Palamagamba Kabudi, Unaivuruga Nchi....!

Palamagamba Kabudi, Unaivuruga Nchi....!

Hatuna waziri anaitwa Kalamagamba kosa la kwanza

Hoja yako haina mashiko na umeandika hayo kwasababu Avatar yako inathibitisha ulichokiandika na maneno ya Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi!!!

Acha umagharibi katika kufikiri !!

Nikuambie tu machache kuhusu Unakokupenda huko ...nchi ya Kongo DRC inaweza ku supply HEP Barani Africa kwa 22 asilimia ,,ina vyama vya siasa vinakaribia 200 na ushehe na ndio miongoni mwa nchi ktk Afrika zinazojiita Democratic lakn kiuhalisia hakuna demokrasia ....huu n wimbo ambao wazungu wameuleta tunauimba hadi leo mbaya zaidi hata watoto wadogo wameanza kuuimba yani uhuru uhuru uhru uhuru uhuru na kusahau mambo ya msingi,,,, si kwenye kutenda ,kufikiri kuabudu na hata kwenye utamaduni ndio maana leo kote uendako tunaangalia movie za kigeni na wewe kuutukuza umagharibi kwa kuona kujiita hvyo ni kuwa civilized !! Afrika hakuna cha kujivunia sasa bali ni kupigana majungu tu na kubezana sisi kwa sisi kwa kutumia sindano za hawa jamaa ....pata muda ujifunze ya Libya na maisha yao hivi leo.....Hakuna kitu kibaya iwe katika haki za binadamu ama kidemokrasia kwa Afrika kulaumiwa!!! Yote haya walitengeneza wao kwetu na sasa sisi tulioathiriwa sasa tumesaahau kw kisa tu wamekuja kivingine !!

Amka!
Mkuu kama unaamini nchi za ulaya na Marekani zimeendelea,ni nchi za ulimwengu wa kwanza,basi hatuna budi kujifunza kwako.Naamini ni mwendawazimu anaejifunza na kuiga mambo ya walioshindwa.Ila watu wote wenye akili huwa wanajifunza kwa waliofanikiwa,huwa wanawafanya waliofanikiwa kuwa role model wao.Am sorry sorry kwa Tanzania na watawala wetu wa awamu ya tano
 
Profesa yupo sahihi.

Sio muda wa kupigiana magoti na kulamba viatu vya mabeberu
Sasa tunameshindwaje kuendelea na ujenzi wa barabara ya morogoro Dar chalinze? kuahirisha maana yake si kwamba tunasubiri rais ajaye anapiga magoti pesa itolewe ujenzi uendelee huku wajinga ninyi mkimshangilia?Watu tunaichukia ccm kwa sababu ya ujinga wetu huu.Hamjulikani ninyi ni baridi au moto
 
Daaah.. Umeishia hapo kufikiri? Kwa maana hiyo kwasababu mabeberu wanachangia asilimia kubwa ktk budget yetu ndio watuburuze watakavyo? Na hali hiyo mwisho wake hadi lini? Au ndio haina mwisho na haina haja ya kuwa na mwisho? Hv pia unajua km TZ ni nchi huru haipaswi kuingiliwa mambo yake na tamaduni zake za ndani? HAKUNA MSAADA WA BURE!
Hebu acheni kuwaomba misaada na kuwaomba mikopo tuone mtakavyoishia kula viwavi jeshi na mapapai pori.
 
Hakuwa anaongea na wazungu alikuwa anaogea na Wabunge wa Tanzania. Wabunge wa upinzani ambao toka siku ya kwanza ya kuwasilisha bajeti yake wanamzodoa. Amewambia jinsi alivyoenda "Jiniva" na kuvunja vunja umbeya wa barua zao walizokuwa wanatuma kupendekeza tunyimwe misaada sababu "Serikali inakiuka haki za binadamu". Anawambia vinoko vijana wa leo wasiojua dunia ilikotoka kuwa nchi za magharibi ndizo wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu sio Tanzania. Wanatakiwa wajue Uhuru wowote ktk haki za binadamu UNAMIPAKA na kawaeleza hao wanaowasujudia na wamemuelewa[emoji2][emoji2]. Na wakiendelea na kelele zao zitajibiwa kwa nguvu ileile wanayotumia wao [emoji38][emoji38]
Ni wendawamu kuongelea mambo waliyoyafanya wazungu miaka ya 1800 kama sababu ya kuhalalisha uovu wa serikali yetu kufanywa leo.

Miaka 1800, huku kwetu machifu walikuwa na uwezo wa kufanya chochote ikiwa ni pamoja na kuua binadamu wengine ili damu zao ziwe sadaka kwa mizimu.

Kabudi kila mara amebakia kuongelea historia, kama anapenda sana historia, angemwomba Rais ambadilishe, apelekwe Wizara ya Utamaduni.

Magamba hana msaada kwa Taifa hili kwa siasa za uchumi wa Ulimwengu wa leo.
 
