Well saidTuwache siasa za udini pembeni tuangalie uhalisia.
Naomba tumsikilize huyu mtumishi wa Mungu tuna cha kujifunza juu ya ustawi wa maisha yetu kama watanzania.View attachment 2373285
Unafiki wa kisiasa😅😅Tuwache siasa za udini pembeni tuangalie uhalisia.
Naomba tumsikilize huyu mtumishi wa Mungu tuna cha kujifunza juu ya ustawi wa maisha yetu kama watanzania.View attachment 2373285
Hayo yote yalifanyika chini ya utawala wa mh miti mingi JiweWell said
Alikuwa wap enzi za mwendazake akat masifio yalifika Hadi juu ya kitu Cha enziChawa wataanza kumparua Padre sasa hivi bila kupima uzito wa ujumbe wake.
Samia ndio kajiondoa au mtu wenu JPM mlikua wap kuongea akiwepoTuwache siasa za udini pembeni tuangalie uhalisia.
Naomba tumsikilize huyu mtumishi wa Mungu tuna cha kujifunza juu ya ustawi wa maisha yetu kama watanzania.View attachment 2373285
Jiwe alichafua kila sehemuSamia ndio kajiondoa au mtu wenu JPM mlikua wap kuongea akiwepo
Point ipo lkn kwanini hakusema haya enzi za magu maana ndio uchawa ulianzia hapoKwahiyo hujaona point kabisa kwenye hili andiko la padre?
Jiwe ndiyo alijiondoaAlikuwa wap enzi za mwendazake akat masifio yalifika Hadi juu ya kitu Cha enzi
Et mh Mungu pumbavu mwambie kitima atulie
Jiwe alikuwa katili sanaPoint ipo lkn kwanini hakusema haya enzi za magu maana ndio uchawa ulianzia hapo
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Hiyo nayo nimoja ya kazi ya munguMapadre fanyeni kazi ya Mungu.
Maoni yenu kwa sasa yamechafuka.
Labda umemfahamu leo padreWakati Azory Gwanda na Ben saanane wanatoweka mbona hawakusema haya?Magufuli alikuwa anafunga watu hovyohovyo anawapoteza,anawabambikizia watu kesi,anapora fedha za watu viongozi wetu wa dini walikuwa kimya!
Viongozi wetu wa dini mseme kila nyakati,hata zile nyakati za hatari.
Rudi kwenye mada usichanganye mafaili kukwepa ukweli!!!Wakati Azory Gwanda na Ben saanane wanatoweka mbona hawakusema haya?Magufuli alikuwa anafunga watu hovyohovyo anawapoteza,anawabambikizia watu kesi,anapora fedha za watu viongozi wetu wa dini walikuwa kimya!
Viongozi wetu wa dini mseme kila nyakati,hata zile nyakati za hatari.
nafikiri umeanza kumjua janaPadri yupo sahihi...lakini kwa nini hakutuyasikia haya kipindi cha JPM,ilifika hatua hadi anapewa mic kanisani ahutubie.....huku wakina Pengo wakimtaka Makonda awe raisi wa awamu ya Sita.
Ni kweli Padri Kitima yupo sahihi,"Unafiki wa kisiasa unaondelea miongoni mwa watanzania,utaliangamiza taifa"
Ifike mahali sasa viongozi wawe wanatuma maombi ya kazi, interview ifanywe na wananchi hadharani na wapangiwe kazi na kusimamiwa na hata kufukuzwa na wananchi, hii teuanateuana inatuumiza sanaKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima ametahadharisha unafiki wa kisiasa unaoendelea miongoni mwa Watanzania kwa sasa kwa kupenda kusifia kila jambo kuwa utaliua taifa.
Amesema tabia hiyo inaendelea kupata mashiko nchini kutokana na upeo mdogo wa watu kushindwa kujua misingi ya haki za binadamu na badala yake wanatanguliza maslahi yao binafsi mbele .
Akizungumza leo Dar es Salaam, Septemba 30, 2022 katika kongamano la viongozi wa dini zote linaloangazia haki za binadamu nchini, kiongozi huyo amesema tabia hiyo iliyojengeka isipokomeshwa ni wazi mahusiano mazuri miongoni mwa Watanzania yanaenda kupotea.
"Unafiki unaharibu nchi, unafiki wa kisiasa uliopo miongoni mwa Watanzania kupenda kusifia viongozi ili tu kujipendekeza wapate vyeo unaenda kuliua Taifa na tatizo hili linaendelea kwa sababu watu hawajui misingi ya haki za binadamu," amesema Padri Kitima
Kiongozi huyo wa kiroho amesema hata kujitoa kwenye mahakama ya haki iliyopo Arusha na kuwahamisha wananchi kutoka Loliondo kwenda Handeni mkoani Tanga ni uvunjivu wa haki za binadamu.
"Kwa sababu nchi imeridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa inayohusu haki za binadamu," amesema
Amesema wao kama viongozi wa dini baada ya kuona tabia hiyo hususan miaka mitano iliyopita, mwaka 2020 walianza kuandika kitabu Cha elimu ya haki za binadamu kwa lengo la kuanza kutoka elimu watu wote.
"Haki za binadamu haziombwi, zinapiganiwa, dini ni kiungo muhimu na tumeona tufanye hivi na tunatarajia kuwafikia viongozi 16,000 nchi nzima na kushuka kwa Watanzania wote," amesema
Chanzo: Mwananchi
Yeye na Kanisa lake pia ni Wanafiki. Wakati wa Mwendazake ambaye ndiye mwanzilishi wa hii tabia hawakudiliki kusema kitu. Sana sana walimsifia.Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima ametahadharisha unafiki wa kisiasa unaoendelea miongoni mwa Watanzania kwa sasa kwa kupenda kusifia kila jambo kuwa utaliua taifa.