Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Tunafanya makosa makubwa sana kuhusisha wenzetu waislamu na kila tukio la kumwagiwa tundikali watumishi wa Mungu huko Zanzibar ambao si Waislamu. Inawezekana wanaofanya hivyo dini zao ni Uislamu lakini si kwamba Uislamu ndio umewatuma wafanye hivyo na sidhani kwamba uislamu unaagiza waislamu kuwadhuru wasio waislamu. Labda tujiulize swali mara moja, kwa nini inapotokea Muislamu flani akiinde kuiba kwa kutumia silaha kwenye nyumba ya Mkristo hatusemi ni Waislamu? Au pale Mkristo anapoenda kuiba kwenye nyumba ya Muislamu kwa kutumia bastola na pengine kusababisha vifo hatusemi ni Wakristo?

Ninachojua Mimi kuna watu wanataka kutumia mgongo wa dini kuvuruga amani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Ni vyema Watanzania mkalijua hili mapema. Ni mwendelezo ya matukio ya ki-uoga. Pole sana Padri, poleni Wakatholic wote na Waislamu wote mlioguswa na tukio hili baya..

sahihi mkuu.
 
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma Inshaallah atamponya Padre
 
[h=5]Padri wa kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar,Anselmo Mwangamba amejeruhiwa usoni na kifuani baada ya kumwagiwa tindikali.[/h]





Sorce: I T V Breaking news!!!!!
 
Tunafanya makosa makubwa sana kuhusisha wenzetu waislamu na kila tukio la kumwagiwa tundikali watumishi wa Mungu huko Zanzibar ambao si Waislamu. Inawezekana wanaofanya hivyo dini zao ni Uislamu lakini si kwamba Uislamu ndio umewatuma wafanye hivyo na sidhani kwamba uislamu unaagiza waislamu kuwadhuru wasio waislamu. Labda tujiulize swali mara moja, kwa nini inapotokea Muislamu flani akiinda kuiba kwa kutumia silaha kwenye nyumba ya Mkristo hatusemi ni Waislamu? Au pale Mkristo anapoenda kuiba kwenye nyumba ya Muislamu na bastola pengine kusababisha vifo hatusemi ni Wakristo?

Ninachojua Mimi kuna watu wanataka kutumia mgongo wa dini kuvuruga amani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Ni vyema Watanzania mkalijua hili mapema. Ni mwendelezo ya matukio ya ki-uoga. Pole sana Padri, poleni Wakatholic wote na Waislamu wote mlioguswa na tukio hili baya..

Ninaungana kabisa na wewe na pia nakumbuka maneno ya padre mmoja hv sitaki kumtaja jina katika tukio la bomu Arusha aliwahi kusema maneno hayo hayo kwamba...kuna uwezekano mkubwa sana kwamba matukio yote yanayotokea nchini juu ya kuwadhuru wakristo au makanisa haywahusu waislamu au uislamu kwa ujumla ila ni hila tu inayotumiwa na baadhi ya watu wasiopenda amani ya nchii hii. Hili ni kweli na pia nna imani kwamba hawa watu wanajulikana hata serikalini ila tu kwasababu shughuli zote za serikali wamekabidhiwa akina SHEMEJI basi wanaliona hili kama mchezo tu...ili waendelee kula pesa za wavuja jasho kwa kuunda tume zisizokuwa na majibu.

Eeeeee Mungu tunusuru sisi waja wako na inusuru hii nchi yetu uliyoiteua wewe kwa kutupatia kila kitu astahiricho mja wako. Na kwa uwezo wako mkubwa wahaibishe wale wote wanaoshiriki kutufikisha hapa tulipo sasa tunaishi bila amani tumefikia hatua tunaanza kuogopa hata kutaja mashehebu yetu...

Eeeee Mola tunusuru.
 
Noma sana.



=========================
Ukipa Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
=========================
 
Hii thread ikifikia saa moja moja itapamba moto sana....Sasa hivi watu wapo kwenye heka heka za usafiri..
 
Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao
Acha undumilakiwili wako,unauhakika waislam wamefanya huo unyama,said kubenea nani alimwagia tindikali,maneja wa home shopping center,sheikh Soraga,wale waingereza.Serikali iseme nani anayofanya matendo haya.
 
Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao

mkuu ndo unajua leo? Hebu pitia hapa upate zaidi. Www.bibleprobe.com
 
Juzi Marekani walitaka kupeleka majeshi kumaliza vita ndani ya Syria, usiku ule ule wapinzani wakaenda kuwachinja wakristo ambao Assad alikuwa amewapa ulinzi wakaishi kwa amani miaka yote. Ilipofika asubuhi Kesho yake , siku ambayo dunia ilitegemea kumsikia Obama atangaze vita stori ilibadilika akasema tuache diplomacy ichukue mkondo. (hakuna tena haja ya kutuma majeshi kumuondoa Assad)

Vita imeachwa iendelee watajijua wenyewe

Utamaduni wa tindikali Zanzibar umekuwa sehemu ya maisha ya kila siku, nadhani nimewahi kusikia masheikh kama watatu au wawili nao walimwagiwa tindikali. Hii hali tukiiacha iendelee itakuja kuwa kama Syria tu.

Kwa kifupi nikiwa Zanzibar halafu namuona kijana ana kidumu mkononi anatembea kuja upande wangu lazima nipige risasi hewani

Mwenye akili na aelewe
 
Kama ni kweli Mungu amponye mapema iwezekanavyo.
Zanzibar inahitaji majeshi ya kukodiwa!
Halafu mtu asema "Serikali Mbili, sijui manyoya ya nini"...fyuuuu!
 
Haya sasa, inasemekana kumbe padri huyu alikuwa anamgegeda mwanamke aliyeachika wa bwana Mohamed Tawaqal mkazi wa Kisima majongoo. Bw. Tawaqal aliwahi kumpa onyo padri huyu kwamba mahusiano ya Padri na bi Munawwar, ambaye ni mtalaka wa bwana Tawaqal yamesababisha jitihada za Bw. Tawaqal za kurudiana na mkewe zisizae matunda; alisikika akisema sheha wa kisima majongoo bwana Omary Turist, au Enchaidi.



Wajaamen, habari ndiyo hiyo.
mapadri wenyewe hawa dizayni ya yule mzee wa bonde la mpunga, usishangae kusikia tindikali hewani kila siku.

tunaomba utufafanulie zaidi. ni tetesi au ni kweli embu rudi kidogo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom