Paka wangu analea mtoto wa panya.

he he maajabu bado yanaendelea ingawa kipaka kimoja kimekufa ila panya bado yupo wote tunataka tuone mwisho wa haka kapanya maana sisi hapa nyumbani tupo kwenye mshangao au haka kapanya kametumwa jamani usikute shetani tunalea?
 
Mmmmhh! Ckupata kuckia ki2ko kama hiki kama mpk leo wapo hai hebu 2pe na picha ikiwezeka Mamzalendo. Adui wa Paka na Panya! Leo ni Mabest? Kutatokea mengi dunia hii ya Adam na Hawa. Tupe picha ikiwezekana mwenze2.
 
<b>Paka hali panya waliokufa</b>
<br />
<br />
Nakubaliana na wewe Mkuu. PAKA HALI PANYA ALIYEKUFA WALA ALIYEHAI. Just atawaua tu na kuchezea chezea lakini hali. Mtoa mada hapo juu sijui anataka kutujaribu akili zetu? Au !!!!
 
paka genius hilo linamsubiri akue akue anone kwanza kuna siku utaenda utakuta manyoya
 
Juzi kaka anayetusaidia kazi alikamata panya watatu mmoja mkubwa, wawili wadogo lakini mkubwa na mdogo mmoja akawaua akampa paka wangu ambaye naye amezaa watoto watatu akawala wale waliokufa. akamtupia paka wangu katoto kamoja ka panya kaliko hai huwezi amini alikachukua hadi kwenye box walipo watoto wake mpaka leo kale kapanya kapo hai na kanalala na hao watoto wa nyau na mama nyau yupo! hapa nyumbani tumekumbwa na mshangao hivi kuna mtu alishaona hili? na je huyu paka ana akili timamu?

kwa kweli inashangaza sie wa kwetu wa nyumbani yeye anawakamata tu ila hawali
 
<br />
<br />
Nakubaliana na wewe Mkuu. PAKA HALI PANYA ALIYEKUFA WALA ALIYEHAI. Just atawaua tu na kuchezea chezea lakini hali. Mtoa mada hapo juu sijui anataka kutujaribu akili zetu? Au !!!!
Mimi ni mfugaji mzuri wa paka inategemea na paka lakini wanakula kabisa
 
Jamani hiyo hapo nimeattach hope mtakiona kipanya na mkia wake ntapiga nyingine hadi uso mkaone kamenisumbua kidogo
aaah mbona kawaida saana bwwana cheki hii :

panya.jpeg
 
yani ww umenifanya nisikie huzuni sana,nimejiuliza maswali!!
kumbe mtoto nyani alikufa later?ah
 
umekachunguza vizur hako kapanya kama kana maandishi yoyote mwilini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom