Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,381
- 103,999
Kazi ya kiongozi wa kikristo ni moja tu kuwaambia watu tubuni na kuiamini injili...
Kama usemayo sio kipimo cha unafiki, kwanini tulikuwa tunamsifia Askofu Desmond Tutu alipokuwa kwenye harakati za kuondoa ubaguzi wa rangi huko kusini mwa Afrika?