Nimefatilia mjadala huu kwa kina, nilichokiona nimashindano ambayo kimsingi uwiano wake na title au hoja halisi
ya kumwagiwa padri tindikali ni mdogo sana naona mjadala umejikita kwenye utetezi wa kidini na kushambuliana
Mimi ningedhani kwa kila anayejadili kati yenu yaani ali777, Nicholas, Kikwajuni one na Elungata main nk
Nimtazamo na rai yangu; kwakila bishanio/hoja na ufafanuzi rejeeni kwenye hoja Je kunauhusiano wowote na
matukio ya tindikali na kupigwa risasi kwa wahusika huko zanzibar?. lengo jamii ijifunze pia serikali, nadhani
baadhi ya watendanji ni memba humu nao wapate lau pakuanzia kumtafuta mchawi.
Sio lengo langu kujiingiza katika mkorogano huu, ni ushauri tu..........
Lakini naona mnapena vifungu ambavyo kwamtazamo wangu sasa mnatoka nje ya mada na kubadili kabisa mwelekeo na
mtazamo wa uzi huu.