Padre amjeruhi mpenzi

Padre amjeruhi mpenzi

Kwanini wanazuiwa kuoa?
Mapadre wanaoingia kwenye utumishi wa Mungu wakiwa kweli na imani na wamevutwa na wito na kutafuta ukamilifu wapo wengi tu. Tunawafahamu walio waaminifu na wanaishi vema sana wakiwa waaminifu kwa useja wao, wapo wanaoishi kitakatifu na wanafanya uchungaji vizuri pia.

Wapo wachungaji/na viongozi wa dini nyingine wanaooa pia na kuanguka dhambini pia, hata dhambi za uzinzi na ubakaji. Au unataka nikupe mifano?

Kuoa au kutooa si kigezo cha kuwa waaminifu. Kigezo kikubwa ni kuwa kuna wengine wanaingia huko kama ajira tu wajikimu kimaisha huku wakiwa hawakiamini hicho wanachoishi. Hao wanakuwa na shida wakiwa kwenye dini yoyote ile.
ITEGAMATWI ameliona hili
Hivi kwani hairuhusiwi mtu kuacha kazi ya upadre akawa raia wa kawaiada? Mbona Dr Slaa aliweza?Badala ya kuendelea kuwa wanafiki kwa kulitumikia kanisa kwanini usikae pembeni tu uache wenye upako waendeleee?? Kuna rafiki ya ngu mmoja alishawahi kusema kuwa wengine wanakimbilia upadre kukwepa njaa tu za mtaani sasa napata picha halisi.
 
Hawa jamaa ni hodari wa kusema fuata maneno yangu na si matendo yangu
 
Inawezekana ni kweli lakini sikubaliani kabisa na maelezo yaliyotolewa, Wanajamvi kumbukeni kanisa katoliki halina kiongozi yoyote wa kiroho anayeoa! Hivyo kama huyo ameoa siyo padre tena bali ni mwanajumuia kama kawaida, Inawezekanaje padre huyo akafanye tukio litakalomharibia nadhiri yake huku akijua haruhusiwi kuwa na mke?

Hajaoa...alikua na mahusiano ya siri mwshowe mimba..soma uelewe
 
Kwani Padre Slaa anatafuna kwa kificho ? MUNGU gani huyo aliyeagiza kwenye kitabu gani kuwa Mwanaume rijali asiwe na MKE ? Hivi ninyi mnachezea ile makitu eeeenh ? Kardinali Pengo naye wale watoto wake kule Tunduru sijui wanaendeleaje jamani ??[Slaa keshavua cheo alichokuwa nacho wakati akiwa kiongozi wa kanisa, kufuatana na taratibu za kanisa yeye sio padre tena, Suala la pengo kama una ushahidi fuata taratibu za kanisa kushtaki vinginevyo ni hakuna ratio katika hili.ni bora tu ukae kimya kabla ya kuuonyesha tanzania na ulimwengu upumbavu wako
 
Inawezekana ni kweli lakini sikubaliani kabisa na maelezo yaliyotolewa, Wanajamvi kumbukeni kanisa katoliki halina kiongozi yoyote wa kiroho anayeoa! Hivyo kama huyo ameoa siyo padre tena bali ni mwanajumuia kama kawaida, Inawezekanaje padre huyo akafanye tukio litakalomharibia nadhiri yake huku akijua haruhusiwi kuwa na mke?

hukubaliani nini?hbr haisemi kuwa kaoa bali alikuwa na mahusiano ya kingono na huyo ccta,mapadre wengi wana kashfa hizo ila ziko chini ya makapeti,wengine wana wtt wanawasomesha kabisa wanadai ni mayatima wanawasaidia,
 
hukubaliani nini?hbr haisemi kuwa kaoa bali alikuwa na mahusiano ya kingono na huyo ccta,mapadre wengi wana kashfa hizo ila ziko chini ya makapeti,wengine wana wtt wanawasomesha kabisa wanadai ni mayatima wanawasaidia,[ kwani kila kiandikwacho na gazeti la nipashe ni ukweli wenyewe? Kwanza kabisa kwanini mwandishi ameishia tu kusema padre? Bila maelezo yakinifu,
 
kama huamini fuatilia mkuu,ukibaini sio kweli rudi na data jamvini kukanusha,ila kashfa ya ngono kwa mapadre wa kanisa katoliki zinazidi kushika kasi,wajitazame.
 
Sasa hivi ananyea debe kibaha polisi kwa shambulio la kudhuru mwili.

Na huko kanisani Dodoma asirudi hata kwenda kuchukua vi-vest vyake; Askfu wake amfukuzie hukohuko Kibaha mahabusu alikohifadhiwa!!! Wanaishia kuwakwaza waumini wa madhehebu yao!! Padre kama huyo naye kesho unakuta ANAHUBIRI UMUHIMU WA FAMILIA NA UAMINIFU katika ndoa!!!!

Hivi huyo mpenzi wake siyo MKE WA MTU KWELI au MJANE??? Maana ndiyo target zao kubwa hawa wachunga kondoo wanapoamua kuanza KUWALA KONDOO...
 
Shida ya maisha ya Upadre bwana ni moja, akiharibu mmoja wote tunaonekana wabovu, wazinzi na wasiofaa. Jamani samaki mmoja akioza, mtoe umtupe wala si kwamba wote wameoza!!!!!!
 
Hii aibu kubwa sana...najiikia vibaya sana kukutana na habari kama hizi
 
Shida ya maisha ya Upadre bwana ni moja, akiharibu mmoja wote tunaonekana wabovu, wazinzi na wasiofaa. Jamani samaki mmoja akioza, mtoe umtupe wala si kwamba wote wameoza!!!!!!

He! Kumbe na wewe padre! Hongera kwa kuishi kiroho.
 
Sharti mojawapo ili uwe padri ni lazima dushelele iwe inadisa(kusimama)!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom