P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

Kila kitu kuhusu Rwanda kiko overrated kasoro Ubaya wa Kagame
Nje ya Kigali Rwanda ni Hovyo
Angalia Mji wapili Baada ya Kigali
images.jpeg
16159567.jpeg
images(1).jpeg
images(2).jpeg
images(4).jpeg
 
Kila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na hongera zao.

Mimi langu ni moja, Rwanda ina watu zaidi ya milioni 11 na mpaka leo hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatts 100 (100 MW) tu, hivyo viwanda wanapawa na nini, generator, au?

Mimi sidanganyiki, labda hao wengine, 100 MW hakuna kitu utafanya, ...
Madikteta wote duniani huwa wanapenda kuonekana wanaleta Sana maendeleo. Hubana vyombo vya habari na kupika takwimu. Hii ndio tabia kuu ya madikteta wote.

Kiuhalisia, hakuna dikteta anayeweza kuleta MAENDELEO.
 
Installed capacity siyo actual capacity ya mfumo wa nishati. Kuna masuala ya efficiency hapo!! Sidhani kama mifumo yao ya umeme kwa ujumla wake inaweza kuwa na capacity factor zaidi ya 40%. Sasa ukichukua hiyo 218MW ukatafuta capacity factor yake unakuta haizidi 40% kiasi kwamba kusema Rwanda wana umeme wa uhakika wa 100MW nikuwasingizia. Hii ni kwa mujibu wa takwimu mlizoleta.
Hivyo, mleta mada anaweza kuwa na hoja.
C.c: Kabare12 na wa kupuliza
Kiongozi hebu wewe msaidie mshkaji kuleta source ya kuonyesha umeme wao ni MW 100.
 
Wewe mwenye 1500 MW umeweza hata Kuutumia tu huo Umeme ili uwe na Viwanda vyako vya Kutengenezea Chupi za Wananchi wako kiasi kwamba hadi hivi leo uachane na Kutegemea Chupi za Mitumba zinatoka katika Viwanda vya wenye Akili zao huko Ulaya? Wakati mkiteseka na Rwanda yenyewe inazidi Kuwakimbia Kimaendeleo na Kimkakati huku nyie mkibaki kupiga tu ' mark time ' Kimaendeleo hadi leo wakati hata kupata Uhuru mliwatangulia Warwanda.
Ni Makosa makubwa kulinganisha maendeleo ya Rwanda na Tanzania. Hizi nchi japo ni jirani, hazifanani. Kwa hiyo mnapoteza muda wenu tu. Pili nchi hizi kama nchi zote duniani zina geniuses na idiots. Angalieni sana msiangukie kundi la pili.

Kwa taarifa tu, ukubwa wa Tanzania ni Kenya + Uganda + Rwanda + Burundi + Malawi. Rwanda wakipiga hatua ni jambo jema, maana ni jirani zetu na waafrika wenzetu. Hakuna haja ya kuwa na hasira wala wivu. Na Tanzania ikipiga hatua ni jambo jema. Hakuna haja ya kashfa wivu wala matusi...
 
Cha kushangaza hizo hizo MW100 na hakuna mgawo wa umeme, mataa ya barabarani + mataa ya kuongozea magari. Mjini nyumba zina umeme plus anajenga miji mipya Airport kubwa mpya ile ya zamani full A/C 24hrs. Sijui hizo 100Mw wanazichezeshaje kutosheleza mahitaji yote hayo.
 
Hata 218mw hamna kitu. Nchi yote mnaweza kutumia jenereta 2 tu. Ingekuwa angalau 500 _600 mw tungeanza kuwasoma.
Natetea na kupinga nini?hueleweki

RWANDA POWER AFRICA FACT SHEET
ENERGY SECTOR OVERVIEW

The Government of Rwanda envisions transitioning from a developing country to a middle-income country. To achieve this goal, the government is targeting 100% electricity access by 2024. Rwanda is endowed with natural energy resources including hydro, solar, and methane gas. It currently only has 218 MW of installed generation capacity. According to the International Energy Agency (IEA), Rwanda’s national electrification rate is estimated at 30% (12% in rural areas, 72% in urban areas).

Source: https://www.usaid.gov/powerafrica/rwanda

Haya weka source yako kuonyesha wana generate 100MW.
 
Kila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na hongera zao.

Mimi langu ni moja, Rwanda ina watu zaidi ya milioni 11 na mpaka leo hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatts 100 (100 MW) tu, hivyo viwanda wanapawa na nini, generator, au?

Mimi sidanganyiki, labda hao wengine, 100 MW hakuna kitu utafanya, ...
Wivu tu!
Karibu Rwanda ...
 
Barbarosa mbona kakaa kimya? 100mW umepapata wapi?
Na utadanganyika sana mwaka huu Hhahaha!!
 
Afu hizo simu nina wasiwasi nazo serikari yetu ya Tanzania izikague ipasavyo kama watazileta Tanzania kwa matumizi ya watu isije ikawa mbinu ya Rwanda kuchukua siri za nnchi yetu (kufanya inteligensia) ikawa rahisi kutudukua na ikawa shida Hapo Baadae Kwa kudukua taarifa muhimu(siri za nnchi)
Upo sahihi
 
Wewe mwenye 1500 MW umeweza hata Kuutumia tu huo Umeme ili uwe na Viwanda vyako vya Kutengenezea Chupi za Wananchi wako kiasi kwamba hadi hivi leo uachane na Kutegemea Chupi za Mitumba zinatoka katika Viwanda vya wenye Akili zao huko Ulaya? Wakati mkiteseka na Rwanda yenyewe inazidi Kuwakimbia Kimaendeleo na Kimkakati huku nyie mkibaki kupiga tu ' mark time ' Kimaendeleo hadi leo wakati hata kupata Uhuru mliwatangulia Warwanda.
elezea 100mw zinaendeshaje viwanda vyote hivyo,acha kupiga kachabari
 
Hata 218mw hamna kitu. Nchi yote mnaweza kutumia jenereta 2 tu. Ingekuwa angalau 500 _600 mw tungeanza kuwasoma.
pale dodoma palikuaga na generator,miaka ya 90 likauzwa sijui kenya,lile generator linawasha umeme rwanda yote na burundi
 
Kawaulize hao Wahutu wako hapa Juzi kati Waliwauwa ' Kikatili ' kabisa Wanyarwanda Mji ulio Mpakani ila ' Revenge ' yetu Kwao haikuwa ya Kitoto kwani tulichowafanya katika ' Oparesheni ' ndogo tu na ya muda mchache imeacha Majonzi makubwa huko Kwao Burundi na wanashindwa hata Kulalamika UN na Kwingineko kwakuwa kila Mtu ameshajua kuwa Wao hasa kupitia Serikali yao ndiyo wamekuwa ' Wachokozi ' Kwetu. Na siyo tu Burundi bali hata Wanajeshi wa nchi yako unayotoka Mkuu ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) nao wakitaka Kupata Kipigo cha ' Kishalubela ' kutoka kwa Wanyarwanda chini ya Jeshi letu Imara na ' lililobarikiwa ' Kivita, Kimbinu na Kimkakati la RDF tunawakaribisha kisha tutakachowafanya mtajuta hata kwanini ' mlituchokoza ' Wanyarwanda ( Watutsi ) Sisi.
Ukabila ni ugonjwa mbaya sana! ukiugua ugonjwa huo unakuwa mjinga wakutupwa! haya bwana watu wamekusikia mko vizuri sana nyie, nyie siyo wafrica ni waisarael tena mmebarikiwa sana sana. Nyie ni watu wa pekee sana.
 
Back
Top Bottom