Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,940
Mkikosa kumpata kiongozi mkuu aliye sahihi, mtarajie kuwapata wasaidizi wake wasio sahihi.Tusimlaumu kabudi. Tulikosea wenyewe 25/10/2015.
haya ni matokeo ya kura zetu.
Kabudi yuko sahihi.
Mkikosa kumpata kiongozi mkuu aliye sahihi, mtarajie kuwapata wasaidizi wake wasio sahihi.Tusimlaumu kabudi. Tulikosea wenyewe 25/10/2015.
haya ni matokeo ya kura zetu.
Kabudi yuko sahihi.
Hayo yanafanywa na watu waliokosa hekima lakini wanaamini wana akili wakati hawana.OK labda nikuulize kulikuwa na umuhimu wowote wa yeye kusema HATOWAPIGIA MAGOTI WAZUNGU KUWAOMBA MSAADA.
kwani kuna mashindano kati yetu na wazungu?
Nani anayeteseka kati yetu na wao?
Hizo sera hazina nafasi katika awamu hii, tulimchagua wengi (the majority) na tunamuunga mkono, wakati wa uchaguzi ukiwadia chagueni kibaraka wenu wa wazungu mnayemtaka na tutaheshimu maamuzi yenu maadamu mtakuwa wengi.
Kwa nini umseme mzungu wakati hakuna sababu ya kumsema? Ni pale mtu aliyepungukiwa anapofikiri atakamilika kwa kuonesha ubabe dhidi ya aliyefanikiwa.Kabisa.. ni jinai kumsema vibaya muzungu
Hatuna waziri anaitwa Kalamagamba kosa la kwanza
Hoja yako haina mashiko na umeandika hayo kwasababu Avatar yako inathibitisha ulichokiandika na maneno ya Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi!!!
Acha umagharibi katika kufikiri !!
Nikuambie tu machache kuhusu Unakokupenda huko ...nchi ya Kongo DRC inaweza ku supply HEP Barani Africa kwa 22 asilimia ,,ina vyama vya siasa vinakaribia 200 na ushehe na ndio miongoni mwa nchi ktk Afrika zinazojiita Democratic lakn kiuhalisia hakuna demokrasia ....huu n wimbo ambao wazungu wameuleta tunauimba hadi leo mbaya zaidi hata watoto wadogo wameanza kuuimba yani uhuru uhuru uhru uhuru uhuru na kusahau mambo ya msingi,,,, si kwenye kutenda ,kufikiri kuabudu na hata kwenye utamaduni ndio maana leo kote uendako tunaangalia movie za kigeni na wewe kuutukuza umagharibi kwa kuona kujiita hvyo ni kuwa civilized !! Afrika hakuna cha kujivunia sasa bali ni kupigana majungu tu na kubezana sisi kwa sisi kwa kutumia sindano za hawa jamaa ....pata muda ujifunze ya Libya na maisha yao hivi leo.....Hakuna kitu kibaya iwe katika haki za binadamu ama kidemokrasia kwa Afrika kulaumiwa!!! Yote haya walitengeneza wao kwetu na sasa sisi tulioathiriwa sasa tumesaahau kw kisa tu wamekuja kivingine !!
Amka!
Hujaelewa hoja yangu bali umejibu kiushabiki!!Wewe unataka tuwe nini, Kimashariki/KiChina?
Kiafrika kikoje?
Mtu unapokuwa na elimu yako, ukashindwa kuitumia elimu hiyo ipasavyo, ukabaki kuwa na nyimbo za wewe kuchotwa akili na 'wamagharibi' kwa kila kitu, maana yake ni kuwa elimu uliyopata haikusaidii chochote.
Huwezi kuja hapa na kusema mabaya yote tunaletewa na 'wamagharibi.' Kama unaelewa maana ya 'Demokrasia huwezi kuja hapa na kusema hiyo ni ya 'magharibi', kwa hiyo ni mbaya! Ni kwamba hujui demokrasia ni nini.
Unapotaka dikteta ndie awe wa kuamua kila jambo linalowagusa wananchi, hiyo wewe ndio unaona ni uafrika wetu kwa hiyo tuusifu?
Na anavyoambiwa waziwazi anazidi kupanic na kuharibu kabisa.Ile speech yake yakujitamba inaonyesha viatu vimempwaya na watu wanamwambia wazwazi!
