Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
nilikuwa sijakuelewa kwa sababu sentes yenyewe ilikuwa fupi na ilikuwa tata. labda ushauri wangu uwe unaainisha vizuri kuna watu tunachukulia tafsiri tofauti.
niwie radhi kwa kuto kukuelewa sentens yako.

Laa ba'asa.
 
watanzania tunatizo la kufunika ukweli na kufanya kila jambo siasa, huu ushabiki wa kisiasa hautatupeleka popote mimi nimesema kitu kilicho halisia ya kuwa ukristo hautakiwi na especially watu kutoka bara.

nimeishi zanzibar zaidi ya 15 yrs na nimesoma huko tukiwa na akina zito ingawa hakusoma muda mrefu akajiunga na udsm. tuache siasa wazanzibar hawataki muungano na mfumo kristo.

Kwa hiyo watanganyika wanautaka mfumo kristo?
 
Wandugu tusikimbilie kutengeneza dhana. Tusubiri watu wa inteligensia watoe majibu. Kisha kulihusianisha hili ni dini ni mapema mno. Jambo moja liko wazi lakini, Zanzibar is increasingly becoming unsafe hasa kutokana na matukio ya tindikali. Sidhani kama kuna uislamu unaofundisha ujinga kama huu. Mtume wao hakufundisha hivyo! Hata inasemwa kuwa alikuwa na huruma hata akaoa mke wa miaka sita/saba hivi.
 
So sad Mungu yupi jaman anaetueleza kufanya haya kwa wenzetu. ? Tusaidiane kuelimisha jaman
 
Siku hizi kutenganisha ni ngumu. wapi ambapo hii dini ina majority halafu inaishi kwa amani na wengine? Nchi zao wenyewe hakukaliki.

Kila kwenye nchi yenye machafuko basi mkono wa makafiri unahusika.
 
Haya sasa, inasemekana kumbe padri huyu alikuwa anamgegeda mwanamke aliyeachika wa bwana Mohamed Tawaqal mkazi wa Kisima majongoo. Bw. Tawaqal aliwahi kumpa onyo padri huyu kwamba mahusiano ya Padri na bi Munawwar, ambaye ni mtalaka wa bwana Tawaqal yamesababisha jitihada za Bw. Tawaqal za kurudiana na mkewe zisizae matunda; alisikika akisema sheha wa kisima majongoo bwana Omary Turist, au Enchaidi.



Wajaamen, habari ndiyo hiyo.
mapadri wenyewe hawa dizayni ya yule mzee wa bonde la mpunga, usishangae kusikia tindikali hewani kila siku.
hivi huko zanzibar mwanamke akitalikiwa hana ruhusa ya kuwa na mwanaume mwingine? inawezekanaje mtu akampa talaka mkewe halafu ampangie maisha yake ya baadae? Acheni visingizio, hivi ni vita vya wazi wazi dhidi ya ukristo.
 
hizo ni hoja za matakoni,kwan unauhakika kuwa muhusika ni uamsho au unaharisha tu

Una kazi sana kuwatetea UAMSHO katika tukio hili, na hutafaulu. Walishatoa waraka wa kuahidi mashambulio kwa viongozi wa imani ya Kikristo wa Zanzibar. Endelea tu kuwatetea tu hao wenzako, ila waambie iko siku tutasema basi.
 
wanamwabudu yule jamaa aliyetupwa duniani na huyu mungu tuanayemeamini
Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao
 
Naona ulikuwa na uhakika kwamba ushaidi upo ndio maana ukaanza kujitetea.
AL - MAIDA 5:51
51. Enyi mlio amini!
Msiwafanye Mayahudi
na Wakristo kuwa ni
marafiki. Wao ni
marafiki wao kwa wao.
Na miongoni mwenu
mwenye kufanya urafiki
nao, basi huyo ni katika
wao. Hakika Mwenyezi
Mungu hawaongoi watu

* 51. Enyi mlio amini! Si
halali kwenu
kuwachukua Mayahudi
na Wakristo mkawafanya
ndio marafiki zenu. Wao
hao ni sawa sawa katika
kukufanyieni uadui. Na
mwenye kufanya urafiki
nao, basi ni kundi moja
nao. Na hakika
Mwenyezi Mungu
hawaongoi wanao
jidhulumu nafsi zao kwa
kufanya urafiki na
makafiri.

Hivi ndivyo waislam wanavyofundishwa,

Kumbe ndio maana. Kumbe wanatekeleza mafunzo toka kwenye vitabu vyao.
 
Unawapa ushindi? Kwako waje ila kwao usithubutu?

Dawa yao ni ku-make U-turn kwa Watanganyika kuamua sasa Katiba iseme serikali moja. Full stop!!!!

Nadhani bichwa lako ni gumu kufahamu,utalazimishaje kukumbatia nyuki wakati nyuki hawakumbatiwi?tuachiwe tupumue.
 
Haya serikali ya mapinduzi najua mtatangaza dau tena bila majibu yaliyopita kukamilika watu wachache wanaharibu amani yetu mnaendelea kuwachekea watu kama hawa wanatakiwa adhabu kali hata ya kifo awatarudia nchimbi fanya kazi na uwaumbue viongozi wao
 
Binafsi sina imani na Serikali ya ccm, laiti tungekua na Serikali makini haya matukio yasingekua yanajirudia.!
 
Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao

sisi Mungu wetu hakuwambwa msalabani wala hakuwahi kufa na hakuwahi kupigwa picha !
 
Una kazi sana kuwatetea UAMSHO katika tukio hili, na hutafaulu. Walishatoa waraka wa kuahidi mashambulio kwa viongozi wa imani ya Kikristo wa Zanzibar. Endelea tu kuwatetea tu hao wenzako, ila waambie iko siku tutasema basi.

Haya matukio mnayatengeneza wenyewe makafiri ili mpate kuwasulubu waislam,hamtofanikiwa kwa hilo.
 
>Mkristo kamwe hawezi kupata haki zanzibar...!Wazanzibar ni watu waajabu wasio na upendo.. Mungu wao hana upendo kwa wanadamu wenzao.. Mungu wao anawataka kuwauwa wasiofungamana nao! NADHANI HIZI NI DINI ZA IBILISI...
hata waislam hawapati haki Tanganyika
 
Kumbe ndio maana. Kumbe wanatekeleza mafunzo toka kwenye vitabu vyao.
padri mwenyewe mbona hata hajaumia sana lakini issue imefika skynews,hawa waandishi wa kizungu wamepiga kambi zenj kwa lengo gani hasa.

Afterall mapadri wengi wameuawa america mwaka huu kuliko nchi yeyote.
http://www.catholic.org/hf/faith/story.php?id=52032
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom