Baba nmenunua mi pringles,pizza,mi juice,crackers,vingne nmesahau,baga za subway zile,mi apple,daah ila sio ishu,..na bila kusahau kfc,..nmekiona leohahahaha polee sana, niaje ulivyokuwa unajifanya unampenda sana mwanaye? mtoto aking'ang'ania kitu kidogo tu unajiongeza [emoji23][emoji23]
Baba hii ikikutokea hakuna namna,..maana singo maza chuma cha ukwel kama hakija zaa,..sasa kujitutumua uonekana mwanaume anaejal,lazma ukubal chochote anachotaka mtoto,...nimenunulishwa maputo leo,..mtoto had face painting aisee,ikabid namie ni act kama baba,huez kwepa etiiHii itanitokea soon tiririkeni nipate technics
haha polee mkuu..., mtaka cha uvunguniBaba nmenunua mi pringles,pizza,mi juice,crackers,vingne nmesahau,baga za subway zile,mi apple,daah ila sio ishu,..na bila kusahau kfc,..nmekiona leo
Akija gheto na mtoto inakuajeBaba hii ikikutokea hakuna namna,..maana singo maza chuma cha ukwel kama hakija zaa,..sasa kujitutumua uonekana mwanaume anaejal,lazma ukubal chochote anachotaka mtoto,...nimenunulishwa maputo leo,..mtoto had face painting aisee,ikabid namie ni act kama baba,huez kwepa etii
Kama ni chuma cha ukweli kwa nini kaachwa???Baba hii ikikutokea hakuna namna,..maana singo maza chuma cha ukwel kama hakija zaa,..sasa kujitutumua uonekana mwanaume anaejal,lazma ukubal chochote anachotaka mtoto,...nimenunulishwa maputo leo,..mtoto had face painting aisee,ikabid namie ni act kama baba,huez kwepa etii
We ulikua unapendaje? Fanya kama umetoa sadaka kwa huyo mtoto labda alikosa wa kumuachiaBaba nmenunua mi pringles,pizza,mi juice,crackers,vingne nmesahau,baga za subway zile,mi apple,daah ila sio ishu,..na bila kusahau kfc,..nmekiona leo
Lakin hukufurahia eeBaba hii ikikutokea hakuna namna,..maana singo maza chuma cha ukwel kama hakija zaa,..sasa kujitutumua uonekana mwanaume anaejal,lazma ukubal chochote anachotaka mtoto,...nimenunulishwa maputo leo,..mtoto had face painting aisee,ikabid namie ni act kama baba,huez kwepa etii
AiseeWe ulikua unapendaje? Fanya kama umetoa sadaka kwa huyo mtoto labda alikosa wa kumuachia