Msakaa Jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,390
- 7,838
Mara ya mwisho kutembelea Rwanda, ulikuwa kijiji gani ?Hujaenda vijijini kuona maendeleo ya Rwanda wewe. Kila mtu anapewa ng'ombe mmoja ili apate maziwa na akizalisha anagawia jirani.
Mara ya mwisho kutembelea Rwanda, ulikuwa kijiji gani ?Hujaenda vijijini kuona maendeleo ya Rwanda wewe. Kila mtu anapewa ng'ombe mmoja ili apate maziwa na akizalisha anagawia jirani.
Afu hizo simu nina wasiwasi nazo serikari yetu ya Tanzania izikague ipasavyo kama watazileta Tanzania kwa matumizi ya watu isije ikawa mbinu ya Rwanda kuchukua siri za nnchi yetu (kufanya inteligensia) ikawa rahisi kutudukua na ikawa shida Hapo Baadae Kwa kudukua taarifa muhimu(siri za nnchi)Mtu mmoja afafanue hilo tafadhali. Au viwanda vya kutengeneza smart mobile phone havutumii umeme!
Jibu swali mkuu...Wewe mwenye 1500 MW umeweza hata Kuutumia tu huo Umeme ili uwe na Viwanda vyako vya Kutengenezea Chupi za Wananchi wako kiasi kwamba hadi hivi leo uachane na Kutegemea Chupi za Mitumba zinatoka katika Viwanda vya wenye Akili zao huko Ulaya? Wakati mkiteseka na Rwanda yenyewe inazidi Kuwakimbia Kimaendeleo na Kimkakati huku nyie mkibaki kupiga tu ' mark time ' Kimaendeleo hadi leo wakati hata kupata Uhuru mliwatangulia Warwanda.
Mkuu swali hulioni auNchi yako inapenda kweli iwe na Raia wenye Akili kubwa kama za Wanyarwanda sema tu ndiyo hivyo tena haiwezekani.

Kila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na hongera zao.
Mimi langu ni moja, Rwanda ina watu zaidi ya milioni 11 na mpaka leo hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatts 100 (100 MW) tu, hivyo viwanda wanapawa na nini, generator, au?
Mimi sidanganyiki, labda hao wengine, 100 MW hakuna kitu utafanya, ...
Hivi huwezi kufanya research nyingine ya maana,kwa nini roho inakuuma ukisikia positive stories juu ya Rwanda?Kila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na hongera zao.
Mimi langu ni moja, Rwanda ina watu zaidi ya milioni 11 na mpaka leo hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatts 100 (100 MW) tu, hivyo viwanda wanapawa na nini, generator, au?
Mimi sidanganyiki, labda hao wengine, 100 MW hakuna kitu utafanya, ...
Hivi huwezi kufanya research nyingine ya maana,kwa nini roho inakuuma ukisikia positive stories juu ya Rwanda?
Rwanda bado iko chini katika sekta nyingi tuu..Umeme ukiwemo..Lakini umejalibu ku compare na ulipo..
Labda tu kwa kukujulisha asilimia 34% ya wananchi wa Rwanda wana umeme..
Wakati Tanzania ni asilimia 32% ya wananchi wana umeme..Source nimekuwekea:::
Story yako imejaa wivu, Rwanda is not competing with anyone, we know we still have a lot to do ndio maana pale wenzetu wanapotembea sisi tunakimbia..
Just 25years back we were at 0, now at least economically we are at the same level or even above with our neighbors
.energypedia.info
energypedia.info
OK, kwakujibu swali lako nikwamba, Rwanda kama nchi nyingi za kiafrica bado ina viwanda vichache sana kwa hiyo umeme uliopo unavitosheleza..sijasikia kiwanda kimefungwa sababu ya umeme kukosekana..Sasa haya yote ya nini? Nimeuliza kuhusu 100 MW zinatoshaje kuendesha Viwanda kama + kuhudumia zaidi ya watu milioni 11? Hivi inaweza kuita hiyo chuki kweli?
Sasa haya yote ya nini? Nimeuliza kuhusu 100 MW zinatoshaje kuendesha Viwanda kama + kuhudumia zaidi ya watu milioni 11? Hivi inaweza kuita hiyo chuki kweli?
Sio kweli.Rwanda na burundi wanategemea umeme kutoka DR CONGO kwenye bwawa la INGA
Hata wewe mwenyewe nina uhakika hauamini ulichokiandika, unachokitetea na kukipinga!
Harafu angalia tena source ya habari yako unangalie ni figure za mwaka gani,Rwanda electricity production ni zaidi ya 100mW..
Nijuavyo ni 218mW na mwaka 2024 just 5 years from now Rwanda itakuwa covered 100% yaani kila nyumba itakuwa na umeme::
Source. https://www.usaid.gov/powerafrica/rwanda
Mkuu nadhani kufanya assembly ya gari inaweza kutumia umeme kidogo kuliko umeme wa kufyatua engine block, gears, block zake, difu na kadhalika...ufyatuaji wa components hizo unahitaji umeme / nishati ya gesi/ mafuta mwingi kuendesha hizo " foundry" za kuyeyusha vyuma nakadhali. Hii pia inaweza kuwa sababu kwa kuanzisha hiyo kiwanda ya kuasembo simu. Nikosolewe nilipokosea. Karibu.Hiyo Megawatts 100 ni Umeme unaitumiwa na nchi ya Rwanda, hivyo hata huo wa ktk Kongo na kwingineko unafanya hiyo 100 MW!
32%Hivi huwezi kufanya research nyingine ya maana,kwa nini roho inakuuma ukisikia positive stories juu ya Rwanda?