, nikasitisha, kwani niliona darsa limewazidi kimo. Nitaliendeleza kutokana na maswali ya wanaolifatilia, kila mmoja kwa kiwango chake, pitia hapa: Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake - JamiiForums

La CAG niliona moto uliwashwa siku aliyoteuliwa Ndalichako kuwa waziri wa elimu. Mtu ambae Waislam walimkataa kwa maandamano alipowadhulumu alipokuwa mkubwa wa mitihani.

Moshi kila upande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…