Pakajimmy...Ni Interneti yako au...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pakajimmy...Ni Interneti yako au...?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Nov 4, 2009.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Oooh...!
  "Hongera Pakajimmy...Umekaza msuli mwaya"
  "Unatumia Internet ya Ofisi au ya kwako binafsi...?"
  "Maana kila tulogi-in na wewe upo tu..."

  Hizo ndo Hongera na maswali mengine kadha ambayo

  naendelea kuyajibu muda huu wote kwa njia ya PM!

  Ngoja niwashirikishe wanajamvi wote,...ni kwamba

  NIMEFIKISHA POSTS 1000 SASA HIVI!...Nipongezeni bana!
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hongera sana mkuu tuko pamoja.
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  dah Hongera mkulu,

  mbona hiyo PM imekaa kike kike hivi, au macho yangu? hongera zimeanza kwa ma SHE? LOL
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ahsante sana Mkuu wangu, Nyie ndo company yangu mlioniwezesha!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ndo hivyo Mkuu! Nashukuru babaake!
  Si unajua JEIEFU watu kibao!
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Napendaga comment zako sio ndefu hadi mtu unashindwa kusoma.Pia wewe sio mtu wa bandika bandua hata kama unaandika line moja inatoka kwenye akili na moyo wako.
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hongera sana Mkuu, tehe
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Noted with my deepest appreciation! May God keep you pals safe!
   
 9. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hongera sana Paka Jimmy...shukrani kwa michango yako maridhawa:)
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  hongera Tom, ninakuandalia ki Jerry cha zawadii.
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Aksante Mkuu...Nitumie kipacha kimoja kati ya hivyo...huenda baba yao huyo chini akazinduka!..lol.!
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Navipenda vidudu hivyo kishenzi!...Nina library kubwa ya picha zao...Thanx men, you guys keep my world spinning... bblessed too!
   
 13. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #13
  Nov 4, 2009
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Nguli nawe unakaribia kufikisha 1,000 posts. Lakini siku nyingi naona unaandika, mbona hazifiki? Kumbe mi naandika sana basi, nipongeze :)
   
 14. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Habari wakuu ! Kwa kipindi kadhaa nililazimika kutokomea kusikojulikana kutokana na sababu ambazo ziko nje ya matarajio. Nadhani kuna kundi fulani pia lilikuwa kimya humu kama mimi, but I'm back na wengine mtawaona wanarudi mmoja mmoja. Nimekuta mabadiliko kadhaa ikiwemo style ya avatar za Burn. All in all hongera sana PakaJimmy.
   
 15. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2009
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,223
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280

  Haya chukua pongezi Paka!
  Karibu ktk klabu ya wakongwe wanaoibukia!
   
 16. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #16
  Nov 4, 2009
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Mi nilipoona kimya nikajua Sinkala yuko busy na "Bi Harusi" si unajua tena, :)
   
 17. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hongera sna Paka jimi
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Ha hahaa!
  Ulikuwa bado Honeymoon Mkuu Sinkala?

  Angalia hii mambo, ndoa MPYA ilivyo tamu utasahau ofisi na uanze kutafuta mchawi bureee!

  Nashukuru mkuu kwa pongezi, tuko pamoja!
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Du...Bado naitwa wa kuibukia?

  Mkuu Idimi basi mimi nilifikiri nimeshakuwa mkongwe hadi naweza kuhamisha milima ndani ya JEIEFU!...kumbe najidanganya!

  Otherwise Thanx alot to you too, together we are!
   
 20. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu Hongera sana,

  Mimi zitafika tu, ila nafikiri content matters most than the number of post, ndio maana nilimpongeza PJ kwa kufikisha post 100 zenye content nzuri.
   
Loading...