nyamilungu makungu
Member
- Dec 23, 2012
- 19
- 0
hapa adui sio uislam wala ukristo adui mkubwa ni serikali mavi ya chichiem
Wana JF,
Nina habari mbaya za Padre Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Zanzibar kumwagiwa tindikali huko Mlandege katika cafe ya Sun Shine.
More information to follow.
![]()
Kwa hiyo watanganyika wanautaka mfumo kristo?
Kila kwenye nchi yenye machafuko basi mkono wa makafiri unahusika.
Muungano na mfumo kristo ni ndugu wa damu.
Nadhani bichwa lako ni gumu kufahamu,utalazimishaje kukumbatia nyuki wakati nyuki hawakumbatiwi?tuachiwe tupumue.
Haya matukio mnayatengeneza wenyewe makafiri ili mpate kuwasulubu waislam,hamtofanikiwa kwa hilo.
>Unatenganishaje samaki na maji? Samaki si atakufa!
bado kitambo,tamko la ikulu litakuwa; rais wa Zanzibar ni mtu imara, Zanzibar iko salama, na vyombo vya ulinzi na usalama viko imara. Tena utasikia kina nchemba wakisema padre kajimwagia tindikali mwenyewe.Hii sasa ni to much! Shein nchi imemshinda!
mbona ya sheikh ponda mnafurahia na yapadre mnahuzunika,kumbe mkuki kwa nguruwe
bado kitambo,tamko la ikulu litakuwa; rais wa Zanzibar Ni mtu imara, Zanzibar uko salama, na vyombo vya ulinzi na usalama viko imara. Tens utasikia kina nchemba wakisema padre kajimwagia tindikali mwenyewe.Hii sasa ni to much! Shein nchi imemshinda!
nafikiri hapo uweke sawa, sio kwa wasio wazanzibar bali ni kwa wakristuZanzibar si mahala salama tena pa kuishi kwa wasio wazanzibar. Ee Mungu mponye mtumishi wako
kama hawautaki ukafiri,suluhisho ni kuwamwagia watu tindikali?
Msitake kuleta tafrani ambazo hazina uhalisia,
Ieleweke hasa,kipi wanagombania,usitake kuamsha hisia za watu waje waseme kwamba wanaofanya ivo ni waislam,hakuna kipengele katika uislam kinachohalalisha ukatili kama huo kwa watu wa iman zingine,
Kama huna cha kuandika ni vema ukakaa kimya,
Halafu eti gaidi wa uamsho apelekwe india kutibiwa ili arudi kumwaga tindi kali!!Uamsho.com
Masheikh wa arusha wameshamwagiwa tindikali mara 2,waruhusiwe waoe maana visa vingine wake za watuHayo mambo yanafanywa na waislamu,dalili zote ni wao.
Huku bara hatumwagii mapadri tindikali wala shehe.HAO WAISLAMU WANAOFANYA HAYO hawawezi kulazimisha kueneza uislamu kwa njia za kipuuzi kama hizi.
dar,tanga,pwani,mtwara kihistoria ni himaya ya zenj.
jaribio la kuua na/au kuua yote ni makosa ya jinai na dhambi pia, regarless umemfanyia nani au mtu wa dini gani... mapadri kuuawa america au kokote kule duniani haikupi right wewe kuua mtu mwingine (whether padri au sio padri) TZ. gosh, nyie watu mmesoma wapi/ hiyo elimu inawasaidia kweli? angalieni wenzenu wa egypt na syria wanavyomalizana wenyewe kwa ajili ya chuki kama hizo. mkimaliza wakristo huko ZNZ mtaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe kama somali, misri, syria na kwingineko kwenye ndugu zenu. mna roho za kibinadamu kweli? kama kweli mna upeo wa kidunia na kuweza ku-analyze mambo kwa kutumia akili zenu, iangalieni sana misimamo yenu, angalieni muslim empires zinavyoparaganyina kwa sasa. naomba kuwaachia neno, ayubu 20:21, "mtafuteni sana mungu ili muwe na amani". mungu hamjaujua bado, mungu ni wa upendo na amani, na upendo hauhesabu kisasi wala haulipizi mabaya, upendo hauhusudu na upendo huvumilia....padri mwenyewe mbona hata hajaumia sana lakini issue imefika skynews,hawa waandishi wa kizungu wamepiga kambi zenj kwa lengo gani hasa.
Afterall mapadri wengi wameuawa america mwaka huu kuliko nchi yeyote.
Fourteen priests murdered in line of duty this year so far - Living Faith - Home & Family - Catholic Online
hii hotuba wapelekee wale wachuna ngozi wa mbeya,na waua albino.jaribio la kuua na/au kuua yote ni makosa ya jinai na dhambi pia, regarless umemfanyia nani au mtu wa dini gani... mapadri kuuawa america au kokote kule duniani haikupi right wewe kuua mtu mwingine (whether padri au sio padri) TZ. gosh, nyie watu mmesoma wapi/ hiyo elimu inawasaidia kweli? angalieni wenzenu wa egypt na syria wanavyomalizana wenyewe kwa ajili ya chuki kama hizo. mkimaliza wakristo huko ZNZ mtaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe kama somali, misri, syria na kwingineko kwenye ndugu zenu. mna roho za kibinadamu kweli? kama kweli mna upeo wa kidunia na kuweza ku-analyze mambo kwa kutumia akili zenu, iangalieni sana misimamo yenu, angalieni muslim empires zinavyoparaganyina kwa sasa. naomba kuwaachia neno, ayubu 20:21, "mtafuteni sana mungu ili muwe na amani". mungu hamjaujua bado, mungu ni wa upendo na amani, na upendo hauhesabu kisasi wala haulipizi mabaya, upendo hauhusudu na upendo huvumilia....