Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,874
Mi nilipoona kimya nikajua Sinkala yuko busy na "Bi Harusi" si unajua tena, 🙂
Max acha uchokozi bana. 😀 Anyways nitawasiliana na wewe soon!
Mi nilipoona kimya nikajua Sinkala yuko busy na "Bi Harusi" si unajua tena, 🙂
Mi nilipoona kimya nikajua Sinkala yuko busy na "Bi Harusi" si unajua tena, 🙂
Hapana wakuu, honeymoon iliisha zamani sana na wala sijawa busy kihivyo, ila mambo madogo madogo ya kikazi inabidi uiondoe kabisa network cable vinginevyo itakula kwako, kazi zikipungua baada ya siku kadhaa ndo unaitafuta cable! Si unajua tena JF inavyotia hamu!Ha hahaa!
Ulikuwa bado Honeymoon Mkuu Sinkala?
Angalia hii mambo, ndoa MPYA ilivyo tamu utasahau ofisi na uanze kutafuta mchawi bureee!
Nashukuru mkuu kwa pongezi, tuko pamoja!
Hapana wakuu, honeymoon iliisha zamani sana na wala sijawa busy kihivyo, ila mambo madogo madogo ya kikazi inabidi uiondoe kabisa network cable vinginevyo itakula kwako, kazi zikipungua baada ya siku kadhaa ndo unaitafuta cable! Si unajua tena JF inavyotia hamu!
Duh! kwa hiyo unapata PM ngapi kwa siku?...😀
Anyway Hongera kwa mabandiko 1000 na ushee
Wapo tele marikiti!Nguru anapatikana siku hizi?
Du...Bado naitwa wa kuibukia?
Mkuu Idimi basi mimi nilifikiri nimeshakuwa mkongwe hadi naweza kuhamisha milima ndani ya JEIEFU!...kumbe najidanganya!
Otherwise Thanx alot to you too, together we are!
.. marikiti!..
Mie na ww bado sana kaka, ndo kwanza tunaibukia! Waliokwishakubuhu kwa posts hawa hapa.
Top Posters
1 Mzee Mwanakijiji 16,392
2 Julius 13,906
3 Bubu Ataka Kusema 11,108
4 Field Marshall ES 10,888
5 Mkandara 6892
Nimependa utohoaji wa neno "Market" kuwa "marikiti". Big up sana mtu wa visiwani!