una uhakika waislam ndio wamefanya hivi ebu achana na fikra zako za mgando, alipigwa sheikh ponda risasi mkasema gaidi sasa padri ndio ana thamani sana? Acheni ushabiki Mungu wangu ndio Mungu wako hata kama hutakiZanzibar what the hell is happening
Wale mabinti wa kizungu walivaa vimini ikasemwa ndio sababu ya kuwamwagia - Sasa huyu Padre nae amevaa nini???
Waislam tuache ujinga wa kushikiliwa vichwa kwa manufaa ya wachache......huu si ubinadamu hata kidogo wala hakuna thawabu kwa matendo haya ya kinyama
Haya mambo yatatugharimu sana hata kwa vizazi vijavyo