Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,281
- 2,423
Kumbe Martin
Kumbe mchugaji Martin Luther JR(I HAVE A DREAM ) alikua wa kabisa tu ...napoteza mudaVitabu vya dini sio miliki ya mtu au dini fulani ni vya Mungu na vinauzwa madukani ndio maana waweza kuta mkristo ana kurani nyumbani na mwislamu ana biblia nyumbami na hata vyuo vya kipagani hutumia Biblia kufundishia English Literature!!! HUwezi kuzuia mtu asinunue!!!
Pili sio kazi ya kanisa kuiiga dunia inachofanya!!! Wao ndio wanatakiwa kuiga kanisa!! HUwezi sababu wao wanatumia kitabu cha dini hivyo ruksa kiongozi wa dini na yeye kufanya siasa!!! kisa kaona dunia inatumia kurani au Biblia kuapa!!! Ni upotofu !!! Ndio maana zamani maakofu na mapadre walikaa mbali na dunia .Misheni unazikuta ziko porini kwenye ukimya ambako hapati nafasi ya kusikiliza radio,TV, magazeti mitandao na ku interract na watu nk abaki na Mungu tu
Lakini toka hayo yameachwa ndio haya matatizo yameanza kuibuka ya kiongozi wa dini kuwa sehemu ya dunia aki interract na watu!!! NDio unaona tunapata wanasiasa,wazaa nje ya viapo vyao,wabaka watoto wadogo nk wanaiga dunia inachofanya!! Haitakiwi kuiga dunia!! Kuapa kwa Biblia au Kurani hakumpi uhalali kiongozi wa dini kujitosa kwenye siasa!!
Kuhusu Martin Luther mwanzilishi wa kanisa la kilutheri anachokumbukwa ni kuigania mambo ya kidini sio siasa!! Kanisa la kilutheri msingi wake ni wa kidini tu .JINA kanisa la kilutheri ni kama sisi siku hizi tunasema kanisa la Gwajima au kanisa la kakobe sasa hilo lilitwa kanisa la LUTHER la mtu anaitwa Luther NDIO WAFUASI WAKE wanaitwa LUTHERAN kama leo tunavyosema wafuasi wa KAkobe AU WAFUASI WA GWAJIMA NK