Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,293
- 6,901
Itatokea Zanzibar kuwa nchi ya waislamu peke yao. Zanzibar ni taifa la kale, Tanganyika siyo taifa la kale.
Unafikiri kwa kutumia nini?
Itatokea Zanzibar kuwa nchi ya waislamu peke yao. Zanzibar ni taifa la kale, Tanganyika siyo taifa la kale.
Hawa watu hawaelewi lolote, na wala hawaelewi crusade ni kitu gani, na sidhani kama hilo neno amewahi kulisikia.nini sababu ya crusade?.
Siku hizi kutenganisha ni ngumu. wapi ambapo hii dini ina majority halafu inaishi kwa amani na wengine? Nchi zao wenyewe hakukaliki.Tunapochangia huu uzi, ni Lazima kwanza tutenganishe ugaidi na uislam.
Siku hizi kutenganisha ni ngumu. wapi ambapo hii dini ina majority halafu inaishi kwa amani na wengine? Nchi zao wenyewe hakukaliki.
Siku hizi kutenganisha ni ngumu. wapi ambapo hii dini ina majority halafu inaishi kwa amani na wengine? Nchi zao wenyewe hakukaliki.
Kweli kabisa.
Huo ni mpango u s a ili apate sababu ya kuingia tz kuvuna mafuta na gesi hao ni fbi na wala sio uamusho sema watz uwezo wao wa kuchambua mambo mdogo ,
Nina mashaka na Mungu anayeabudiwa na Waislamu. Sithani kama ni Mungu yule tuaminiye ndo Muumba Mbingu na Dunia. Nadhani hawa jamaa wana Mungu wao
Kweli kabisa.
Nilitaka nikulaani lakini baada ya kuangalia picha mara ya pili ninakuonea huruma na kukusikitia sana. Mungu wa kweli na akupe rehema na neema yake upate kubadilika. huyu mzee ni kama baba yako mzazi. Nimejiuliza ni chuki ya namna gani iliyokujaa mpaka unaleta utani wa namna hii kwa mzee kama huyu. Huoni jinsi nguo zilivolika kwa acid?hivi hiyo ni kata k au?
sitakanyaga tena Zanzibar hata kama watakuwa wanagawa hela , potelea mbali !
AL - MAIDA 5:51
51. Enyi mlio amini!
Msiwafanye Mayahudi
na Wakristo kuwa ni
marafiki. Wao ni
marafiki wao kwa wao.
Na miongoni mwenu
mwenye kufanya urafiki
* 51. Enyi mlio amini! Si
halali kwenu
kuwachukua Mayahudi
na Wakristo mkawafanya
ndio marafiki zenu. Wao
hao ni sawa sawa katika
kukufanyieni uadui. Na
mwenye kufanya urafiki
nao, basi ni kundi moja
nao. Na hakika
Mwenyezi Mungu
hawaongoi wanao
jidhulumu nafsi zao kwa
kufanya urafiki na
makafiri.
Kama walimuua hata Rais wao, hawa watu sio wa kuamini kabisa. Tuwaache peke yao, tuvunje Muungano tu, coz ni hatari kwetu kwa kutokuwa na mpaka wa kinchi na watu waliokubuhu kwenye uhalifu kwa kiwango hiki kila kukicha. Mungu awalaani wote walioshiriki ktk uhalifu huu.
basi ni wazi CIA wana mkono katika hili,hao waandishi wa sky news,mirror etc kila ikitokea issue zenj,wanairusha ndani ya dakika kumi.isije kuwa wanacreate matukio kwa lengo maalumu.Hii habari nimetoka kuiangalia Sky News sasa hivi!!