Palamagamba Kabudi, Unaivuruga Nchi....!

Palamagamba Kabudi, Unaivuruga Nchi....!

Kama Uhuru na demokrasia si mambo ya msingi, kumbe mambo ya msingi ni yapi?
Kama nguvu ya kuandika ujumbe wako huu umekula uhuru au umepewa nguvu baada ya akili yako kuwa imekunywa na mwili wako kuwa wa afya ni demokrasia basi uko sahihi!!!

Kama unadhani kuelekezwa cha kufanya ndio uhuru bado hujahitimu!

Kama kukesha unahubiri kitu ambacho hata hakikusaidii kuimarisha uchumi wako ndio demokrasia basi bado unahitaji PhD ya kumulikwa!!

Kama wanaohubiri demokrasia ndio wa kwanza kukandamiza haki na kutesa race nyingine ambayo wao wanaona haina uhalali wa kuwepo duniani ndio demokrasia basi your level of understanding on the mentioned topic is very diminished!! And imaginificent!!

Kama unajidanganya hayo unayoyaita mambo ya msingi ndio vitainua maisha yako na kukukomboa mtu mweusi aise elimu yako haijakusaidia!!!

Kubali kataa haya mambo yameletwa kuja kutugawanya!!( DIVIDE ) na kwa hili washafanikiwa sana ndio maana sasa wana tutawala japo muda mwingine siyo directly (RULE) ..nchi nyingi hizi masikini hata chaguzi zikifika they trust none even in their internal affairs as founders of the state wanted ....people will not accept or feel that they held an election with the absence of external observers!! This is terrible![emoji15]

Wacha tushabikie lakini tukumbuke wazungu ni wajanja sana ...ki akili wanatuzidi tena kupitia elimu zao hizi leo watu wanautukuza Umarekani!!! Watu hawapati hata sekunde moja kujiuliza yanayotokea ktk hizi nchi zetu bado wanakimbilia kutukanana wakiangalia upande wao wa matumbo!!! Wamemuua Dr Sebi kwa kuiambia dunia ukweli leo mzee yule is no more but no any African who is even caring ,Africans only say "Mind your things" kuna mambo mengi tu hawa watu bado hawawezi kuishawishi dunia kwa kile wanachokihubiri!!! .

Sasa Uchina nae anaingia kwa fujo goja tumkaribishe with pomposity but we will regret !!
USA ilijitambua sana baada ya kupata uhuru Marais kama kina Rooselvert,,Truman na kina Marshall walikuwa na akili mno ndio maan walijua what will happen in the near future wakaja na mikakati chanja ambayo leo tunaiishi !!! Na wao washatangulia mbele za haki but Africans na the third world countries are suffering from their successfully policies postive to them but negative to us!!!

Africa my Africa who wanna rescue this catastrophe !!
 
..na wanaotukopesha siyo mabeberu?

..kabudi alipaswa kuwasilisha hoja zake kisomi na kidiplomasia, siyo kwa kufoka na kupiga makelele namna ile.
Bank ya Africa ni mabeberu mkuu?
 
Leo hii nchi nzima kuna tohara bure 100% USAID, ujenzi wa venue nyingi ktk gvt universities ni Pesa za EU members, US etc, maofisi ya serkal yamejaa computer za msaada wa JICA, ambulance karibu 80% ni misaada, chanjo za watoto ni misaada ya Ariel Glasser, ukienda mashuleni kuanzia vitabu, majengo, pikipiki za ma MEKI ni UKAID, takwimu nyingi na madodoso yanafanyika under donors money, HALAFU UTAKUTA JITU KUBWA LINAPAYUKA ATI HATULAMBI VIATU VYA MABEBERU! HUWA NAWAZA KWAMBA HAWAYAJUI HAYA AU WANAMDANGANYA NANI? UMEME WA REA NI PESA ZA MILLENIUM CHALLENGE ZA US HAO MABEBERU WASIOLAMBWA VIATU NI WEPI? Kama hadi mabomba ya sindano tunaagiza basi viongozi wawe na staha ili tuvuke economic stages flani za kujiweza. Kama pesa za kutahiri tunasubir USAID halafu unajitutumua mabeberu huwataki! Hatuna jeuri hiyo.
Mkuu umenena sana japo naweza nisiwe ktk muktadha wa mlengwa wako!!! Lakn cha msingi ni kujiuliza kwann kila kitu ni msaada??? Tulikosea wapi na tunakosea wapi???? Kila kitu ni nje why??? Je hii misaada tunayopewa je tunaitazaman kwa kina ktk Do-s and Dont-s zake????
 
Mku hata Korosho na mazao mengine mengi kutoka Afrika bei wanapanga wao
Mabeberu wanaokubaliana na win win awajakatazwa kushirikiana na sisi isipokuwa wale wanaingilia mambo ya ndani na uendeshaji wa serikali na wenye mikataba ya Ki Carl Peter hao waende tu hata kama wanakusaidia,masikini na watoto wake tajiri na mali yake.
 
Ni kweli tunakopesheka sasa uwezo wetu ni lets say ktk mia sisi tuna uwezo wa kupata hamsini, halafu hii hamsini ww unasema tunakopa good, mwaka huu tunakopa then mwakani inatakiwa tulipe mkopo wa mwaka huu plus interest na pia tukope tena hamsini! Which means uwezo wetu wa kukopa na kulipa haviendani lazima tukapitishe bakuli kwa mabeberu kutusaidia

Ni kweli tunakopesheka! Sasa hapo ndipo wanapokuja hao wa kutukopea mabeberu imf, world bank, africa bank, chinese etc pia hapo ndo kuna mabeberu wa misaada! Ni kama mimi sina uwezo wa kujiendesha kibishara naenda kukopa crdb inayomilikiwa na mabeberu huku nikisema bora beberu ww kuliko beberu nmb!

Halafu baadaye naenda kupiga mzinga huku nimebeba magazeti yote ya nchi nampelekea balozi ( sijui alikuwa wa marekani yule mama nimesahau) kuna pic kabudi anamuonyesha balozi jinsi nchi ilivyo huru kihabari, hii iliyotokea pale gazeti la citizen lilipofungiwa!

Budget ya msimu huu tulikuwa na mapungufu ya 12 trillion! Tumekopewa tisa trillion na ma bank ya kibeberu na tukasaidiwa trillion 3 na mabeberu.
Nahisi atujaelewa wanachokimaanisha serikali juu neno MABEBERU au tunapotosha kwa nia ovu tu,unataka kusema hao so called MABEBERU awapo nchini? Na wakiwa wanaendesha miradi yao kwa uhuru kabisa.

Wanachosisitiza serikali haipo tayari kushirikiana na hao Partners wa maendeleo wenye kuingilia mambo ya ndani na uendeshaji wa nchi na wale wenye mikataba ya Ki Carl Peter hao waende tu ila serikali inataka win win na kuheshimu sheria,mila,tamaduni za nchi,ungekuwa wewe rais ungeruhusu USHOGA kisa wanachangia kapu la bajeti?
 
good enough KABUDI.
watanzania wengine wanyongewanyonge sana na hiyo ndio ilikuwa sababu ya kutawaliwa kirahisi endeleeni kurudi enzi za utumwa muanze kuuzwa tena kwa onyonge wenu.
JIULIZE KWA NINI BABU ZETU WALIUZWA UTUMWANI
1113815

PAMBAFU ZENU
 
Kama nguvu ya kuandika ujumbe wako huu umekula uhuru au umepewa nguvu baada ya akili yako kuwa imekunywa na mwili wako kuwa wa afya ni demokrasia basi uko sahihi!!!

Kama unadhani kuelekezwa cha kufanya ndio uhuru bado hujahitimu!

Kama kukesha unahubiri kitu ambacho hata hakikusaidii kuimarisha uchumi wako ndio demokrasia basi bado unahitaji PhD ya kumulikwa!!

Kama wanaohubiri demokrasia ndio wa kwanza kukandamiza haki na kutesa race nyingine ambayo wao wanaona haina uhalali wa kuwepo duniani ndio demokrasia basi your level of understanding on the mentioned topic is very diminished!! And imaginificent!!

Kama unajidanganya hayo unayoyaita mambo ya msingi ndio vitainua maisha yako na kukukomboa mtu mweusi aise elimu yako haijakusaidia!!!

Kubali kataa haya mambo yameletwa kuja kutugawanya!!( DIVIDE ) na kwa hili washafanikiwa sana ndio maana sasa wana tutawala japo muda mwingine siyo directly (RULE) ..nchi nyingi hizi masikini hata chaguzi zikifika they trust none even in their internal affairs as founders of the state wanted ....people will not accept or feel that they held an election with the absence of external observers!! This is terrible![emoji15]

Wacha tushabikie lakini tukumbuke wazungu ni wajanja sana ...ki akili wanatuzidi tena kupitia elimu zao hizi leo watu wanautukuza Umarekani!!! Watu hawapati hata sekunde moja kujiuliza yanayotokea ktk hizi nchi zetu bado wanakimbilia kutukanana wakiangalia upande wao wa matumbo!!! Wamemuua Dr Sebi kwa kuiambia dunia ukweli leo mzee yule is no more but no any African who is even caring ,Africans only say "Mind your things" kuna mambo mengi tu hawa watu bado hawawezi kuishawishi dunia kwa kile wanachokihubiri!!! .

Sasa Uchina nae anaingia kwa fujo goja tumkaribishe with pomposity but we will regret !!
USA ilijitambua sana baada ya kupata uhuru Marais kama kina Rooselvert,,Truman na kina Marshall walikuwa na akili mno ndio maan walijua what will happen in the near future wakaja na mikakati chanja ambayo leo tunaiishi !!! Na wao washatangulia mbele za haki but Africans na the third world countries are suffering from their successfully policies postive to them but negative to us!!!

Africa my Africa who wanna rescue this catastrophe !!
Umetumia muda wako vibaya. Swali langu ni fupi tu. Nilitaka kufahamu kutoka kwako, kama sisi kuwa huru na kuwa na demokrasia si mambo ya msingi kama unavyodai mambo ya msingi ni yapi? Jaribu kuwa specific...
 
Ni kweli tunakopesheka sasa uwezo wetu ni lets say ktk mia sisi tuna uwezo wa kupata hamsini, halafu hii hamsini ww unasema tunakopa good, mwaka huu tunakopa then mwakani inatakiwa tulipe mkopo wa mwaka huu plus interest na pia tukope tena hamsini! Which means uwezo wetu wa kukopa na kulipa haviendani lazima tukapitishe bakuli kwa mabeberu kutusaidia

Ni kweli tunakopesheka! Sasa hapo ndipo wanapokuja hao wa kutukopea mabeberu imf, world bank, africa bank, chinese etc pia hapo ndo kuna mabeberu wa misaada! Ni kama mimi sina uwezo wa kujiendesha kibishara naenda kukopa crdb inayomilikiwa na mabeberu huku nikisema bora beberu ww kuliko beberu nmb!

Halafu baadaye naenda kupiga mzinga huku nimebeba magazeti yote ya nchi nampelekea balozi ( sijui alikuwa wa marekani yule mama nimesahau) kuna pic kabudi anamuonyesha balozi jinsi nchi ilivyo huru kihabari, hii iliyotokea pale gazeti la citizen lilipofungiwa!

Budget ya msimu huu tulikuwa na mapungufu ya 12 trillion! Tumekopewa tisa trillion na ma bank ya kibeberu na tukasaidiwa trillion 3 na mabeberu.

👌
 
Mabenki ya ndani hayana mitaji ya kutosha kukopesha miradi mikubwa kama ya umeme na standard gauge kwani kukopesha sharti uwe na liquidity ratio inayokubarika na central bank.Heri kukopa World Bank ,IMF maana masharti yao ni mepesi na yanatelezeka na riba zao ni ndogo comparing commercial banks zenye riba kubwa . Benki za ndani zitafilizika na wateja watakosa mitaji yao midogo midogo wanayodunduliza .It will be a disaster if we reach at that stage.
 
Hatuna waziri anaitwa Kalamagamba kosa la kwanza

Hoja yako haina mashiko na umeandika hayo kwasababu Avatar yako inathibitisha ulichokiandika na maneno ya Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi!!!

Acha umagharibi katika kufikiri !!

Nikuambie tu machache kuhusu Unakokupenda huko ...nchi ya Kongo DRC inaweza ku supply HEP Barani Africa kwa 22 asilimia ,,ina vyama vya siasa vinakaribia 200 na ushehe na ndio miongoni mwa nchi ktk Afrika zinazojiita Democratic lakn kiuhalisia hakuna demokrasia ....huu n wimbo ambao wazungu wameuleta tunauimba hadi leo mbaya zaidi hata watoto wadogo wameanza kuuimba yani uhuru uhuru uhru uhuru uhuru na kusahau mambo ya msingi,,,, si kwenye kutenda ,kufikiri kuabudu na hata kwenye utamaduni ndio maana leo kote uendako tunaangalia movie za kigeni na wewe kuutukuza umagharibi kwa kuona kujiita hvyo ni kuwa civilized !! Afrika hakuna cha kujivunia sasa bali ni kupigana majungu tu na kubezana sisi kwa sisi kwa kutumia sindano za hawa jamaa ....pata muda ujifunze ya Libya na maisha yao hivi leo.....Hakuna kitu kibaya iwe katika haki za binadamu ama kidemokrasia kwa Afrika kulaumiwa!!! Yote haya walitengeneza wao kwetu na sasa sisi tulioathiriwa sasa tumesaahau kw kisa tu wamekuja kivingine !!

Amka!
Ni kama vile unataka tuache mifumo yote ya wazungu i.e formal education etc
Ukishakua dhaifu kiuchumi technical wewe si kitu
 
Hujaelewa hoja yangu bali umejibu kiushabiki!!

Demokrasia kwa taarifa yako tu ilianza kwa Wagiriki (Athens) miaka ya 300BC na kipindi hiko haikwa demokrasia yenu hii iliyokujwa kuchukuliwa na Wamarekani!! Ilikuwa demokrasia ya kweli!! Huwezi ukashangilia demokrasia ya kijinga ya kuwa na utitiri wa vyama vya siasa wakat nchi mwanzilishi vyama vya siasa wao ni viwili tu!!

Bado mawazo yako yapo kule kule ...uliyoandika ni matokeoa ya nilichokisema na kamwe kwa mentality yako hutakuja kutumia muda wako kujiandaa kuelewa!!! Wacha tuzidi kulalamika demokrasia wenzetu ambao ndio wanawashawishi mpigane kwa njia ya kudai uhuru wanawatengenezea siraha halafu wanajidai ni wanademokrisia!!! Hivi ushawasikia wanaleta propaganda zao kwa nchi kama China??

Endeleeni kubishana demokrasia sjui hata shuleni mlijifunza nn .mnaongea utafikiri demokrasia hiyo kwao ipo!!! Yanayotokea Ulaya kama BREXIT ingekuwa Afrika sashv ingeluwa haikariki......lakn kwa kukosa maarifa kwetu badala ya kufocus mambo ya msingi tunaelekea sasa mwaka wa Tano tangu serikali hii iingie madarakani tunaimba wimbo uleule ..nothing new rather than talking nonsense!!!
Huelezi chochote kinachoeleweka. Unazunguka tuuu na maneno mengi mradi uonekane umeandika kitu. BREXIT? unaijua, au kwa kuitaja tujue ujua mambo mengi?
Historia ya "Demokrasia' kuanzia ugiriki; inasaidia nini kueleza hali tuliyonayo sasa Tanzania?

Unajiona duni kiasi kwamba kila jambo baya ni lazima utafute mtu wa kumlaumu?
 
Bank ya Africa ni mabeberu mkuu?

..Unazungumzia AFDB yenye makao makuu Abidjan, Ivory Coast?

..kuna mabeberu wana hisa ktk benki hiyo.

..pia mahitaji yetu ya mikopo kwa ajili ya miradi ya maendeleo ni makubwa na hayawezi kutoshelezwa na AFDB peke yao.

..muelekeo tuliochukua utatuletea ugumu ktk kupata misaada na mikopo ya masharti nafuu.

..Tukichukua mikopo mingi ya masharti magumu tunaweza kufika mahali ncho ikaelemewa na mzigo wa madeni. Nadhani unakumbuka matatizo ya ulipaji madeni tuliyokuwa nayo wakati wa utawala wa Mzee Mkapa.

..marafiki zetu and our development partners, wanatushauri, hawatulazimishi, tulinde haki za binadamu, tudumishe utawala wa sheria na katiba, tujenge demokrasia ya kweli, tukomeshe vitendo vya kikatili, etc etc.

..mengi wanayotushauri ni mambo ambayo tunaweza kuyatekeleza. Hakuna haja ya kuliumiza taifa[ walio wengi] kwa kiburi cha watu wachache.

..Ushauri wangu ni Raisi Magufuli afanyie kazi dondoo ambazo haziwaridhishi marafiki zetu na wadau wetu wa maendeleo. Akifanya hivyo ataiweka nchi ktk nafasi ya kufanya mambo makubwa zaidi ya kimaendeleo.
 
Huelezi chochote kinachoeleweka. Unazunguka tuuu na maneno mengi mradi uonekane umeandika kitu. BREXIT? unaijua, au kwa kuitaja tujue ujua mambo mengi?
Historia ya "Demokrasia' kuanzia ugiriki; inasaidia nini kueleza hali tuliyonayo sasa Tanzania?

Unajiona duni kiasi kwamba kila jambo baya ni lazima utafute mtu wa kumlaumu?
Pumba tupu
 
Kaongea saaana na pia kajitapa sijui amesoma nchi gani alaf tena akaenda kwenye nchi gani ingine.

SWALI
n nn kilichomsukuma Prof wetu akaenda kusoma kwa hao anaowaita Mabeberu????

Maana isije ikawa moyoni mwake anakiri kuhitaji msaada wao, alaf kinywan anakataa.

Au msaada anaozungumzia hapa ni wa pesa tu, bado sijamuelewa.
 
Back
Top Bottom