Palamagamba Kabudi, Unaivuruga Nchi....!

Palamagamba Kabudi, Unaivuruga Nchi....!

Prof. Palamagamba Kabudi anatoa hoja kama wale wabunge wasio na wizara yaani wabunge wa kawaida wale ma - backbenchers , hii ni hatari kidiplomasia kwa nchi masikini kama Tanzania maana kauli ya waziri ni kauli rasmi ya serikali
 
Pumba...
Hatuna waziri anaitwa Kalamagamba kosa la kwanza

Hoja yako haina mashiko na umeandika hayo kwasababu Avatar yako inathibitisha ulichokiandika na maneno ya Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi!!!

Acha umagharibi katika kufikiri !!

Nikuambie tu machache kuhusu Unakokupenda huko ...nchi ya Kongo DRC inaweza ku supply HEP Barani Africa kwa 22 asilimia ,,ina vyama vya siasa vinakaribia 200 na ushehe na ndio miongoni mwa nchi ktk Afrika zinazojiita Democratic lakn kiuhalisia hakuna demokrasia ....huu n wimbo ambao wazungu wameuleta tunauimba hadi leo mbaya zaidi hata watoto wadogo wameanza kuuimba yani uhuru uhuru uhru uhuru uhuru na kusahau mambo ya msingi,,,, si kwenye kutenda ,kufikiri kuabudu na hata kwenye utamaduni ndio maana leo kote uendako tunaangalia movie za kigeni na wewe kuutukuza umagharibi kwa kuona kujiita hvyo ni kuwa civilized !! Afrika hakuna cha kujivunia sasa bali ni kupigana majungu tu na kubezana sisi kwa sisi kwa kutumia sindano za hawa jamaa ....pata muda ujifunze ya Libya na maisha yao hivi leo.....Hakuna kitu kibaya iwe katika haki za binadamu ama kidemokrasia kwa Afrika kulaumiwa!!! Yote haya walitengeneza wao kwetu na sasa sisi tulioathiriwa sasa tumesaahau kw kisa tu wamekuja kivingine !!

Amka!
 
Prof. Kabudi anasema wajinga wapo wengi kule Ulaya. Waziri Kabudi lazima aelewe kuwa mataifa hayo ya wajinga Ulaya nao wanafuatilia hotuba zake nyingi zisizo endana na hadhi ya wizara yake
 
Hatuna waziri anaitwa Kalamagamba kosa la kwanza

Hoja yako haina mashiko na umeandika hayo kwasababu Avatar yako inathibitisha ulichokiandika na maneno ya Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi!!!

Acha umagharibi katika kufikiri !!

Nikuambie tu machache kuhusu Unakokupenda huko ...nchi ya Kongo DRC inaweza ku supply HEP Barani Africa kwa 22 asilimia ,,ina vyama vya siasa vinakaribia 200 na ushehe na ndio miongoni mwa nchi ktk Afrika zinazojiita Democratic lakn kiuhalisia hakuna demokrasia ....huu n wimbo ambao wazungu wameuleta tunauimba hadi leo mbaya zaidi hata watoto wadogo wameanza kuuimba yani uhuru uhuru uhru uhuru uhuru na kusahau mambo ya msingi,,,, si kwenye kutenda ,kufikiri kuabudu na hata kwenye utamaduni ndio maana leo kote uendako tunaangalia movie za kigeni na wewe kuutukuza umagharibi kwa kuona kujiita hvyo ni kuwa civilized !! Afrika hakuna cha kujivunia sasa bali ni kupigana majungu tu na kubezana sisi kwa sisi kwa kutumia sindano za hawa jamaa ....pata muda ujifunze ya Libya na maisha yao hivi leo.....Hakuna kitu kibaya iwe katika haki za binadamu ama kidemokrasia kwa Afrika kulaumiwa!!! Yote haya walitengeneza wao kwetu na sasa sisi tulioathiriwa sasa tumesaahau kw kisa tu wamekuja kivingine !!

Amka!
Tanzania tuna asilimia 65 ya watu ambao ni semi literate, sishangai na wewe kuimba Kikalamakabudi, wazungu ,wazungu .. non sense.
 
Tanzania tuna asilimia 65 ya watu ambao ni semi literate, sishangai na wewe kuimba Kikalamakabudi, wazungu ,wazungu .. non sense.
Kweli wewe mfamaji...you even know nothing to whom you are addressing....kikalamakabudi ndio nini ???? Eti nawewe mkosoaji na ndio unasema umeelimika au hujui unachokiandika
 
Ni kwe
Ni kweli tunakopesheka sasa uwezo wetu ni lets say ktk mia sisi tuna uwezo wa kupata hamsini, halafu hii hamsini ww unasema tunakopa good, mwaka huu tunakopa then mwakani inatakiwa tulipe mkopo wa mwaka huu plus interest na pia tukope tena hamsini! Which means uwezo wetu wa kukopa na kulipa haviendani lazima tukapitishe bakuli kwa mabeberu kutusaidia

Ni kweli tunakopesheka! Sasa hapo ndipo wanapokuja hao wa kutukopea mabeberu imf, world bank, africa bank, chinese etc pia hapo ndo kuna mabeberu wa misaada! Ni kama mimi sina uwezo wa kujiendesha kibishara naenda kukopa crdb inayomilikiwa na mabeberu huku nikisema bora beberu ww kuliko beberu nmb!

Halafu baadaye naenda kupiga mzinga huku nimebeba magazeti yote ya nchi nampelekea balozi ( sijui alikuwa wa marekani yule mama nimesahau) kuna pic kabudi anamuonyesha balozi jinsi nchi ilivyo huru kihabari, hii iliyotokea pale gazeti la citizen lilipofungiwa!

Budget ya msimu huu tulikuwa na mapungufu ya 12 trillion! Tumekopewa tisa trillion na ma bank ya kibeberu na tukasaidiwa trillion 3 na mabeberu.
Daaah.. Umeishia hapo kufikiri? Kwa maana hiyo kwasababu mabeberu wanachangia asilimia kubwa ktk budget yetu ndio watuburuze watakavyo? Na hali hiyo mwisho wake hadi lini? Au ndio haina mwisho na haina haja ya kuwa na mwisho? Hv pia unajua km TZ ni nchi huru haipaswi kuingiliwa mambo yake na tamaduni zake za ndani? HAKUNA MSAADA WA BURE!
 
Huyu ni jamaa ni mtu wa hovyo sana...ukitaka kujua hili mtazame kwa makini sana...anachokiongea sicho anachokiamini kwa kifupi ni muongo sana
 
Na ndoo maana ikaundwa UN pamoja na organisation zake. .internation watch Dogs in order ku control psychopathic kama hao...and you can imagine bila hivyo ingekuwaje,? Mmeshindwa ku Qualified criterias za wb,imf,EU,unesco,wwf,humans rights,alafu mnaleta nyodo ati..disastrous disappointed huyu mzee jamani mmmhh
 
Na ndoo maana ikaundwa UN pamoja na organisation zake. .watch Dogs in order ku control psychopathic kama hao...and you can imagine bila hivyo ingekuwaje,? Mmeshindwa ku Qualified criterias za wb,imf,EU,unesco,wwf,humans rights,alafu mnaleta nyodo ati..disastrous disappointed huyu mzee jamani mmmhh
OK labda nikuulize kulikuwa na umuhimu wowote wa yeye kusema HATOWAPIGIA MAGOTI WAZUNGU KUWAOMBA MSAADA.
kwani kuna mashindano kati yetu na wazungu?
Nani anayeteseka kati yetu na wao?
 
OK labda nikuulize kulikuwa na umuhimu wowote wa yeye kusema HATOWAPIGIA MAGOTI WAZUNGU KUWAOMBA MSAADA.
kwani kuna mashindano kati yetu na wazungu?
Nani anayeteseka kati yetu na wao?
Kuna wapiga debe wanaojipendekeza na kuwaandikia wazungu umbea wakilenga kushinikiza Serikali kunyimwa misaada. Na wakisikia usitishwa misaada wanajiona wameshinda na kuanza kusherehekea. Kabudi anawaambia misaada kama hiyo yenye masharti wacha na iende!!
 
Mzungu yeye mambo yake anayaendesha kisomi.
Sababu za wao kukata misaada Tanzania wamezitoa na zina eleweka.
Na hakuna hata sehemu moja katika barua zao WAMEANDIKA WANATAKA WAPIGIWE MAGOTI.
sasa kabudi mambo ya kupigiana MAGOTI kayatoa wapi?
anatakiwa kujenga hoja sio kupanik.
Wazungu sio chadema wale.
na umapotaka kutunishiana nao misuli kama hivyo wewe ndo utaumia.
wamekata misaada basi maisha yaendelee VIJEMBE VYA NANI?
 
Back
Top Bottom