Paka wangu analea mtoto wa panya.

Paka wangu analea mtoto wa panya.

Amazing,huyu nyau atakuwa ni mama huruma 2,it seems anaeza kulea hata katoto ka mbwa
 
Mimi ni mfugaji mzuri wa paka inategemea na paka lakini wanakula kabisa
<br />
<br />
Maybe yes or no. Inaonyesha paka wako huwapi chakula au hawashibi.
 
Dah..Huyo paka ana upendo tu lasivyo angeshamla longtime..ila nna wasiwas iko siku atamla tu.
 
Oh my dia friends kipanya at the end of the day kilipotea hatujui kililiwa au kaliondoka?na vipaka vyote vimeshakufa alikuja mbwa wa jirani vikiwa nje vinacheza akavichukua vyote,amebaki mama nyau 2,
 
duu!hii cinema ilikua poa sana!ila imeisha kabla ya muda wake!mkuu ulikosea,ungewajengea kibanda cha nyavu ili ufanye research!unaweza pata phd hv hv!
 
record hao paka na panya onana na watu wa DSTV wakuelekeza pa kupata wahusika wa NATIONAL GEOGRAPHIC CHANNEL WANA KIPINDI CHAO CHA cought on camera WATAIRUSHA NA UTALIPWA. MTAJI HUO UNAUKALIA.
 
dah hata mimi nilitaka nisiamini na baada ya kuona picha asee dah..! that is amaizing sijapata ona japo ninasikiaga tu..! mambo ya ajabu yanatokeaga..!
 
mimi paka wengi nilokutana nao hawali panya instead wanaua na kuwaacha....
 
Juzi kaka anayetusaidia kazi alikamata panya watatu mmoja mkubwa, wawili wadogo lakini mkubwa na mdogo mmoja akawaua akampa paka wangu ambaye naye amezaa watoto watatu akawala wale waliokufa. akamtupia paka wangu katoto kamoja ka panya kaliko hai huwezi amini alikachukua hadi kwenye box walipo watoto wake mpaka leo kale kapanya kapo hai na kanalala na hao watoto wa nyau na mama nyau yupo! hapa nyumbani tumekumbwa na mshangao hivi kuna mtu alishaona hili? na je huyu paka ana akili timamu?
Hako katoto ka panya ndio kapo kwenye hiyo picha ya AVATAR yako?
 
Huyo paka ameshaona kuwa huyo panya hamumtendei haki kumuu. Kama mnampa chakula cha kushiba kwanini amuue panya.
 
Back
Top Bottom