TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
Padre aliye kuwa akisoma chuo cha Ardhi Dar Celestine John Nyaumba wa kanisa katoliki Homboro Dodoma, amemjeruhi mpenzi wake vile vile ni mzazi mwenzie wa maili mbili Dodoma alimwita Dar aje ale bata akatoka nae nje ya jiji Kibaha, hapo ndipo alimjeruhi kwa kumgonga na gari kisha kumkata panga kichwani.