Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Aiseee hii hatari. Mambo haya si yalikwisha khama? Daaa so sad.

Infomer source?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana padri tunakuombea upone hara ili utimize ahadi na ma agi zo ya kristo kwamba hubiri Samaria, Yudea na hata miisho ya Ulimwengu
 
Kama hizi "dini" wangekuwa wanamwabudu "mungu" mmoja wangependana....nina mashaka na miungu yao.
 
Padri mmoja aitwaje Mng'amba amemwagiwa tindikali alsaasili hii maeneo ya Mlandege Zanzibar. Inasemekana kuwa alikiwa akitokea “Internet cafe” iliyopo maeneo hayo. M0aka sasa yupo osipitali ya Mnazi mmoja ya Zanzibar kwa matibabu.
 
Mungu amsaidie padre apone haraka. so sad.
 
Tunalea ujinga na Kanisa linaendelea kuomba serikali dhaifu kuchukua hatua!! Kanisa lichukue hatua ngumu kidogo kukomesha hili! Nikisema hatua ngumu kidogo najua jinsi Kanisa linachoweza kufanya ktk mazingira hatarishi kuinjilisha au hata imani za waamini kuwa mashakani na hofu kuu.

kwanini issue ya dini kwa wakristo huwa mnapoteza comfidence zenu.
 
Wazanzibar ni watu wa amani sana na huu utakuwa ni mchezo wa wale wanaogogopa kuiona ZNZ ikiwa huru. Hatuwezi kumeza propaganda za kijinga kama hizi, haingii akilini mtu mwenye akili timamu akammwagia tindikali au kufanya jaribio lolote la kutaka kumdhuru kiongozi wa kidini au yeyote yule.

Nadhani ni muda muafaka kwa wananchi kuilazimisha serikali kuweka wazi uchunguzi na uwajibishaji wa wanaofanya hivi vitendo kama kweli haya yanafanywa na wananchi wa kawaida!
 
Pole yake, hafu unapoandika uwe makini,ulikuwa unakimbilia nini sasa!!?, kupost au?!
 
very sad newz get well soon Padre.
 
zanzibar hawautaki ukafiri

kama hawautaki ukafiri,suluhisho ni kuwamwagia watu tindikali?
Msitake kuleta tafrani ambazo hazina uhalisia,
Ieleweke hasa,kipi wanagombania,usitake kuamsha hisia za watu waje waseme kwamba wanaofanya ivo ni waislam,hakuna kipengele katika uislam kinachohalalisha ukatili kama huo kwa watu wa iman zingine,
Kama huna cha kuandika ni vema ukakaa kimya,
 
hivi gaidi mkuu shehe ilunga alishakamatwa!!???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom