Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Kwa nini unahusisha vitendo vya kihalifu na uislamu na waislamu? Kwa ninu unatoa hukumu kuwa ni waislamu ndio wamefanya? Uislam ni dini ya amani, na IMEKATAZA kuwadhuru watu wa imani nyigine. Usichanganye dini na matendo binafsi ya watu wachache wanaofanya uhalifu kwa maslah yao ya kisiasa
Dunia inakwenda prove kwa kutumia waislam..kuwa shida ni uislam.....unafiki wa Russia , na urafiki wake wa siri na US pale Syria na proposal ya Putin ya uongo ni njia ya kuwatosa Waasi bila mpa kichwa Bashar, na bila let achuki kwa US toka kwa waasi, na kwa Russia na Bashar.....Wanajua idadi ya mujahideen waliopo pale wanaopigana na kuua wakristu wanaolazimishwa kupigana vita upande wa hawa brotherhood na terrorist wengine si ya kuchezea..wanajua kumtoa mashir kunaweza waletea mambo ya ajabu sana..na unafiq wa waislam ktk issue km hizi ni sawa na akina kova na matendo ya Polisi na CCM nchini kwetu.
Nadhani Waislam badala ya kupoteza muda kuwaambia watu kwa maneno matupu ..sijui ni dini ya amani, sijui kuhusisha dini..halafu watu wanashuhudia mambo yanazidi kuwa mabaya nyie mnabai piga hizo hadithi tuu....mlitakiwa muanza kuwakanya wenzenu...mpigane nao hadi waache fany ahayo mambo kwa jina la dini yenu....Hapo tutaaminiana.