Palamagamba Kabudi, Unaivuruga Nchi....!

Palamagamba Kabudi, Unaivuruga Nchi....!

Mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kuomba unga kwa jirani acha msaada. Lakini si vizuri kuwatukana na kuwakejeli wazungu huku hata sindano ya kushonea viatu lazima tuikate spoku ya baisikeli ambayo imetengenezwa kwa uwezo wa kizungu.
Hatujawahi kumpata mfua chuma aliyefua kisu akakiweka kwenye soko letu la ndani. Huyo huyo ndiye atakwenda kuomba kwani wengine hata hiyo lugha ya kuombea hawana. Naanza kumuonea huruma pindi Trump atakapo mkumbusha majigambo yake kwa maana Trump ni trump kweli halina haya wala soni litamkumbusha
 
Hatuna waziri anaitwa Kalamagamba kosa la kwanza

Hoja yako haina mashiko na umeandika hayo kwasababu Avatar yako inathibitisha ulichokiandika na maneno ya Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi!!!

Acha umagharibi katika kufikiri !!

Nikuambie tu machache kuhusu Unakokupenda huko ...nchi ya Kongo DRC inaweza ku supply HEP Barani Africa kwa 22 asilimia ,,ina vyama vya siasa vinakaribia 200 na ushehe na ndio miongoni mwa nchi ktk Afrika zinazojiita Democratic lakn kiuhalisia hakuna demokrasia ....huu n wimbo ambao wazungu wameuleta tunauimba hadi leo mbaya zaidi hata watoto wadogo wameanza kuuimba yani uhuru uhuru uhru uhuru uhuru na kusahau mambo ya msingi,,,, si kwenye kutenda ,kufikiri kuabudu na hata kwenye utamaduni ndio maana leo kote uendako tunaangalia movie za kigeni na wewe kuutukuza umagharibi kwa kuona kujiita hvyo ni kuwa civilized !! Afrika hakuna cha kujivunia sasa bali ni kupigana majungu tu na kubezana sisi kwa sisi kwa kutumia sindano za hawa jamaa ....pata muda ujifunze ya Libya na maisha yao hivi leo.....Hakuna kitu kibaya iwe katika haki za binadamu ama kidemokrasia kwa Afrika kulaumiwa!!! Yote haya walitengeneza wao kwetu na sasa sisi tulioathiriwa sasa tumesaahau kw kisa tu wamekuja kivingine !!

Amka!
Braza, hawa watoto wa dotcom hawawez kuelewa, hawajui kuwa hicho kitu kinachoitwa demokrasia ni "dhahania" ni kitu kisichowezekana kwa nchi masikini.
Watoto wa shilawadu ni kuwaacha tu
 
Hivi kwanini wapinzani wa Magufuli kila kitu mnaona haiwezekani?

Yani chadema hivi mnapenda sana misaada ee?
 
Basi tuendelee TU kusaga meno. Mpaka mkombozi wa kweli atakapofika.
Waziri wa mambo ya nje amekuwa Ana maneno ya uswahilini.
Labda anakumbuka Yale maneno ya boss wake
"TUMEIBIWA SANAA"
sasa wazungu waliwakaba koo wakawapora? si kwa ujinga wa viongozi wetu ndo tumeibiwa.
Sasa unapotoa hotuba kwa hasira ndo Mali zenu zitarudi?
Mkuu sio kwa tume hii
 
Hatuna waziri anaitwa Kalamagamba kosa la kwanza

Hoja yako haina mashiko na umeandika hayo kwasababu Avatar yako inathibitisha ulichokiandika na maneno ya Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi!!!

Acha umagharibi katika kufikiri !!

Nikuambie tu machache kuhusu Unakokupenda huko ...nchi ya Kongo DRC inaweza ku supply HEP Barani Africa kwa 22 asilimia ,,ina vyama vya siasa vinakaribia 200 na ushehe na ndio miongoni mwa nchi ktk Afrika zinazojiita Democratic lakn kiuhalisia hakuna demokrasia ....huu n wimbo ambao wazungu wameuleta tunauimba hadi leo mbaya zaidi hata watoto wadogo wameanza kuuimba yani uhuru uhuru uhru uhuru uhuru na kusahau mambo ya msingi,,,, si kwenye kutenda ,kufikiri kuabudu na hata kwenye utamaduni ndio maana leo kote uendako tunaangalia movie za kigeni na wewe kuutukuza umagharibi kwa kuona kujiita hvyo ni kuwa civilized !! Afrika hakuna cha kujivunia sasa bali ni kupigana majungu tu na kubezana sisi kwa sisi kwa kutumia sindano za hawa jamaa ....pata muda ujifunze ya Libya na maisha yao hivi leo.....Hakuna kitu kibaya iwe katika haki za binadamu ama kidemokrasia kwa Afrika kulaumiwa!!! Yote haya walitengeneza wao kwetu na sasa sisi tulioathiriwa sasa tumesaahau kw kisa tu wamekuja kivingine !!

Amka!
Mku haya yote yatawezekana au kuepukika pale taifa litakapo kuwa linaongea lugha moja leo hii kila mmoja ana Itikadi yake.
 
Kuomba kwa mzungu hakukwepeki kwani hata sasa tunaomba ila hatupewi misaada kisa rais na chama chake kutokuheshimu box la kura. Nyerere alileta jeuri tukavaa viraka, awamu hii ina jipya lipi dhidi ya mzungu?
Na tukumbuke kipindi cha Nyerere Watanzania walikuwa wamoja hakukuwa ubinafsi wa kivyama au kimaisha
 
Ulitaka akusifie wewe?
Kaweka msimamo bayana was nchi na katumia fursa kuwapa ujumbe watu was namna yako mnaobeza au kutia Shaka uwezo wake
 
Mtu aliye staarabika huwezi kuropoka maneno yale kwani umelazimishwa uombe ombe hata yule nduguye Matonya hakuwa ana watukana watu wanao tarajia kumpa chochote mpaka mzee Makamba alipo mshughulikia
 
Back
Top Bottom