Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao
Mkuu unapochangia hoja ni busara sana kutotoa maneno yanayoweza kumjeruhi mwingine kiimani,kisaikolojia n.k. maandishi yako yanajeruhi dini uliyoitaja na kuilalamikia. Kumbuka uislamu ni dini inayohubiri amani, usichanganye dini na matendo binafsi ya watu.
Zanzibar ni zaidi ya uijuavyo, kutuhumu matukio hayo kuwa yanafanya na waislamu ni makosa makubwa. Ni mahakama pekee yenye mamlaka ya kutoa hukumu. Kwa nini unahukumu kwa hisia tu? Au ndio great thinkers wanatakiwa wawe hivyo? Acha chuki za kidini, tutulie tuviache vyombo vya usalama vifanye kazi yake.
 
Itafika hatua wakristo tutasema tumechoka, kwanini tuonewe? mara risasi mara tindikali, kwanini watu wamungu? halafu serikali inasema inafanyajuhuudi watu wakamatwe wapiiiiiiii? haya mambo ya mwisho, lakini mwisho wake utakuwa mbaya
Jamani hivi Mbeya kuna Mungu? Au ndio mungu was wachuna ngozi. Mbona kule makanisa ni kila baada ya nyuba Tatu? Mparaganyiko na kuchanganyikiwa
 
Hivi mbona masheikh humwagiwa tindikali name hatusemi.

Lakini ile risasi ya ponda kutoka vatikani it vatikan itaenda bila kulipwa? Mkuki .......m.mmmhhhhhh!!!!"
 
Mafundisho ya dini ya kikristo hayafundishi kulipa kisasi wala kumchukia ndugu, tofauti na mafundsho ya kiislamu yanayofundisha wayahudi na wakristo ni adui wa uislamu(makafiri)
Tumia akili yako kuchanganua hilo

Ponda ni wale wale wanaotishia usalama wa nchi na kusababisha machafuko mengi, probably ana maadui wengi kuanzia serikali hadi watu binafsi
 
Hivi waliotaka kumuua Ponda nao walitumwa na waarabu au vatikan?

matukio kama haya hayapaswi kuyatolea matamko makali kama wasemavyo wa kristo subra na iman ndio inatakiwa alafu yakipita tukae chin kutafakari tuliko toka
 
Acha hizo mambo wewe,
why are you so judgmental?
Umeambiwa waliofanya ivo ni waislam?
Huku bara hakuna waislam na uislam?mbona hayo matukio hatuyaskii?
Watu kama wana ajenda zao,wahukumiwe kwa hizo ajenda zao,usije toa maoni kwa kuwa umeona population kubwa ya huko ni muslims,acha kabis mawazo ya kunyoosheana vidole,tuheshimiane,tuchunge mihemko ya iman zetu


AL - MAIDA 5:51
51. Enyi mlio amini!
Msiwafanye Mayahudi
na Wakristo kuwa ni
marafiki. Wao ni
marafiki wao kwa wao.
Na miongoni mwenu
mwenye kufanya urafiki
nao, basi huyo ni katika
wao. Hakika Mwenyezi
Mungu hawaongoi watu

* 51. Enyi mlio amini! Si
halali kwenu
kuwachukua Mayahudi
na Wakristo mkawafanya
ndio marafiki zenu. Wao
hao ni sawa sawa katika
kukufanyieni uadui. Na
mwenye kufanya urafiki
nao, basi ni kundi moja
nao. Na hakika
Mwenyezi Mungu
hawaongoi wanao
jidhulumu nafsi zao kwa
kufanya urafiki na
makafiri.
 
Mafundishoo ya dini ya kikristo hayafundishi kulipa kisasi wala kumchukia ndugu, tofauti na mafundsho ya kiislamu yanayofundisha wayahudi na wakristo ni adui wa uislamu(makafiri)
Tumia akili yako kuchanganua hilo

Ponda ni wale wale wanaotishia usalama wa nchi na kusababisha machafuko mengi, probably ana maadui wengi kuanzia serikali hadi watu binafsi

Taarifa zote tunazo. Waliotaka kumuua ni kundi LA wakristo askari waliotumwa na kanisa. A cha uzabizabina. Majina tunayo.
 
Wale mabinti wa kizungu walivaa vimini ikasemwa ndio sababu ya kuwamwagia - Sasa huyu Padre nae amevaa nini???
Waislam tuache ujinga wa kushikiliwa vichwa kwa manufaa ya wachache......huu si ubinadamu hata kidogo wala hakuna thawabu kwa matendo haya ya kinyama
Haya mambo yatatugharimu sana hata kwa vizazi vijavyo
Kwa nini unahusisha vitendo vya kihalifu na uislamu na waislamu? Kwa ninu unatoa hukumu kuwa ni waislamu ndio wamefanya? Uislam ni dini ya amani, na IMEKATAZA kuwadhuru watu wa imani nyigine. Usichanganye dini na matendo binafsi ya watu wachache wanaofanya uhalifu kwa maslah yao ya kisiasa
 
Samahani KAFIR ni nani?

hapa ndipo tatizo lilipo uislam jambo lakwanza kulitangaza ni kusoma maana ukisoma hauta kuwa na fikra mgando KAFIR ni neno la lugha ya kiarabu kiswahili maana yake MPINGAJI waimani flan hivyo huwa halichagui ukristo wala uislam yeyote anaweza kulitumia kwamaana ileile ikawa ni sahihitu lisiwaume
 
Tunapochangia huu uzi, ni Lazima kwanza tutenganishe ugaidi na uislam.

Mh.....tatizo ni kwamba hata waislam wengi magaidi hawajaweza tenganisha tabia zao na dini yao.....pengine waislam wakiweza kubalina kuwa majinn ni haramu hapatakuwa na amani sana...majinn yanahitaji constant supply of blood....sababu nyingine nyingi sana ni sa kubadili reasoning...sijui uchonganishi, sijui kukosea maandiko, sijui chuki...hazina uzito.....
 
Ndg yang kua muungwana kwan hakuna sheikh aliewah mwaguwa acid? So na cc 2seme nn kuhusu ukristo wenu??
 
Wakristo sisi ni wazito pia kuchukua hatua,hata mkwara tuu tulishindwa kupiga kwa yale matukio mawili ya awali (Arusha na Zanzibar) kushinikiza watawala wachukue hatua,mpaka siku attempt afanywe kwa mwadhama kardinali ndo tutajua hali si shwari.
Viongozi wetu sharti watoe matamko,hali si shwari kabisa.
 
Kwa hiyo watanganyika wanautaka mfumo kristo?

Kila kwenye nchi yenye machafuko basi mkono wa makafiri unahusika.

Muungano na mfumo kristo ni ndugu wa damu.

Nadhani bichwa lako ni gumu kufahamu,utalazimishaje kukumbatia nyuki wakati nyuki hawakumbatiwi?tuachiwe tupumue.

Haya matukio mnayatengeneza wenyewe makafiri ili mpate kuwasulubu waislam,hamtofanikiwa kwa hilo.

Hii kitu huku zanzibr tunaita juice ya ukwaju,nooumaaaaa..


Bobwe

Unaona faidagani kujidhalilisha?

Kwa akili yako unadhani unapata thawabu eti? kwa kashifa hizi nadhani unakilasifa yakuwa wewe Bobwe ni Kafiri
 
Last edited by a moderator:
Acha ujinga ww usiongee k2 usichokua na uhakka nacho....mashkh 2 washamwagiwa acid lkn hamkuongea kisa padre midomo juu juu...kma n hak yake acha apewe 2
 
ponda alikoswakoswa risasi na washia,,washia wamechoka kuchafuliwa dini yao maana wale ndio waslam wa ukweli.

kama ni hakimu nakufunga kifungo cha maisha unataka uthibitishie umma kuwa pls ni mashia?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom