Padre amjeruhi mpenzi

Padre amjeruhi mpenzi

Mapadre wanaoingia kwenye utumishi wa Mungu wakiwa kweli na imani na wamevutwa na wito na kutafuta ukamilifu wapo wengi tu. Tunawafahamu walio waaminifu na wanaishi vema sana wakiwa waaminifu kwa useja wao, wapo wanaoishi kitakatifu na wanafanya uchungaji vizuri pia.

Wapo wachungaji/na viongozi wa dini nyingine wanaooa pia na kuanguka dhambini pia, hata dhambi za uzinzi na ubakaji. Au unataka nikupe mifano?

Kuoa au kutooa si kigezo cha kuwa waaminifu. Kigezo kikubwa ni kuwa kuna wengine wanaingia huko kama ajira tu wajikimu kimaisha huku wakiwa hawakiamini hicho wanachoishi. Hao wanakuwa na shida wakiwa kwenye dini yoyote ile.
ITEGAMATWI ameliona hili[/QU

NI KWELI
 
Kumbuka huyu dada alikuwa sister padre alikuwa anamla mzigo toka zamani, akadaka mimba ikabidi avue kilemba. Chanzo cha ugomvi pesa za matunzo ya mtoto wao huyo wa miaka 3.
aisee,ndo maana michango haiishi siku hizi
 
Hii mada ifungwe haraka sana.....Kwa sababu haioneshi chanzo wala undani wa jambo hilo...Ni uchafuzi wa dini za wengine tu haina tofauti na kudai uislamu ni dini ya shetani bila ya kuwa na ushahidi.
 
Hii mada ifungwe haraka sana.....Kwa sababu haioneshi chanzo wala undani wa jambo hilo...Ni uchafuzi wa dini za wengine tu haina tofauti na kudai uislamu ni dini ya shetani bila ya kuwa na ushahidi.

Acha wehu wewe nani kakwambia uislamu ni dini ya shetani,kwani nyie mmelazimishwa kutooa si wenyewe tuu mmeamua kukaa bila wake kwa sababu eti yesu hakuoa,

mnajifananisha na mitume, ona sasa sasa imani zenu zimebaki kwenye kupiga ngozi "K" tuu .

"K" kwa mwanaume mwenye nguvu ni must kama sivyo awe anafunga sana ili kupunguza nguvu mwilini.
sas je mapadre wenu wanafynga? wanakula vyakula vya kuongeza manii kila siku .sasa watayatolea wapi? ufuska,ulawiti jichekini>>>>>
 
Chezea manyege ww.yan mungu akuumbe mzima alafu ww useme ooh mim padre siduu... Waaaaaap mnatupiaga sana.haya ss mungu kadhihirisha myatendayo.

Wale wanaobahatika kutumia akili zao vyema, huomba kuacha upadre na kurudi mtaani kutengeneza familia.
Hawa ndio wanaojua nguvu ya Mungu, hekima ya Mungu ya kuumba Mwanamke na mwanamume.

Padri anafanya tendo la ndoa na pia anaua/ anataka kuua? Sasa hapo kazi ya wito imeingiliwa na viumbe wenye mapepo!
 
Sasa hivi ananyea debe kibaha polisi kwa shambulio la kudhuru mwili.

Mdada naye ana bahati yake, kagongwa na panga juu bado akapona!

Padre naye, ama kajihalalishia, kasahau kabisa amri anazowafundisha kondoo wake....
 
matubwaaaaaaaaaaaaaaa haya! mameeeeeeeeeeeeeeeee!!! inawezekana mleta mada hujasikia vizuri labda wamekosea, padre!!!!!! Aibu kubwa kwa wakatoliki Loh!
 
Acha wehu wewe nani kakwambia uislamu ni dini ya shetani,kwani nyie mmelazimishwa kutooa si wenyewe tuu mmeamua kukaa bila wake kwa sababu eti yesu hakuoa,

mnajifananisha na mitume, ona sasa sasa imani zenu zimebaki kwenye kupiga ngozi "K" tuu .

"K" kwa mwanaume mwenye nguvu ni must kama sivyo awe anafunga sana ili kupunguza nguvu mwilini.
sas je mapadre wenu wanafynga? wanakula vyakula vya kuongeza manii kila siku .sasa watayatolea wapi? ufuska,ulawiti jichekini>>>>>

Umekosea sana.....Mimi ni mwislamu!!!!!!!!!!
 
mdau rudia kusoma uzi wa mleta uzi TIQO huyu padre hajaoa na habar haisemi kwamba ni mke wake,habar inasema ni MPENZI WAKE, sasa ww unaleta habar za mke umezisoma wapi,tafuta NIPASHE JUMAPILI LA LEO,
PIA HAPO KWENYE GREEN USISHANGAE SANA MAPENZI YANATAWALIWA NA HISIA,KWAHIYO YEYE HAKUWAZA UNAYOYAWAZA HAYO

Hili sakata sijui limeishia wapi? Unaweza ona mchunga kondoo anasamehewa hivi hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom