Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Haya yanatokea katikati ya mhemko wa Katiba mpya ya Muungano na Muundo wa Muungano huo,

Zingatieni matukio ya nyuma kisha ulizeni serikali ya Zanzibar na ya Jamhuri zimefikia wapi katika kuchukua hatua?

Mkikosa jibu rudini chini kwa tafakuri pembuzi, kisha ulizeni nani yupo juu ya serikali mpaka akatamalaki katika uga huo?

Mkimaliza yote utulieni na serikali, muiulize lengo lake litatimia kama jamii fulani imekataa ukandamizwaji?

Inauma sana, inauma sana,

Inauma hasa unapomuina muuaji akikufumba macho kwa bakuli la tume,

Kama Mungu ulivyo wa haki, na iwe vile upendavyo katika ardhi ya Zanzibar na katika Ardhi ya Tanganyika,

Watawala wakaidi na useme nao kwakufungua fikra za watu wako na wawe huru chini ya uvuli huu wa mauti!
Mkuu Matukio haya ya Viongozi wa dini kumwagiwa tingikali; si huko zanzbar tu, na wala si wachungaji tu. Hata mashekhe pia tumeona.Wanaofanya matukio haya ni kundi linalofahamika vyema.Serikali na vyombo vya usalama vinalifahamu kundi hilo vyema.wanajua vyema kwamba lengo la kundi hilo ni kuchochea vita vya kidini ili kuhamishia tension yote huko na kuacha mambo mengine lakini hawajachukua hatua.Mimi ninachokisema; Serikali hii haitoweza kukwepa lawama kwa madhara yote yatakayojitokeza.
 
vipofu mabubu viziwi ndio wanaweza kudanganyika na expenderble way of tactics.
1.si muda mrefu tangia freeman mbowe kutolewa nje bungeni.ambapo ilipekea wabunge wa cuf na nccr kutoka nje kwa vurugu.
2.the main issue ilikuwa zanzibar kutoshirikishwa katika mabadiliko ya rasimu
3.huu uwasi wa uamsho hauendani na recent event yoyote ya hivi karibuni.
namalizia kwa kusema msidandie treni kwa mbele kwa lile msilo lijuwa.

We utakuwa ni product ya waiba mitihani!
 
Haya sasa, inasemekana kumbe padri huyu alikuwa anamgegeda mwanamke aliyeachika wa bwana Mohamed Tawaqal mkazi wa Kisima majongoo. Bw. Tawaqal aliwahi kumpa onyo padri huyu kwamba mahusiano ya Padri na bi Munawwar, ambaye ni mtalaka wa bwana Tawaqal yamesababisha jitihada za Bw. Tawaqal za kurudiana na mkewe zisizae matunda; alisikika akisema sheha wa kisima majongoo bwana Omary Turist, au Enchaidi.



Wajaamen, habari ndiyo hiyo.
mapadri wenyewe hawa dizayni ya yule mzee wa bonde la mpunga, usishangae kusikia tindikali hewani kila siku.
 
Sad, wakimaliza kuwamwagia Mpadri na wachungaji watageukiana na kuanza kumwagiana wenyewe kwa wenyewe,,,
Huyu Mswali Sunni, huyu Mswali Shia...
 
>Mkristo kamwe hawezi kupata haki zanzibar...!Wazanzibar ni watu waajabu wasio na upendo.. Mungu wao hana upendo kwa wanadamu wenzao.. Mungu wao anawataka kuwauwa wasiofungamana nao! NADHANI HIZI NI DINI ZA IBILISI...

mkisha patwa na maswahibu mnaushambulia uislam pasi na elimu.
mambo ya znz yapo kisiasa zaidi kuliko dini,kasome.
 
kama hawautaki ukafiri,suluhisho ni kuwamwagia watu tindikali?
Msitake kuleta tafrani ambazo hazina uhalisia,
Ieleweke hasa,kipi wanagombania,usitake kuamsha hisia za watu waje waseme kwamba wanaofanya ivo ni waislam,hakuna kipengele katika uislam kinachohalalisha ukatili kama huo kwa watu wa iman zingine,
Kama huna cha kuandika ni vema ukakaa kimya,
Ni kweli mkuu watu hawaujui uislamu lakini wao ndio wakwanza kuhukumu

mambo wasiyo yajua, wakuu usomeni kwanza uislamu kabla ya kutokwa na povu.
 
Hayo mambo yanafanywa na waislamu. Dalili zote ni wao. Huku Bara hatumwagii mapadri tindikali wala shehe.HAO WAISLAMU WANAOFANYA HAYO hawawezi kulazimisha kueneza uislamu kwa njia za kipuuzi kama hizi.

Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao

Tunafanya makosa makubwa sana kuhusisha wenzetu waislamu na kila tukio la kumwagiwa tundikali watumishi wa Mungu huko Zanzibar ambao si Waislamu. Inawezekana wanaofanya hivyo dini zao ni Uislamu lakini si kwamba Uislamu ndio umewatuma wafanye hivyo na sidhani kwamba uislamu unaagiza waislamu kuwadhuru wasio waislamu. Labda tujiulize swali mara moja, kwa nini inapotokea Muislamu flani akiinde kuiba kwa kutumia silaha kwenye nyumba ya Mkristo hatusemi ni Waislamu? Au pale Mkristo anapoenda kuiba kwenye nyumba ya Muislamu kwa kutumia bastola na pengine kusababisha vifo hatusemi ni Wakristo?

Ninachojua Mimi kuna watu wanataka kutumia mgongo wa dini kuvuruga amani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Ni vyema Watanzania mkalijua hili mapema. Ni mwendelezo ya matukio ya ki-uoga. Pole sana Padri, poleni Wakatholic wote na Waislamu wote mlioguswa na tukio hili baya..
 
Wazanzibar ni watu wa amani sana na huu utakuwa ni mchezo wa wale wanaogogopa kuiona ZNZ ikiwa huru. Hatuwezi kumeza propaganda za kijinga kama hizi, haingii akilini mtu mwenye akili timamu akammwagia tindikali au kufanya jaribio lolote la kutaka kumdhuru kiongozi wa kidini au yeyote yule.

Nadhani ni muda muafaka kwa wananchi kuilazimisha serikali kuweka wazi uchunguzi na uwajibishaji wa wanaofanya hivi vitendo kama kweli haya yanafanywa na wananchi wa kawaida!

Hakika umenena Tume ya Katiba hapa ni wazi kuna njama za kuhakikisha zanzibar haiwi huru na hili si jambo la kuangalia kwa sura moja tuu, hapa kuna jambo limejificha kabisa na watu wamefumbwa na ukristo na uislam.
 
Last edited by a moderator:
Wana JF,

Nina habari mbaya za Padre Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Zanzibar kumwagiwa tindikali huko Mlandege katika cafe ya Sun Shine.

More information to follow.

pole zake mhubiri wa mungu..
 
Niliona post moja hapa yenye kichwa cha habari kilichonivutia»KUKU TULIOWAFUNGULIA ASUBUHI,NDIYO WANARUDI NDANI, tusiwakatae kuku wetu,na wengine wanaanguliwa daily.
 
Nina mashaka na hii dini inayoenezwa kwa kumwaga damu za binadamu wengine

properganda za tangia mwaka 1094, bado mnazo tu.kwani hapo zanzibar tangia dola ya azania kunajeshi gani lililo mwaga damu mpaka wazibar 96% wakawa waislam.
 
Serikali ya Zanzibar haya matukio ya watu kumwagiwa tindikali hasa mapadre ndokusema mnaflahiwa nayo?wakristo wakichoshwa hali hiyo itakuwa vita kali sana hapo znz.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom