Hata sasa hivi mnaomba.Kwa hiyo ikishinda Chadema tutakuwa tunaombaomba sana kwa wazungu?

Mahiga ni mwanadiplomasia wa muda mrefu lakini kabudi yeye anajua historia sio diplomasia. Hii lugha aliyotumia itaigharimu serikali ya awamu ya tano. Tukumbuke lugha ya Rais Mugabe dhidi ya nchi za magharibi matokeo yake.amejitapa kweli bungeni kuwa yeye ni kichwa tangu enzi hizo, amejifananisha na 'Yusufu/Yosefu' yule mtoto wa Yakobo aliyeuzwa na nduguze kisha akaja kuwa mkombozi wao, kamlizia kwa kutoa 'homework' kuwa tukasome 'surat yusuf' na kitabu cha mwanzo sura fulani hivi.
baada ya kumaliza kumsikiliza nikagundua kweli hawa maprofesa wetu wanatuona sisi wengine 'mbuzi' tu.
Kwamba wazungu wameamuwa kwa ku base kwenye baruwa za kimbea mbea?Kuna wapiga debe wanaojipendekeza na kuwaandikia wazungu umbea wakilenga kushinikiza Serikali kunyimwa misaada. Na wakisikia usitishwa misaada wanajiona wameshinda na kuanza kusherehekea. Kabudi anawaambia misaada kama hiyo yenye masharti wacha na iende!!
Ujinga wa kukurupuka kuchonga mdomo kabla ya kuunganisha bongo kichwani.Kuomba kwa mzungu hakukwepeki kwani hata sasa tunaomba ila hatupewi misaada kisa rais na chama chake kutokuheshimu box la kura. Nyerere alileta jeuri tukavaa viraka, awamu hii ina jipya lipi dhidi ya mzungu?
Hatuna waziri anaitwa Kalamagamba kosa la kwanza
Hoja yako haina mashiko na umeandika hayo kwasababu Avatar yako inathibitisha ulichokiandika na maneno ya Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi!!!
Acha umagharibi katika kufikiri !!
Nikuambie tu machache kuhusu Unakokupenda huko ...nchi ya Kongo DRC inaweza ku supply HEP Barani Africa kwa 22 asilimia ,,ina vyama vya siasa vinakaribia 200 na ushehe na ndio miongoni mwa nchi ktk Afrika zinazojiita Democratic lakn kiuhalisia hakuna demokrasia ....huu n wimbo ambao wazungu wameuleta tunauimba hadi leo mbaya zaidi hata watoto wadogo wameanza kuuimba yani uhuru uhuru uhru uhuru uhuru na kusahau mambo ya msingi,,,, si kwenye kutenda ,kufikiri kuabudu na hata kwenye utamaduni ndio maana leo kote uendako tunaangalia movie za kigeni na wewe kuutukuza umagharibi kwa kuona kujiita hvyo ni kuwa civilized !! Afrika hakuna cha kujivunia sasa bali ni kupigana majungu tu na kubezana sisi kwa sisi kwa kutumia sindano za hawa jamaa ....pata muda ujifunze ya Libya na maisha yao hivi leo.....Hakuna kitu kibaya iwe katika haki za binadamu ama kidemokrasia kwa Afrika kulaumiwa!!! Yote haya walitengeneza wao kwetu na sasa sisi tulioathiriwa sasa tumesaahau kw kisa tu wamekuja kivingine !!
Amka!
Na kama hukumuelewa alichoongea kweli ni mbuzi.amejitapa kweli bungeni kuwa yeye ni kichwa tangu enzi hizo, amejifananisha na 'Yusufu/Yosefu' yule mtoto wa Yakobo aliyeuzwa na nduguze kisha akaja kuwa mkombozi wao, kamlizia kwa kutoa 'homework' kuwa tukasome 'surat yusuf' na kitabu cha mwanzo sura fulani hivi.
baada ya kumaliza kumsikiliza nikagundua kweli hawa maprofesa wetu wanatuona sisi wengine 'mbuzi' tu.
nimemwelewa kuwa hana akili, sio kila unachokiamini unakiongea mbele ya kamera ni ujinga na utoto, dunia haiko fair lazima ujue namna ya kuishi na 'wakubwa', ukijifanya jeuri utaishia waliko Zimbabwe na VenezuelaNa kama hukumuelewa alichoongea kweli ni mbuzi.
Kura zipi? Za kujumlisha ukapata aslimia 101 za wapiga kura?Tusimlaumu kabudi. Tulikosea wenyewe 25/10/2015.
haya ni matokeo ya kura zetu.
Kabudi yuko sahihi.
Hizo sera hazina nafasi katika awamu hii, tulimchagua wengi (the majority) na tunamuunga mkono, wakati wa uchaguzi ukiwadia chagueni kibaraka wenu wa wazungu mnayemtaka na tutaheshimu maamuzi yenu maadamu mtakuwa wengi.nimemwelewa kuwa hana akili, sio kila unachokiamini unakiongea mbele ya kamera ni ujinga na utoto, dunia haiko fair lazima ujue namna ya kuishi na 'wakubwa', ukijifanya jeuri utaishia waliko Zimbabwe na Venezuela
hata mugabe alikua ana claim kuchaguliwa na majorityHizo sera hazina nafasi katika awamu hii, tulimchagua wengi (the majority) na tunamuunga mkono, wakati wa uchaguzi ukiwadia chagueni kibaraka wenu wa wazungu mnayemtaka na tutaheshimu maamuzi yenu maadamu mtakuwa wengi.
Kim Un JongJamaa anafaa kuwa mshauri wa raisi wa North Korea!
Wewe unataka tuwe nini, Kimashariki/KiChina?Hatuna waziri anaitwa Kalamagamba kosa la kwanza
Hoja yako haina mashiko na umeandika hayo kwasababu Avatar yako inathibitisha ulichokiandika na maneno ya Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi!!!
Acha umagharibi katika kufikiri !!
Nikuambie tu machache kuhusu Unakokupenda huko ...nchi ya Kongo DRC inaweza ku supply HEP Barani Africa kwa 22 asilimia ,,ina vyama vya siasa vinakaribia 200 na ushehe na ndio miongoni mwa nchi ktk Afrika zinazojiita Democratic lakn kiuhalisia hakuna demokrasia ....huu n wimbo ambao wazungu wameuleta tunauimba hadi leo mbaya zaidi hata watoto wadogo wameanza kuuimba yani uhuru uhuru uhru uhuru uhuru na kusahau mambo ya msingi,,,, si kwenye kutenda ,kufikiri kuabudu na hata kwenye utamaduni ndio maana leo kote uendako tunaangalia movie za kigeni na wewe kuutukuza umagharibi kwa kuona kujiita hvyo ni kuwa civilized !! Afrika hakuna cha kujivunia sasa bali ni kupigana majungu tu na kubezana sisi kwa sisi kwa kutumia sindano za hawa jamaa ....pata muda ujifunze ya Libya na maisha yao hivi leo.....Hakuna kitu kibaya iwe katika haki za binadamu ama kidemokrasia kwa Afrika kulaumiwa!!! Yote haya walitengeneza wao kwetu na sasa sisi tulioathiriwa sasa tumesaahau kw kisa tu wamekuja kivingine !!
Amka!
Nimeuliza mahali lakini sikupata jibu. Kwa nini watu wote walio wapendwa wa mkulu au karibu sana naye matendo yao ni ya ajabuajabu hata na kauli?Kabudi ni msiba mwingine hahaa!!
Kiongozi anayefaa kwa karne hii ni yule tu mwenye uwezo kuisaidia nchi yake kuimarika na kukua kiuchumi.Hatuna waziri anaitwa Kalamagamba kosa la kwanza
Hoja yako haina mashiko na umeandika hayo kwasababu Avatar yako inathibitisha ulichokiandika na maneno ya Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi!!!
Acha umagharibi katika kufikiri !!
Nikuambie tu machache kuhusu Unakokupenda huko ...nchi ya Kongo DRC inaweza ku supply HEP Barani Africa kwa 22 asilimia ,,ina vyama vya siasa vinakaribia 200 na ushehe na ndio miongoni mwa nchi ktk Afrika zinazojiita Democratic lakn kiuhalisia hakuna demokrasia ....huu n wimbo ambao wazungu wameuleta tunauimba hadi leo mbaya zaidi hata watoto wadogo wameanza kuuimba yani uhuru uhuru uhru uhuru uhuru na kusahau mambo ya msingi,,,, si kwenye kutenda ,kufikiri kuabudu na hata kwenye utamaduni ndio maana leo kote uendako tunaangalia movie za kigeni na wewe kuutukuza umagharibi kwa kuona kujiita hvyo ni kuwa civilized !! Afrika hakuna cha kujivunia sasa bali ni kupigana majungu tu na kubezana sisi kwa sisi kwa kutumia sindano za hawa jamaa ....pata muda ujifunze ya Libya na maisha yao hivi leo.....Hakuna kitu kibaya iwe katika haki za binadamu ama kidemokrasia kwa Afrika kulaumiwa!!! Yote haya walitengeneza wao kwetu na sasa sisi tulioathiriwa sasa tumesaahau kw kisa tu wamekuja kivingine !!
Amka!
Hakika naungana nawe. Mahiga was the best for that position. Kabudi angeweza kufaa kwenye Wizara ya Utamaduni.Hiyo nafasi inamfaa Mahinga tu kilicho mponza Mahinga ni kuwa siyo mtu wa media halafu siyo mtu wa kukurupuka bila kufanya tathimini....