Padre amjeruhi mpenzi

Padre amjeruhi mpenzi

kumbe siku hzi mapadiri wanatafuna waziwazi?

Kwani Padre Slaa anatafuna kwa kificho ?
MUNGU gani huyo aliyeagiza kwenye kitabu gani kuwa Mwanaume rijali asiwe na MKE ? Hivi ninyi mnachezea ile makitu eeeenh ? Kardinali Pengo naye wale watoto wake kule Tunduru sijui wanaendeleaje jamani ??
 
Habari hii huenda ni ya kweli ila mtoa mada unaitoa ki udakuudaku...
 
Hivi kwani hairuhusiwi mtu kuacha kazi ya upadre akawa raia wa kawaiada? Mbona Dr Slaa aliweza?Badala ya kuendelea kuwa wanafiki kwa kulitumikia kanisa kwanini usikae pembeni tu uache wenye upako waendeleee?? Kuna rafiki ya ngu mmoja alishawahi kusema kuwa wengine wanakimbilia upadre kukwepa njaa tu za mtaani sasa napata picha halisi.
 
Padre ni binadamu kama mimi na wewe. Kutooa ni utaratibu si wa mungu bali binadamu i.e. Kanisa. Tusimhukumu kwa hilo bali kwa kitendo cha kushmbulia tuachie sheria.nawafahamu mapadre wengi niliosoma nao wana watoto.kanisa lijitazame upya.
 
Inawezekana ni kweli lakini sikubaliani kabisa na maelezo yaliyotolewa, Wanajamvi kumbukeni kanisa katoliki halina kiongozi yoyote wa kiroho anayeoa! Hivyo kama huyo ameoa siyo padre tena bali ni mwanajumuia kama kawaida, Inawezekanaje padre huyo akafanye tukio litakalomharibia nadhiri yake huku akijua haruhusiwi kuwa na mke?

mdau rudia kusoma uzi wa mleta uzi TIQO huyu padre hajaoa na habar haisemi kwamba ni mke wake,habar inasema ni MPENZI WAKE, sasa ww unaleta habar za mke umezisoma wapi,tafuta NIPASHE JUMAPILI LA LEO,
PIA HAPO KWENYE GREEN USISHANGAE SANA MAPENZI YANATAWALIWA NA HISIA,KWAHIYO YEYE HAKUWAZA UNAYOYAWAZA HAYO
 
Last edited by a moderator:
Habari hii huenda ni ya kweli ila mtoa mada unaitoa ki udakuudaku...

sio huenda ni ya kweli,MBONA HUAMINI?
HABAR NI YA KWELI TAFUTA NIPASHE LA LEO MDAU IPO,TENA KWENYE NIPASHE WAMESEMA NI PORI LA KISARAWE
 
Padre ni binadamu kama mimi na wewe. Kutooa ni utaratibu si wa mungu bali binadamu i.e. Kanisa. Tusimhukumu kwa hilo bali kwa kitendo cha kushmbulia tuachie sheria.nawafahamu mapadre wengi niliosoma nao wana watoto.kanisa lijitazame upya.

hadi kukubali kuwa padri it means amekubaliana na masharti ya KANISA
 
Huyo padri nimesoma nae aisee. Ana miwani ivi mpole, huwezi amini.
 
Kwani Padre Slaa anatafuna kwa kificho ?
MUNGU gani huyo aliyeagiza kwenye kitabu gani kuwa Mwanaume rijali asiwe na MKE ? Hivi ninyi mnachezea ile makitu eeeenh ? Kardinali Pengo naye wale watoto wake kule Tunduru sijui wanaendeleaje jamani ??

Hvi kwani Slaa ni padri? Hao watoto wa Pengo huko Tunduru we ndo umewazaa?
 
Masharti ya padre kwa kanisa hayajengwi kwa Useja peke yake. Kama huna ufahamu nyamaza. church values are more than celibacy
 
Mbona mapadre wengi tu wana familia...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom