Pale unapoandaa kidate na single mother halafu akaja na mwanae

Kumbe uwa hampend et

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kwa mtu muungwana huwezi ona tabu kugharamika ama kumjali mtoto wa mpenzi wko ila nlichokielewa mm(km niko tofauti mtoa mada atanisahihisha) huu ulikuwa mtoko maalum kwa mambo yetu yle cdhani km jamaa alikuwa na ratiba ya kwenda kula pizza kila jambo na wakti wke cku ya kwenda kula bata tu kawaida hamna tabu njoo na mtt tuenjoy ila cku yetu ya kikubwa waja na mtt kufanya nn? labda km alikosa wa kumuachia ila inakera!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Huwa inanikuta somewhere.....unakuta saa 4 mtoto hajalala namimi nataka kula tunda. Siku hzi hata siendi kulala kwake.

Sukari Yenu
 
Hapana kwa mtu muungwana huwezi ona tabu kugharamika ama kumjali mtoto wa mpenzi wko ila nlichokielewa mm(km niko tofauti mtoa mada atanisahihisha) huu ulikuwa mtoko maalum kwa mambo yetu yle cdhani km jamaa alikuwa na ratiba ya kwenda kula pizza kila jambo na wakti wke cku ya kwenda kula bata tu kawaida hamna tabu njoo na mtt tuenjoy ila cku yetu ya kikubwa waja na mtt kufanya nn? labda km alikosa wa kumuachia ila inakera!

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly
 
Ndo hvo,..katoto kake kazuur n kamenipenda,namii badae moyo ukafunguka ingawa skupenda iwe vle leo,maana kuna mambo tulishindwa kuongea,hata kushikana shikana ilikua tabu,nilikua nalishwa ice cream tuu
Hhhhaaaaaa msaidie
 
Kila mtu ana vipaumbele vyake linapokuja suala la mahusiano

Kila mtu ana vitu ambavyo anapenda au hapendi kwenye mahusiano mfano mimi sipendi mtu akiniandikia sms kwa herufi kubwa namuacha...utasema mtu kama huyo hana haki ya kuwa na mahusiano mengine kisa ameachwa na mimi?

Vilevile kwenye mahusiano kuna mambo mengi sana...kupo kuchokwa na mtu uliyenaye, inaweza kuwa kapata chuma kuliko yeye, au mwanaume bazazi tu kila siku anataka kuona chiu mpya...zaidi ya yote no body is perfect, tukisema walioachwa hawana haki ya kuwa na mahusiano mengine pengine hata wewe hutabaki salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli,

Na pia wapo wale ambao wamekuwa single mother kwa kubakwa ila hawakupenda.
 
Narudia tena kusema hawa "Single mother" wengi wao ni wanawake wazuri sana.

Wengi wamekomaa kiakili na wanajua maisha. Ni bora mara 1,000,000 kuwa na Single mom kuliko visichana vilivyochoropoa mimba za kutosha na hawajui maisha zaidi ya kulialia.

Technic ya kuishi vizuri na hawa ni kumjali mwanae.
 
Back
Top Bottom