Hawa wazee wanalitakia nini hili Taifa.. Vijana wa sasa hivi hawawezi kukubali kuvaa viraka kama wale wa 80'S..Waziri kuwa makini ya Sudan na Zimbabwe sio movies za Hollywood
 
ni mwenzetu kweli? sidhani kama ndio aliyomabiwa kwenye dirisha dogo
 
Wagogo ni watu wa kujipendekeza na wakishapata wanabweteka. Hata mwenzie Ben Pol kafichwa na jimama nchini kenya kasahau kazi yake
 
Hiyo nafasi inamfaa Mahinga tu kilicho mponza Mahinga ni kuwa siyo mtu wa media halafu siyo mtu wa kukurupuka bila kufanya tathimini....
Naunga mkono hoja kiongoz.Jamaa Mahiga yuko makin sana na kumkuta kwenye media kwakwel lazima ufanye kazi.Haonekan onekan
 
Demokrasia ni pamoja na kuheshimu haki za binadamu, Utawala wa sheria, uchaguzi huru na wa haki, uhuru wa mhimili,n.k, unamaanisha mambo haya hayawezekani katika nchi maskini? Unamaanisha hawa 'watoto wa dotcom' kama kina Lissu Wana wazimu kutaka mambo haya?
Braza, hawa watoto wa dotcom hawawez kuelewa, hawajui kuwa hicho kitu kinachoitwa demokrasia ni "dhahania" ni kitu kisichowezekana kwa nchi masikini.
Watoto wa shilawadu ni kuwaacha tu
 
Kuna msaada usio na masharti?
Kuna wapiga debe wanaojipendekeza na kuwaandikia wazungu umbea wakilenga kushinikiza Serikali kunyimwa misaada. Na wakisikia usitishwa misaada wanajiona wameshinda na kuanza kusherehekea. Kabudi anawaambia misaada kama hiyo yenye masharti wacha na iende!!
 
Tusimlaumu kabudi. Tulikosea wenyewe 25/10/2015.
haya ni matokeo ya kura zetu.
Kabudi yuko sahihi.
Hatukukosea sisi, ila alikosea Kikwete na ndipo ilipodhihirika kuwa sisi Waislam ni wanafki namba moja. Utamfanyia kila kitu lakini moyoni mwake kumbe anakuwazia vingine. Kwa jinsi Kikwete alivyotendewa mema na Lowasa hakuwa mtu wa kumgeuka hata angewekewa kisu shingoni. Kikwete ametufundisha mengi sana, lakini nashukuru na yeye amekuwa bendera fuata upepo. Ila iko siku atakuja kutoa hesabu hii ya mateso juu yetu.
 
Leo hii nchi nzima kuna tohara bure 100% USAID, ujenzi wa venue nyingi ktk gvt universities ni Pesa za EU members, US etc, maofisi ya serkal yamejaa computer za msaada wa JICA, ambulance karibu 80% ni misaada, chanjo za watoto ni misaada ya Ariel Glasser, ukienda mashuleni kuanzia vitabu, majengo, pikipiki za ma MEKI ni UKAID, takwimu nyingi na madodoso yanafanyika under donors money, HALAFU UTAKUTA JITU KUBWA LINAPAYUKA ATI HATULAMBI VIATU VYA MABEBERU! HUWA NAWAZA KWAMBA HAWAYAJUI HAYA AU WANAMDANGANYA NANI? UMEME WA REA NI PESA ZA MILLENIUM CHALLENGE ZA US HAO MABEBERU WASIOLAMBWA VIATU NI WEPI? Kama hadi mabomba ya sindano tunaagiza basi viongozi wawe na staha ili tuvuke economic stages flani za kujiweza. Kama pesa za kutahiri tunasubir USAID halafu unajitutumua mabeberu huwataki! Hatuna jeuri hiyo.
 
Hatuna waziri anaitwa Kalamagamba kosa la kwanza

Hoja yako haina mashiko na umeandika hayo kwasababu Avatar yako inathibitisha ulichokiandika na maneno ya Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi!!!

Acha umagharibi katika kufikiri !!

Nikuambie tu machache kuhusu Unakokupenda huko ...nchi ya Kongo DRC inaweza ku supply HEP Barani Africa kwa 22 asilimia ,,ina vyama vya siasa vinakaribia 200 na ushehe na ndio miongoni mwa nchi ktk Afrika zinazojiita Democratic lakn kiuhalisia hakuna demokrasia ....huu n wimbo ambao wazungu wameuleta tunauimba hadi leo mbaya zaidi hata watoto wadogo wameanza kuuimba yani uhuru uhuru uhru uhuru uhuru na kusahau mambo ya msingi,,,, si kwenye kutenda ,kufikiri kuabudu na hata kwenye utamaduni ndio maana leo kote uendako tunaangalia movie za kigeni na wewe kuutukuza umagharibi kwa kuona kujiita hvyo ni kuwa civilized !! Afrika hakuna cha kujivunia sasa bali ni kupigana majungu tu na kubezana sisi kwa sisi kwa kutumia sindano za hawa jamaa ....pata muda ujifunze ya Libya na maisha yao hivi leo.....Hakuna kitu kibaya iwe katika haki za binadamu ama kidemokrasia kwa Afrika kulaumiwa!!! Yote haya walitengeneza wao kwetu na sasa sisi tulioathiriwa sasa tumesaahau kw kisa tu wamekuja kivingine !!

Amka!
Kama Uhuru na demokrasia si mambo ya msingi, kumbe mambo ya msingi ni yapi?
 
Wewe unataka tuwe nini, Kimashariki/KiChina?

Kiafrika kikoje?

Mtu unapokuwa na elimu yako, ukashindwa kuitumia elimu hiyo ipasavyo, ukabaki kuwa na nyimbo za wewe kuchotwa akili na 'wamagharibi' kwa kila kitu, maana yake ni kuwa elimu uliyopata haikusaidii chochote.

Huwezi kuja hapa na kusema mabaya yote tunaletewa na 'wamagharibi.' Kama unaelewa maana ya 'Demokrasia huwezi kuja hapa na kusema hiyo ni ya 'magharibi', kwa hiyo ni mbaya! Ni kwamba hujui demokrasia ni nini.

Unapotaka dikteta ndie awe wa kuamua kila jambo linalowagusa wananchi, hiyo wewe ndio unaona ni uafrika wetu kwa hiyo tuusifu?
Mkuu usijichoshe huyo ndiye Kabundi mwenyewe
 
Back
Top Bottom