Tayari ameshaingiza nchi kwenye matatiso makubwa tuKabudi achunge mdomo wake ipo siku ataiingiza nchi kwenye matatizo
Kwanini mmesitisha ujenzi wa barabara kama hamtegemei kulamba miguu ya mabeberu?Profesa yupo sahihi.
Sio muda wa kupigiana magoti na kulamba viatu vya mabeberu
Ana hulka anazopaswa kuwa nazo mtu kama Haji ManaraMwanadiplomasia mwenye kauli zisizo za kidiplomasia!
points 225Ww ambaye mwanadiplomasi unamsaidiaje kabudi
Mipovu vululu-vululuhalafu akiongea povu linamtoka vibaya !
Hakuwa anaongea na wazungu alikuwa anaogea na Wabunge wa Tanzania. Wabunge wa upinzani ambao toka siku ya kwanza ya kuwasilisha bajeti yake wanamzodoa. Amewambia jinsi alivyoenda "Jiniva" na kuvunja vunja umbeya wa barua zao walizokuwa wanatuma kupendekeza tunyimwe misaada sababu "Serikali inakiuka haki za binadamu". Anawambia vinoko vijana wa leo wasiojua dunia ilikotoka kuwa nchi za magharibi ndizo wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu sio Tanzania. Wanatakiwa wajue Uhuru wowote ktk haki za binadamu UNAMIPAKA na kawaeleza hao wanaowasujudia na wamemuelewa😃😃. Na wakiendelea na kelele zao zitajibiwa kwa nguvu ileile wanayotumia wao 😆😆Mzungu yeye mambo yake anayaendesha kisomi.
Sababu za wao kukata misaada Tanzania wamezitoa na zina eleweka.
Na hakuna hata sehemu moja katika barua zao WAMEANDIKA WANATAKA WAPIGIWE MAGOTI.
sasa kabudi mambo ya kupigiana MAGOTI kayatoa wapi?
anatakiwa kujenga hoja sio kupanik.
Wazungu sio chadema wale.
na umapotaka kutunishiana nao misuli kama hivyo wewe ndo utaumia.
wamekata misaada basi maisha yaendelee VIJEMBE VYA NANI?
Samahani mkuu, hivi Kabudi na Musiba ni mtu na pacha wake ??Ulitaka akusifie wewe?
Kaweka msimamo bayana was nchi na katumia fursa kuwapa ujumbe watu was namna yako mnaobeza au kutia Shaka uwezo wake
Mara nyingi Kabudi majibu yake huwa off point. Huwa hajibu hoja...na wanaotukopesha siyo mabeberu?
..kabudi alipaswa kuwasilisha hoja zake kisomi na kidiplomasia, siyo kwa kufoka na kupiga makelele namna ile.
Mikopo si tunakopesheka
Aiingize nchi kwenye matatizo mara ngapi/lini?Kabudi achunge mdomo wake ipo siku ataiingiza nchi kwenye matatizo
Hakuwa anaongea na wazungu alikuwa anaogea na Wabunge wa Tanzania. Wabunge wa upinzani ambao toka siku ya kwanza ya kuwasilisha bajeti yake wanamzodoa. Amewambia jinsi alivyoenda "Jiniva" na kuvunja vunja umbeya wa barua zao walizokuwa wanatuma kupendekeza tunyimwe misaada sababu "Serikali inakiuka haki za binadamu". Anawambia vinoko vijana wa leo wasiojua dunia ilikotoka kuwa nchi za magharibi ndizo wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu sio Tanzania. Wanatakiwa wajue Uhuru wowote ktk haki za binadamu UNAMIPAKA na kawaeleza hao wanaowasujudia na wamemuelewa[emoji2][emoji2]. Na wakiendelea na kelele zao zitajibiwa kwa nguvu ileile wanayotumia wao [emoji38][emoji38]
Unafiki ni kitu kibaya sana, Marehemu Ruge aliwahi kutamka "ogopa teknolojia". Picha inadhihirisha jinsi WaTz wanavyodanganywa na utawala huu na ingekuwa kwa wenzetu Wakenya wanaojitambua Viongozi wa aina hii tungeshawasahau maana wao hawataki use.. enge na unafiki wa aina hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu ndo anasema hapigi magoti?? View attachment 1113594