Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Due!!!! Hali mbaya sasa . Tindikali tena
hao wazanzibari hawaaachii watanganyika mpaka wawamalize wote ili wawe huru. na wakitaka salama yao wawaachiewapumue
View attachment 111740
Acha hizo mambo wewe,
why are you so judgmental?
Umeambiwa waliofanya ivo ni waislam?
Huku bara hakuna waislam na uislam?mbona hayo matukio hatuyaskii?
Watu kama wana ajenda zao,wahukumiwe kwa hizo ajenda zao,usije toa maoni kwa kuwa umeona population kubwa ya huko ni muslims,acha kabis mawazo ya kunyoosheana vidole,tuheshimiane,tuchunge mihemko ya iman zetu
Hata kama unatetea ni kweli kabisa wahubiri wenu wanahamasisha hayo akina ilunga akina ponda dhambi hiyo itawatafuna na mwisho aibu. Uovu wanaoupanda wa kuona kwamba wakristo ni wa baya ndiyo unaanza kutoa matunda yake. Na serikali inapalilia tu kwa sababu wanaona ni wa kristo kuna siku Yatawageuka Mungu wetu atatupigania WAKRISTO amini usiamini ushindi upo. Wenyewe wanadhani watashinda kwa kuwadhuru watu mmojammoja matokeo ya imani na siasa kuhubiriwa kwenye nyumba za ibada kwa jaziba na matusi kwa imani zingine. Huko Somalia yalianza hivihivi makundiAcha hizo mambo wewe,
why are you so judgmental?
Umeambiwa waliofanya ivo ni waislam?
Huku bara hakuna waislam na uislam?mbona hayo matukio hatuyaskii?
Watu kama wana ajenda zao,wahukumiwe kwa hizo ajenda zao,usije toa maoni kwa kuwa umeona population kubwa ya huko ni muslims,acha kabis mawazo ya kunyoosheana vidole,tuheshimiane,tuchunge mihemko ya iman zetu
Hebu pitia tena hizi post zako kisha jiulize unamuwakilisha nani? maana katika zanzibar au Tanganyika hatuna ubaguzi wa
kiimani wa aina hii, unatowa wapi ujasili wakijinga kufanya uchochezi usio na tija au faida yoyote kwa wanadamu kwa
ujumla wake?
Mkuu ebu natuite nyeupe iwe nyeupe na nyekundu iwe nyekundu, wala hatuna sababu ya kupinga ukweli wa udini kuwa nyuma ya mashambulio haya. Mimi naishi zanziba nakwambia ukweli halisi, vinginevyo jiulize kwanini hawashambuliwi raia wa kawaida isipokuwa viongozi wa kanisa na wachache wa misikiti wenye msimamo wa kati?! Hata shambulio la akina dada wa uingeleza lilitokana na dini kwamba wamevaa mavazi yasiyo ya kiarabu!mkuu; ishu hapa si waislam wala wakristo, Ishu hapa ni makundi ya uhalifu ambayo hayajadhibitiwa. Ikumbukwe kwamba uhalifu hufanywa na watu na watu hawa wanaweza kuwa na dini zao ila sio dini hizo zinazowatuma watu kufanya uhalifu.Muhalifu bila kujali dini yake ni muhalifu tu na anayedhuriwa bila kujali dini yake ni lazma atetewe.Binafsi naamini watu wanaoyahusisha matukia haya na dini fulani (yoyote iwayo) ni wale wale wanaoyafanya matukio husika ambao mimi naamini lengo lao ni kuchochea migogoro ya kidini.Kwa hiyo wanapomdhuru kiongozi hivyo halafu wakawa wanachochea "watakuwa ni watu wa dini fulani", na siku nyingine anadhuriwa kiongozi wa dini nyengine; basi utasikia tena wanachochea "Watakuwa ni wale wa dini nyengine" basi mgogoro unakuwa na muhalifu anakuwa kafikia lengo.Nadhani sisi tujaribu kujiepusha kuwa sehemu ya kumfanya muhalifu kufikia lengo la kuichonganisha jamii. ANAYEFANYA UHALIFU ABEBE MSALABA WAKE MWENYEWE.
Hakuna cha waislam wala nini hapo. Sheikh kamwagiwa acid znz. Mkurugenzi wa baraza la manispaa kamwagiwa acid nae, wale wadada wa kizungu, hao ni wahuni tu waso kazi wanataka kuchanganya watu. Cha muhimu serikali ni kupambana na watu wa aina hio kwani inaonekana matukio kama haya yanashamiri lkn hakuna anaekamatwa kama watu hawajaendelea wafanyeje? Hali ishakua ya hatari hata kwa sisi raia wa kawaida mana si ajabu kesho na keshokutwa hata mimi yakanikuta haya Yarab salama. Mchana kweupe mtu anamwagiwa tindikali tena hakamatwi, kweli ndo kuna ulinzi na usalama kwa wananchi .
Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao
Ripoti ya CIA imeishia wapi mbona haiwekwi hadhwarani? Je kuna siri gani kati ya Serikali ya JMTz na kanisa Katoliki huko? Tujiulize kwanini ni kwa makasisi wa kanisa hilo tu?
Wana JF,
Nina habari mbaya za Padre Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Zanzibar kumwagiwa tindikali huko Mlandege katika cafe ya Sun Shine.
More information to follow.
![]()
Hivi waliotaka kumuua Ponda nao walitumwa na waarabu au vatikan?Waislamu, wanaochochewa na wazanzibar wenye asili ya kiarabu, hawaitakii mema nchi yetu na wanataka zanzibar waitawale wao
Hayo mambo yanafanywa na waislamu,dalili zote ni wao.
Huku bara hatumwagii mapadri tindikali wala shehe.HAO WAISLAMU WANAOFANYA HAYO hawawezi kulazimisha kueneza uislamu kwa njia za kipuuzi kama hizi.