Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
Haya yanatokea katikati ya mhemko wa Katiba mpya ya Muungano na Muundo wa Muungano huo,
Zingatieni matukio ya nyuma kisha ulizeni serikali ya Zanzibar na ya Jamhuri zimefikia wapi katika kuchukua hatua?
Mkikosa jibu rudini chini kwa tafakuri pembuzi, kisha ulizeni nani yupo juu ya serikali mpaka akatamalaki katika uga huo?
Mkimaliza yote utulieni na serikali, muiulize lengo lake litatimia kama jamii fulani imekataa ukandamizwaji?
Inauma sana, inauma sana,
Inauma hasa unapomuina muuaji akikufumba macho kwa bakuli la tume,
Kama Mungu ulivyo wa haki, na iwe vile upendavyo katika ardhi ya Zanzibar na katika Ardhi ya Tanganyika,
Watawala wakaidi na useme nao kwakufungua fikra za watu wako na wawe huru chini ya uvuli huu wa mauti!
Zanzibar ikiwa huru hakuna shehe wala kasisi atakaejeruhiwa ama kumwagwa damu,
Uhuru wa Zanzibar upo chini ya Serikali TATA chini ya Shirikisho la Jamhuri ya Watu wa Tanzania
Tanganyika huru inaewezekana na Zanzibar huru inawezekana, Tanzania itasimama imara kutokana na nchi hizo mbili kuwa huru!