Pale unapoandaa kidate na single mother halafu akaja na mwanae

Kwani tatizo hapo liko wapi?
Tatzo wala hakuna,hvo tuvitu twa kununua ni nothing kwangu,ishu ilikua nije kupewa papuch,sasa nkashangaa kabadir gia hewan,siku ikageuka kua picknik
 
Ukitaka kumfaidi single mother, jikite zaidi kwa mtoto wake na usiwe na haraka. Siku akiamua utafaidi.
 
Baba hii ikikutokea hakuna namna,..maana singo maza chuma cha ukwel kama hakija zaa,..sasa kujitutumua uonekana mwanaume anaejal,lazma ukubal chochote anachotaka mtoto,...nimenunulishwa maputo leo,..mtoto had face painting aisee,ikabid namie ni act kama baba,huez kwepa etii
Hahahahahahhahaaa komaa na siku nyinginee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatzo routine za ma singo maza hazisomek,..unaeza mtoa a shop,.hvo vtu anavonunua,tena wala sio vya bei..atanunua mwiko,scrabber za sufuria,mara anunue ketchup,kamaliza,..unamwambia chkua wine bas,ndo anachkua,..kiukwel ma singo maza wanajua maisha,hawakomoi
Kwahiyo unataka kuchunwa si ndio!!!
 
Kuna mmoja alileta mrejesho hapa baby alininuliwa kiepe na fanta wakiwa guest house, baada ya msomi baby alilala wakubwa wakaanza yao.
Kabla jamaa hakafika kileleni mtoto amepiga chafya Khaaa mstuko ilibidi akusanye nguvu upya.
Huyo mama nae hana adabu kabisa!!
 
Yaani mkuu pale ungejiweka karibu na mtoto sana, ungepata mengi na usiyoyatarajia toka kwa huyu "single mama". Soo much more. I love you my single mama na mwenetu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kumfaidi single mother, jikite zaidi kwa mtoto wake na usiwe na haraka. Siku akiamua utafaidi.
Hili pia nmeliona,maana jana kuna mda nilikua napewa mahaba flan ambayo sjawai pewa nayeye,tena mbele ya mwanae,kama kulishwa,kufutwa mdomo na tishu,.kushikwa shikwa,.mda wa kuagana ndo ulikua mtam,nkasema huyu udhaifu wake uko kwa mwanae,..
 
Ukitaka kumfaidi single mother, jikite zaidi kwa mtoto wake na usiwe na haraka. Siku akiamua utafaidi.
Ndiyo maaaana, shost ni single mother ana boy wake wa 9 yrs. Basi kuna jamaa anapiga hesabu, mtoto ni Man United wa damu basi jamaa amenunua shuka na pazia za Man United kutoka Turkey na amwekea mtoto flat screen chumbani na king' amuzi cha sports juu.
 
Bora hiyo kuliko anayekuficha habari za mtoto mpaka umeingia kingi unabumbulukia mtoto yuko mgongoni mwako.

Sent from my Kimulimuli
 
Back
Top Bottom