Pale unapoandaa kidate na single mother halafu akaja na mwanae

Pale unapoandaa kidate na single mother halafu akaja na mwanae

hahahaha si ndio mazoezi ya kuwa baba boss
 
Wanawake mwogopen Mungu.Wakuu kama kichwa cha habar kisemavyo,yamenikuta haya leo.ikabid tuu twende merybrown,pizza hutt,na beach,..singo maza kanisahau ,yeye ni kucheza na mwanae tuu mi niko kwenye gar...ewe maulana,.
Hivi mnapozungumziaga single mother mnamaanisha nn kwani kunakuwaga na double mother au triple mother?
 
Kama ni chuma cha ukweli kwa nini kaachwa???
Kila mtu ana vipaumbele vyake linapokuja suala la mahusiano

Kila mtu ana vitu ambavyo anapenda au hapendi kwenye mahusiano mfano mimi sipendi mtu akiniandikia sms kwa herufi kubwa namuacha...utasema mtu kama huyo hana haki ya kuwa na mahusiano mengine kisa ameachwa na mimi?

Vilevile kwenye mahusiano kuna mambo mengi sana...kupo kuchokwa na mtu uliyenaye, inaweza kuwa kapata chuma kuliko yeye, au mwanaume bazazi tu kila siku anataka kuona chiu mpya...zaidi ya yote no body is perfect, tukisema walioachwa hawana haki ya kuwa na mahusiano mengine pengine hata wewe hutabaki salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ulikua unapendaje? Fanya kama umetoa sadaka kwa huyo mtoto labda alikosa wa kumuachia
Ndo hvo,..katoto kake kazuur n kamenipenda,namii badae moyo ukafunguka ingawa skupenda iwe vle leo,maana kuna mambo tulishindwa kuongea,hata kushikana shikana ilikua tabu,nilikua nalishwa ice cream tuu[emoji23]
 
Kumbe uwa hampend et

Sent using Jamii Forums mobile app
Skutegemea,...bora angenambia nakuja na mtoto,sasa mim nime jisexisha,namfata naona yuko na mtoto,..hakuna namna,ilibid niwe mpole tu.ila nili enjoy badae,katoto kake kazur kamechangamka,..the joy of a child si mchezo,nili enjoy badae
 
hivi huwa mnalazimishwa kudate na hao single maza mpaka muwaponde hiv?
Kuna singo maza vyuma huwez chomoa,..ila routine yao sasa ndo si ya kawaida,..unaenda nae shopping unashangaa ananunua mwiko,au vyombo vya ndan,hahahah,glass
 
Dawa ya single mama ni kumjali mtoto wake, hatofurukuta.
Usipomjali mtoto wake atatafuta mwingine wa kumjali.
Mnunulie mtoto vizawadi vidogodogo, nguo, kupiga nae stori na safari za hapa na pale.
Awesome treat
 
Back
Top Bottom