kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,198
Ni mwanamke ambaye amezalishwa mtoto na anaishi pekee yake bila mwanaume aliyezaa naye inawezekana kwa sababu mwanaume ( Mme) ama wameachana au mwanaume wake akifariki dunia hivyo jukumu la kulea mtoto(watoto) lipo chini mama pekee yake na ndiyo mwangalizi wa mtoto( au kwa msaada wa watu wengine) pia wapo ma single fatherHivi mnapozungumziaga single mother mnamaanisha nn kwani kunakuwaga na double mother au triple mother?
Sent using Jamii Forums mobile app