Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
majanga tena zanzibar ,padri wa kanisa katoliki amemwgiwa maji yanayodhaniwa ni tindikali leo majira ya saa kumi jioni hii
alikuwa antoka kwenye internet cafe. chanzo cha habari chanel ten
 
Ndugu, kabla hujamrudisha mzanzibari yoyote kutoka darisalama, utaondoka wewe kwanza kurudi sengerema. Wazanzibari siyo watu wa kuja hapa darisalama. Darisalama imewahi kuwa sehemu ya Zanzibar. Sengerema hatuna uhusiano nayo wowote.
kwikwi, teh teh, mnaanza kung'ang'ania dar sasa, hapo mtatoka hata kwa magreda...
 
Wale watetezi wa haki za binadamu nikianza na mama yetu mpendwa Aneth Kijo Bisimba kwa nini msilione hili suala linaloendelea la uonevu na udhalili dhidi ya watu ambao hawana hatia???????
 
Wale mabinti wa kizungu walivaa vimini ikasemwa ndio sababu ya kuwamwagia - Sasa huyu Padre nae amevaa nini???
Waislam tuache ujinga wa kushikiliwa vichwa kwa manufaa ya wachache......huu si ubinadamu hata kidogo wala hakuna thawabu kwa matendo haya ya kinyama
Haya mambo yatatugharimu sana hata kwa vizazi vijavyo

Ume prove kama muislam ndio kamwagia wacha vyombo vya dola vifanye kazi yake au wewe ndio msemaji wa jeshi la polisi zanzibar?
 
Hii hali sasa inatisha usalama wetu umekuwa mdogo sana, serikali fanyeni kazi yenu kuwasaidia raia na haya majanga ya tindikali...pole sana Padre kwa mtihani uliyopata Mungu atakujalia.
Sema usalama wao Ritz. Imani yao ya kidini ndio inayowatesa hivi. Utadhani Mungu naye ana DINI!
 
Hauko sahihi hata kidogo. Huo ni ugaidi tu. Uislam sio ugaidi ila kuna magaidi ambao ni waislamu.

hakuna tofauti ya uislam na ugaidi! Muislam anayebadili dini (apostate) mnatakiwa kumuua ili Allah wenu afurahi
 
majanga tena zanzibar ,padri wa kanisa katoliki amemwgiwa maji yanayodhaniwa ni tindikali leo majira ya saa kumi jioni hii
alikuwa antoka kwenye internet cafe. chanzo cha habari chanel ten

Nini tena jamani kamanda wa polisi ana semaje na au tuna subili fbi, waje kuchunguza?
 
nitakusaidia, uislam uondoe kitengo cha propaganda dhidi ya ukristo! Kuna tuvyuo twa kufundisha kutafsiri Biblia tofauti na kuaminisha kuwa Issa ni YESU na eti Biblia Takatifu imechakachuliwa.

USHAURI: Hakuna jina la YESU kwenye Korani hivyo msilitamke. Mumkome YESU wetu

unahangaika lakini ngoja tukujuze.
yesu kwenye hiyo biblia yako anakwambia si kila mtu anae mwita bwanabwa atauona ufalme wa mungu isipokuwa yule tu atakaefanya mambo yanayopendezwa na baba yake alio mbinguni.
kwa hio kumtaja yesu au issa au jesus au jessie au bebeto sio hoja kama unavyotaka bali matendo yako yampendezeshe yeye alie mbinguni.
soma zaidi kuhusu yesu ulie nae na matendo unayoenda nayo kama yanaendana kisha ujivune juu yake.
usitangulie stand wakati nauli anayo mtu mwingine.
 
Sijuwi hata tanzania yetu inaelekea wapi?
Ok, ngoja waje FBI wachore tena.
 
Weka source mkuu mnaanza kazi yenu kukurumbuka tu
Wewe utakuwa mgonjwa wa akili kama sikosei au ni mvivu kama mlenda!Yaani unakuja kutoa comment zako uk 12 huko nyuma koote Tangia uk 1-12 wamechangia wanaJF wakaelezea vyanzo tofauti vitatu huoni/hujui bado unauliza!Anayekuruka nani kati yako na mleta bandiko au wewe ndo umemwagia iyo kityu asa unataka kujua vyombo gani vimeripoti uharamia huo.Kwa msaada wako tutani ..ITV,Radio 1...
 
padri wa kanisa katoliki zanzibar amemwagiwa majimaji yanayo dhaniwa kuwa ni tindikali alikuwa anatoka kwenye internet cafe amelazwa hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar chanzo Chanel ten
 
Kama wewe sio mkristo unasoma biblia kama tamthilia kwa hiyo usi bishanie kitabu kitakatifu.
 
Kama ningeweza Zanzibar ningeisogeza Mbali sana na Tanganyika-J.K Nyerere
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom