Panapofuka moshi panaficha moto...

Panapofuka moshi panaficha moto...

Pasipo na moto hapana moshi.

Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.

Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?

Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?

Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Bibi kweli umezeeka ,huu moshi mbona wenzio tulianza kuusikia harufu yake tangu Novemba 5/2015 na sasa moshi umeongezeka.Jambo la ajabu hapo ni kwamba huu moto uanafukuta kwa miaka 3 sasa ni moto wa aiana gani!Pole sana bibi naona machozi ya kutoka kwa huu moshi
 
Pasipo na moto hapana moshi.

Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.

Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?

Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?

Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
GT mbona unatuchanganya tuweke wazi
 
Aisee Dada yangu faiza sasa nakuamini kipindi cha nyuma uliyokuwa unayasema ulikuwa sahihi 99% ingawa nilikuwa nakupinga sana na kwasasa pia uko sahihi

Huu moshi unaofuka moto wake ni wa maranda siku akitokea yeyote akamwagia petrol tutatafutana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pasipo na moto hapana moshi.

Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.

Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?

Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?

Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Kuna moto wa gesi ambao huwaka bila moshi ignition yake haihitaji mbwembwe za kiberiti moshi wake hadi kuungua kwa kitu nahitaji hadidu zaidi kukuelewa maana nahisi kama kaharufu flani hivi cha udini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pasipo na moto hapana moshi.

Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.

Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?

Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?

Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Acha uteketeze kila kitu kwani sisi unatuhusu nini?
 
kwanza ni moto wa kuni, petroli au wa gesi tu.
 
Nchi hii imeshakuwa Muflis, hakuna cha Bunge, hakuna cha Mahakama, hakuna cha Executive. Wote wapo katika Roaming mode hakuna anayejua exactly nchi inahitaji nini, twende vipi na kwa wakati gani.

Bunge linaiogopa serikali
Mahakama inaonyesha kila dalili za kuendeshwa kwa remote control
Serikali yenyewe inajiendea tu!

Hiki kizazi cha sasa tukubali tu kuwa hatuna chetu, labda Kizazi cha miaka 50 ijayo ndo kitakuwa serious na mambo ya nchi. Lakini sisi ni wachache mno tunaojua tunachokihitaji kama nchi, majority wapo Usingizini na Viongozi wetu wanawaza kwanza "Ulua" wao kabla ya "Ulua" wa nchi matokeo yake tunapiga MARKTIME TU, Hatujui tulipo hatujui tunapokwenda!!.

We are wondering in the desert of Ignorance, Hipocricy abuse of Power and short sightedness!
 
Back
Top Bottom