Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao

Hauko sahihi hata kidogo. Huo ni ugaidi tu. Uislam sio ugaidi ila kuna magaidi ambao ni waislamu.
 
Aise Im expecting to go there next week kikazi...aise nimeogopa sana, na naenda HQ kuomba kubadilishwa haraka sana, siwezi tena kwenda kufanya kazi huko ,dah...Im highly bit scared!!
 
Siamini kuwa serikali imeshindwa kudhibiti hawa wahuni, ila naamini tatizo ni serikali kuongozwa na wahuni. Yani mtu umwagiwe tindikali mchana kweupe halafu aliekumwagia asikamatwe? Zanzibar inahitaji mapinduzi ya uongozi thabiti, huyu mzee shein amechoka full stop.
 
kuna kitu hapa sielewi sheikh kamwagiwa tindikali mara padre huko zanzibar kandayaziwa nako sheikh kamwagiwa tindikali hivi hapa uislam unaingiaje kwa wale mnao husisha uislam .....

nitakusaidia, uislam uondoe kitengo cha propaganda dhidi ya ukristo! Kuna tuvyuo twa kufundisha kutafsiri Biblia tofauti na kuaminisha kuwa Issa ni YESU na eti Biblia Takatifu imechakachuliwa.

USHAURI: Hakuna jina la YESU kwenye Korani hivyo msilitamke. Mumkome YESU wetu
 
wanaamini kuwa wakifanya hivyo wanapata thawabu kwa Mungu wao, sijui Mungu wao anakula damu za watu. shit tuepushie mbali na watu hawa

na eti watakuta mabikra wamepanga mstari wakiwa uchi wa mnyama, kazi kwao! Rotfl. . . .
 
wanagombea ukubwa hao, au upadree,wanajuana tu ,acheni kusingizia wengine na kuthubutu kutukana dini za wengine ,hivi mlishajua yote kiasi ya kuanza kulusha mawe.
 
Aise Im expecting to go there next week kikazi...aise nimeogopa sana, na naenda HQ kuomba kubadilishwa haraka sana, siwezi tena kwenda kufanya kazi huko ,dah...Im highly bit scared!!


Sizinga
Nenda kapige mzgo mkuu
Acha woga
 
Hii hali sasa inatisha usalama wetu umekuwa mdogo sana, serikali fanyeni kazi yenu kuwasaidia raia na haya majanga ya tindikali...pole sana Padre kwa mtihani uliyopata Mungu atakujalia.
 
Kwa hiyo kwa Wazanzibar kuwepo binadamu mwezao asiye muislamu ni dhambi, ila ushoga na madawa ya kulevya ruksa? Huyo mungu wenu ni wa ajabu sana. He is more or less a Satan!
Nilikuwa natafuta jibu zuri la kumpa huyu mtu, naona umemaliza mkuu.
 
Wana JF,

Nina habari mbaya za Padre Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Zanzibar kumwagiwa tindikali huko Mlandege katika cafe ya Sun Shine.

More information to follow.

Weka source mkuu mnaanza kazi yenu kukurumbuka tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom