Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Zenji si salama kwa wakristo.

Niliwahi kusema hapa hali ya usalama hasa kwa wakristo huko zenji sio salama sana kama tunavyofikiria. Japo sijui sana kuhusu hilo lakini viashiria tu vinaonesha kwamba kuna jambo. Watu wawe makini. Watu waache umimi na watu wote wamuogope mungu haya mambo hayatatokea tena.
 
Juzi Marekani walitaka kupeleka majeshi kumaliza vita ndani ya Syria, usiku ule ule wapinzani wakaenda kuwachinja wakristo ambao Assad alikuwa amewapa ulinzi wakaishi kwa amani miaka yote. Ilipofika asubuhi Kesho yake , siku ambayo dunia ilitegemea kumsikia Obama atangaze vita stori ilibadilika akasema tuache diplomacy ichukue mkondo. (hakuna tena haja ya kutuma majeshi kumuondoa Assad)

Vita imeachwa iendelee watajijua wenyewe

Utamaduni wa tindikali Zanzibar umekuwa sehemu ya maisha ya kila siku, nadhani nimewahi kusikia masheikh kama watatu au wawili nao walimwagiwa tindikali. Hii hali tukiiacha iendelee itakuja kuwa kama Syria tu.

Kwa kifupi nikiwa Zanzibar halafu namuona kijana ana kidumu mkononi anatembea kuja upande wangu lazima nipige risasi hewani

Mwenye akili na aelewe

Zanzibar kuna tatizo- tena tatizo kubwa sana.
 
Zanzibar kuna ugaidi wa matumizi ya tindikali, sio kwa wakristo tu, mbona hata sheikh alimwagiwa tindikali? Polis na vyombo vya usalama wakamate magaidi hayo!
 
Wana JF,

Nina habari mbaya za Padre Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Zanzibar kumwagiwa tindikali huko Mlandege katika cafe ya Sun Shine.

More information to follow.
Waislam siku zote yakitokea matukio ya kinyama kama hayo huwa tunalaani lakini wakristo walio wengi huwa wanafurahi madhila kama haya yanapowakuta waislam mfano alipopigwa risasi Sheikh Ponda,humu humu jamii forum,tena walidiriki kusema bora huyo Gaidi angekufa,hao ndio baadhi ya wakristo,lakini sisi waislam tunalaani vitendo vya kinyama kama hivyo.

Ili kukomesha matukio kama haya lazima wakristo na waislam tushirikiane kwa pamoja kuibana serikali ili iwasake wahusika wote na hatimaye wapewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wanahusika na matendo ya kinyama kama hayo
 
Mimi naamini hii imefanywa na watawala na si waislamu, imefanywa ili kupoteza sura ya suala la znz kutoshirikishwa katiba mpya. Waislamu ni ndg zetu, tusichukiane kwa mbegu zinazopandwa na watawala tukakamilisha malengo yeo.
Suala la mbowe kufukuzwa bungeni na suala la znz kutoshirikishwa ktk katiba mpya liliwaleta pamoja wapinzani, na wananchi hvyo lazma itatafutwa mbinu ya kuwagawanya tena
 
Haya sasa, inasemekana kumbe padri huyu alikuwa anamgegeda mwanamke aliyeachika wa bwana Mohamed Tawaqal mkazi wa Kisima majongoo. Bw. Tawaqal aliwahi kumpa onyo padri huyu kwamba mahusiano ya Padri na bi Munawwar, ambaye ni mtalaka wa bwana Tawaqal yamesababisha jitihada za Bw. Tawaqal za kurudiana na mkewe zisizae matunda; alisikika akisema sheha wa kisima majongoo bwana Omary Turist, au Enchaidi.



Wajaamen, habari ndiyo hiyo.
mapadri wenyewe hawa dizayni ya yule mzee wa bonde la mpunga, usishangae kusikia tindikali hewani kila siku.

>Upumbavu pia ni akili!!
 
Kuna watanganyika humu wanawachukia sana wazanzibari. Lakini watanganyika hao hao wanaipenda sana Zanzibari. Katika pita pita zangu za kusoma vitabu, nimewahi kumsoma mtu anayeitwa Hendrik Verwoerd. Huyu jamaa ndiye aliyesimamisha ile sera ya ubaguzi wa rangi Afrika Kusini. Kwa ufupi, huyu jamaa aliwachukia sana waingereza kwa sababu alikuwa akiwaona kuwa waingereza ni Liberals na wanausaliti uzungu. Basi alipata Scholarship ya kwenda kusoma Uingereza akaikataa na akaamua kwenda kusoma Ujerumani ambako ubaguzi ulikuwa ndiyo mtindo wa maisha.

Sasa nilichojifunza kutoka kwa Verwoerd ni kufanya mambo/maamuzi kwa mujibu wa kanuni. Kama huwapendi wazanzibari, basi ichukie na Zanzibari. Kwani lazima muwapelekee dini yenu wakati mnajua kwamba hawaitaki?

Hii tindikali ni matokeo tuu, jee chanzo ni nini? Wajinga wanaacha kutazama chanzo cha matatizo, wanaangalia matokeo ya matatizo. Mbona padri wa biharamulo au peramiho hamwagiwi tindikali?
 
Zanzibar%2520mai%252009%2520010.jpg
 
Juzi Marekani walitaka kupeleka majeshi kumaliza vita ndani ya Syria, usiku ule ule wapinzani wakaenda kuwachinja wakristo ambao Assad alikuwa amewapa ulinzi wakaishi kwa amani miaka yote. Ilipofika asubuhi Kesho yake , siku ambayo dunia ilitegemea kumsikia Obama atangaze vita stori ilibadilika akasema tuache diplomacy ichukue mkondo. (hakuna tena haja ya kutuma majeshi kumuondoa Assad)

Vita imeachwa iendelee watajijua wenyewe

Utamaduni wa tindikali Zanzibar umekuwa sehemu ya maisha ya kila siku, nadhani nimewahi kusikia masheikh kama watatu au wawili nao walimwagiwa tindikali. Hii hali tukiiacha iendelee itakuja kuwa kama Syria tu.

Kwa kifupi nikiwa Zanzibar halafu namuona kijana ana kidumu mkononi anatembea kuja upande wangu lazima nipige risasi hewani

Mwenye akili na aelewe
mzee wa kujifichia magari una bastola au ndiyo iliyotumika soweto Arusha.
 
Z'bar nimeishi miaka saba hata ukiwa muislam hawakuamini kwa kuwa umetoka bara,utaulizwa ulizaliwa muislam au ulibadili?

Huo ni uongo, Mzee Ruksa na Aboud Jumbe wote wamezaliwa bara, na wote wamekuwa marais Zanzibar. Wazanzibar wanawajua watu wa bara wanaofanana nao na pia wanawajua watu wa bara wasiofanana nao. Hakuna mtu wa pwani ya Tanganyika ambaye hana ndugu wa damu kabisa Zanzibar.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom