Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,957
- 183,568
Kwani tatizo hapo liko wapi?Baba nmenunua mi pringles,pizza,mi juice,crackers,vingne nmesahau,baga za subway zile,mi apple,daah ila sio ishu,..na bila kusahau kfc,..nmekiona leo
Kwani tatizo hapo liko wapi?Baba nmenunua mi pringles,pizza,mi juice,crackers,vingne nmesahau,baga za subway zile,mi apple,daah ila sio ishu,..na bila kusahau kfc,..nmekiona leo
[emoji23] [emoji23] hivi unajijuaga kuwa wewe ni chiziha ha jiongeze bembeleza mtoto alale funga mgongoni muimbie atalala tu
Alivyo mtundu mtoto yule.....acha kabisa ny*ge zote huwa zinaishaha ha jiongeze bembeleza mtoto alale funga mgongoni muimbie atalala tu
ha hahha pole mkuuAlivyo mtundu mtoto yule.....acha kabisa ny*ge zote huwa zinaisha
Sukari Yenu
hahaha mke mwenza we ndiyo unaniambia
[emoji23] [emoji23] kutokujua uchizi wako nao pia ni uchizi. Nambie uko poa?hahaha mke mwenza we ndiyo unaniambia
Umenena vyema mkuu mm pia nina experience na hao watu kama wawili, akili zao zimetulia mno, pia watafutaji sana.Narudia tena kusema hawa "Single mother" wengi wao ni wanawake wazuri sana.
Wengi wamekomaa kiakili na wanajua maisha. Ni bora mara 1,000,000 kuwa na Single mom kuliko visichana vilivyochoropoa mimba za kutosha na hawajui maisha zaidi ya kulialia.
Technic ya kuishi vizuri na hawa na kumjali mwanae.
ha ha ha nipo pouwa sana sijui wewe?[emoji23] [emoji23] kutokujua uchizi wako nao pia ni uchizi. Nambie uko poa?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bora wangemlaza uvunguni.Kuna mmoja alileta mrejesho hapa baby alininuliwa kiepe na fanta wakiwa guest house, baada ya msomi baby alilala wakubwa wakaanza yao.
Kabla jamaa hakafika kileleni mtoto amepiga chafya Khan mstuko ilibidi akusanye nguvu upya.
Uzur wake huyu dada yaan hua anafunguka mambo,yaan jins ya kuish maisha,..yan naweza kukaa nae masaa ma4 hua hatukaukiw na maongez,yan ni burudan kiukwel,ila sasa ndo routine yake hailewek,Narudia tena kusema hawa "Single mother" wengi wao ni wanawake wazuri sana.
Wengi wamekomaa kiakili na wanajua maisha. Ni bora mara 1,000,000 kuwa na Single mom kuliko visichana vilivyochoropoa mimba za kutosha na hawajui maisha zaidi ya kulialia.
Technic ya kuishi vizuri na hawa na kumjali mwanae.
Wala usitishwe mkuu, kama ni single mother aliyetulia kuwa nae tu.Uzur wake huyu dada yaan hua anafunguka mambo,yaan jins ya kuish maisha,..yan naweza kukaa nae masaa ma4 hua hatukaukiw na maongez,yan ni burudan kiukwel,ila sasa ndo routine yake hailewek,
bado sijapata ya kukupa wewe
Tatzo routine za ma singo maza hazisomek,..unaeza mtoa a shop,.hvo vtu anavonunua,tena wala sio vya bei..atanunua mwiko,scrabber za sufuria,mara anunue ketchup,kamaliza,..unamwambia chkua wine bas,ndo anachkua,..kiukwel ma singo maza wanajua maisha,hawakomoiha ha haha sasa unataka amignore mwanawe acheze na wewe? siku nyingine mwambie aje mwenyewe hah ahaha
sawa mkuuTatzo routine za ma singo maza hazisomek,..unaeza mtoa a shop,.hvo vtu anavonunua,tena wala sio vya bei..atanunua mwiko,scrabber za sufuria,mara anunue ketchup,kamaliza,..unamwambia chkua wine bas,ndo anachkua,..kiukwel ma singo maza wanajua maisha,hawakomoi