Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

Status
Not open for further replies.
kwa nini wakristo,wakipatwa na jambo mbio wanaleta dhana?Ni ukosefu wa elimu au nini?Lazima ufanye uchunguzi ili utoe majibu sio kukurupuka tu.Mbona waislam hawana tabia ya kukurupuka na kusema ni fulani,ni mpaka wawe na ushahidi wa kutosha.Someni,elimu ndio inamfanya mtu asiwe wa kukurupuka,acheni kutafuta vyeti vya kununua.

Kampe Ponda ushauri huu ili siku moja apate ajira sio kujipa ajira za kuhubiri chuki.
 
Kuna operation ya kutokomeza hayo mambo inaandaliwa na serikali mtawasikia tu hao wamwagiaji wa conc.Hcl wakifutika kwenye uso wa TANZANIA.Operation ya hao watu ni mara 1000 ya wahamiaji haramu.Subilini muone.
 
padri mwenyewe mbona hata hajaumia sana lakini issue imefika skynews,hawa waandishi wa kizungu wamepiga kambi zenj kwa lengo gani hasa.

Afterall mapadri wengi wameuawa america mwaka huu kuliko nchi yeyote.
http://www.catholic.org/hf/faith/story.php?id=52032

Tindikali amwagiwe mwingine, kutoumia sana ujue wewe. Mbona majanga!!!
Omba siku nawe umwagiwe halafu uje hapa utuambie hivyo.
 
Ila katika manabii wapumbavu sijawahi kuona kama S.a.w, kaona binti Ashura amabaye alikuwa na makamo kama ya mama yake, bado akaoa kabinti cha miaka sita, kweli mtume S.A.W ,muda wote aliwaza ngono tu!
 
Nina laani kitendo hiki cha kinyama. Vitendo hivi vinafanywa na watu wasioitakia amani Tanzania. Jiulize je wakristo nao wakaamua kulipiza kisasi tangia mauaji ya mapadri na wachungaji yaanze sehemu mbali mbali za Tanzania amani itakuwepo kweli? Ni kweli tukiangalia world's religious conflicts waislamu ndio wachokozi. I'm waiting for the time when Christians particularly will be tired of all Anti Christ muvements.
 
Ila katika manabii wapumbavu sijawahi kuona kama S.a.w, kaona binti Ashura amabaye alikuwa na makamo kama ya mama yake, bado akaoa kabinti cha miaka sita, kweli mtume S.A.W ,muda wote aliwaza ngono tu!
anamzidi upumbafu yesu alietembea na lazaro?
 
Mimi nawashangaa nyinyi wa dini nyingine akiuliwa au akipigwa sheikh mnasema gaidi ila mchungaji ama padri mnachooonga, mi naona wamekosea bora wangemuua tu tuheshimiane!!!
 
Wana JF,

Nina habari mbaya za Padre Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Zanzibar kumwagiwa tindikali huko Mlandege katika cafe ya Sun Shine.

More information to follow.

ZANZIBAR, Tanzania – Tanzanian police say a Catholic priest was attacked by acid at a busy business area on the island of Zanzibar.
Regional Police Commander Mkadam Khamis Mkadam confirmed Friday the priest, Rev. Joseph Anselmo Mwagambwa, was attacked by acid which badly injured his face, chest, thighs and legs. The priest is being treated at the main Mnazi Mmoja hospital.
The policeman said the attack occurred in a crowed part of Stone Town at about 4 p.m. Police are asking for witnesses to the attack.
This is the fifth acid attack on Zanzibar since November. Last month two young British women doing volunteer work were injured when an assailant threw acid in their faces.
Police have not yet made any arrests for the attacks.

Read more: New acid attack in Zanzibar hits Catholic priest | Fox News
 
padri mwenyewe mbona hata hajaumia sana lakini issue imefika skynews,hawa waandishi wa kizungu wamepiga kambi zenj kwa lengo gani hasa.

Afterall mapadri wengi wameuawa america mwaka huu kuliko nchi yeyote.
Fourteen priests murdered in line of duty this year so far - Living Faith - Home & Family - Catholic Online

wahenga wakisema mzahamzaha hutumbua usaha. Basi mdharau mwiba huchomwa. Na hakuna marefu yasiyo na ncha. Basi watanzania ukiona mtumzaima analia kuna jambo. that is colg GVT failure. Even mirambo protected his teritoy iweje sisi tuliolimika leo.
 
Wana JF,

Nina habari mbaya za Padre Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Zanzibar kumwagiwa tindikali huko Mlandege katika cafe ya Sun Shine.

More information to follow.

attachment.php

>Laana itamfikia huyo mshenzi aliesubutu kumwagia mzee huyu tindikali
 
Wana JF,

Nina habari mbaya za Padre Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Zanzibar kumwagiwa tindikali huko Mlandege katika cafe ya Sun Shine.

More information to follow.

attachment.php

Inasikitisha sana hii kitu,Mambo yakiendelea hivi mwisho wake hautakuwa mzuri! Eee mwenyezi MUNGU tuepushie balaa linaloinyemelea nchi ya Zanzibar na utuepushie lisifike Nchini Tanganyika.......!
 
Tindikali amwagiwe mwingine, kutoumia sana ujue wewe. Mbona majanga!!!
Omba siku nawe umwagiwe halafu uje hapa utuambie hivyo.
sasa ungemuona itv,jamaa anaongea,anatembea,anatabasamu.
 
Zenj..masikini wewe....shetani waliyeingia naye mkataba kuwatoka wanakuwa wamekula vumbi sana.......Nao I can see how powerful The Meaasage of Christ was and would forever be.....

Wazenj wanakuwa vituko mbele ya dunia iliyostaraabika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom