P-Funk naye aishukia Clouds FM

P-Funk naye aishukia Clouds FM

Haya ni moja ya njia ya kupambana nao ila sasa inatakiwa mapambano chaya I mean fair compatation business in music industry. Kwa hoja yangu hapo juu utangua hakuna ushindani sawia ila unyonyaji kwa upande mmoja.
 
Nani anatakiwa asimamie fair competion ya music industry?,mbona haonekani?,mbona matusi yanayo mstahili anapewa Clouds?.Au clouds ni competitor na at the same time ni msimamizi wa industry?
 
Hivi kweli inawezekana kumzuia mtu kupiga nyimbo 'zako' ambazo kazinunua yeye mwenyewe? Stupid!
 
Hivi kweli inawezekana kumzuia mtu kupiga nyimbo 'zako' ambazo kazinunua yeye mwenyewe? Stupid!

wewe ujui sheria za haki miliki hapa ongea tu kwa kua ujui usemalo ni PM nikupe namba za majani may be atakueleza vizuri. sawa mkuu
 
wewe ujui sheria za haki miliki hapa ongea tu kwa kua ujui usemalo ni PM nikupe namba za majani may be atakueleza vizuri. sawa mkuu

Nikinunua albamu kwa machinga iliyotengenezwa na huyo f.ala Majani halafu niipige disko atanizuia kuipiga kwa misingi gani?
 
Nani anatakiwa asimamie fair competion ya music industry?,mbona haonekani?,mbona matusi yanayo mstahili anapewa Clouds?.Au clouds ni competitor na at the same time ni msimamizi wa industry?

Tatizo hawa Jamaa wamehodhi sanaa nzima kuna chama cha wasanii Tanzania wao WAFUFM wamejiingiza kama nao ni wasanii kuna mashirikisho ya wasanii nao wamo sugu aliweka kongamano tuu nao wakaitisha konganano lao rais alitoa studio iwasaidie wasanii mpaka leo Ruge kahodhi kama yake na tht, wana kampuni ya kuuza kazi za wasanii kufanya matamasha makubwa na kuwalipa kiduchu wasanii kwa kusingizio cha kupromot music kufanya matamasha radio na tv zao pamoja na propaganda za kuua aina ya music usiotokana na kituo chao cha tht wakilazimisha wasanii wafuate mfumo huo kama hutaki husikiki tena wala wimbo wako hautapigwa WAFUFM yote hayo wameumiza wengi sana kumbuka music ni Sehemu ya maisha ya watu huwezi kubadili hili so wengi wa wasanii ni wahanga lakini hawana nguvu ya pamoja kusema haya mpaka mkongwe Sugu alipoanza harakati hizi Ndipo wengi wanajitokeza naamini Haya ya kunyonya wasanii kuwalipa kiduchu kwenye kazi zao za matamasha yatakwisha kwa kusemea ukweli huu bila SONI. Lakini kubwa ni clouds media na kampuni zao zote tanzu waache kuhodhi sanaa ya music kana kwamba nao ni wanamuziki.
 
uploadfromtaptalk1370024350940.jpg
Akiwa na mchomvu wa clouds, wenzenu wanatengeneza mabifu ya kuuzia kazi zao nyie mnatoka povu
 
Kwenye studio yake ndio kijiwe cha bangi na unga {drugs} za aina . Pamoja na vilevi vingine . Leo sasa vijana aliowafundisha ulevi wake wanaanza kufariki sasa eti anaibuika na kuilaumu clouds . Kweli mvuta bangi ni mvuta bangi tu. Unatafutia umaarufu kupitia kwa marehemu. Haya khalfan aka majani au kinywele kimoja
Watu watakuponda sana coz' inawezekana hata huko Studio hawajawahi kufika.....ulichosema ndio ukweli wenyewe...studio nyingi ni vijiwe vya kula bhangi. Hili kwangu si la kuambiwa, bali ni la kushuhudia mwenyewe!! Back then(2001), cku yangu ya kwanza kabisa kwenda Studio (sio Bongo Records)kufanya recording! Nikaambiwa niimbe(nichane), nikafanya, na jamaa kabla ya kubuni beat ya mdomo; wakavuta kasha la ganja! Jamaa wakala bhangi pale hadi nikatishwa na ile spidi ya ulaji wao! Sikuwa mgeni na yale mambo ingawaje wakti huo nilikuwa nishaacha!!!! Lakini pamoja na kutokuwa mgeni, spidi ya wale jamaa ilikuwa inatisha! Hapa ninaposema, mmoja wao yupo nyang'anyang'a kwa sasa, na mwenzake sijui kafia wapi!!! Hata leo hii, ukienda maskani nyingi za wasanii, ni bangi kwa kwenda mbele hata kwa wale ambao hawajatoka! Kuna dogo mmoja ana bonge la Talent, nilikuwa namsapoti kimtindo....sooner later, nikaja gundua kwamba dogo anakula bhangi vibaya mno...chai yake ilikuwa Kubeli....mpumbavu yule nae keshapotea na sizani kama alishawahi kukaa meza moja na akina Ruge wanashutumiwa kuwapa frustrations wasanii!! Wasanii wa bongo flavor ni majanga....hapa jukwani wengi wao wanawafahamu hawa jamaa kupitia kwenye video na majukwaa...na hata wale ambao wanawafahamu physically, wanawafahamu wakati wameshatoka!!

Kwa hiyo ni ukweli mtupu, Bongo Records ni kijiwe cha wala ganja, labda waache sasa! P-Funk mwenyewe kuna aiku alikuwa anahojiwa na Salama Jabir (Mkasi), bila aibu akasema alianza kula ghanja tangu akiwa na umri wa miaka 11...!!! Ukien
 
Wakuu msikilzeni P funk mwenyewe aliyekuwa karibu na Marehemu sio umesimuliwa na dada yako mnakuja kuleta umbea wa kike.

1st of all P funk alipinga Madawa ya Kulevya that why alimuita na kumuuliza Marehemu abt if he use Drugs na Ngwea alikuwa kama mkali flani,,so hadi dakika hii ni Majani peke yake aliyekiri kama Marehem alikuwa anatumia Drugs.
Majani anaweza kupinga unga lakini sio ghanja; by the way hata asili ya neno lake majani ni kuhusu bhangi!! So, simple rule ni kwamba ukishaanza kutumia bangi itafika wakati kwako itakuwa kawaida tu na utalazimika kutfauta kitu kingine cha kukupa stimu zaidi!! Acha ubishi wako na kutegemea recorded videos; utakuwa ufahamu staili ya hawa watu....jamaa ni wala bangi kufuru tena wengi wao wakiwa hata huko Clouds hawajawahi kutia mguu wanakuwa tayari wameshakuwa addicted!
 
vijana wa kitanzania ni mabingwa wa kufuata mkumbo na malimbukeni.kina dr DRE na SNOOPY wana act kuitukuza bange ili kupata wapenzi(wateja) wa kazi zao.wao wanaishi maisha ya kawaida na familia wanazo.hapo tz wasanii ni mateja mbwa wasio na future yeyote ile.Majani (P FUNK)maisha yake yanaongozwa na bange ! mfano alivyomfanyia Kajala alipojifunguaga mtoto,mtu mwenye akili timamu zisizo ongozwa na msuba awezi yafanya
 
Kwenye studio yake ndio kijiwe cha bangi na unga {drugs} za aina . Pamoja na vilevi vingine . Leo sasa vijana aliowafundisha ulevi wake wanaanza kufariki sasa eti anaibuika na kuilaumu clouds . Kweli mvuta bangi ni mvuta bangi tu. Unatafutia umaarufu kupitia kwa marehemu. Haya khalfan aka majani au kinywele kimoja

Wewe kweli ni KUPE.
 
Aliyoyaongea p.funk nahs yana ukweli ndani yake,coz yeye ndo kaanza nao mbali mziki wa bongo anajua shida zote ambazo msaniianapitia kabla ya kutoka,wasanii wanaogopa kusema ukweli juu ya clouds kwa kuogopa kuachwa kupigiwa promo,amesanda kala pina na kikosi cha mizinga utafikiri wataweza hao watoto wadogo,hii ni vita inabidi ujiandae naamini hawa waliaoanzisha hv vita wote wamejiandaa.
 
mkuu Sisi tunaongea mambo ambao hatujui majani kaanza kurekodi mwaka 1995 AKIWA 15 AGE BAADA YA KUHITIMU MASOMO UHOLANZI (SAE INSTITUTE OF ENGENEERING) na kama tunakumbuka kipindi hicho clouds haikuepo bali ilikuepo radio 1 ambao ndio waliochangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa muziki wa bongo fleva JE KWANINI HAWA CLOUDS AMBAO NDIO WAMEANZA KIPINDI CHA 2000s Ndio wanyoshewe kidole na kama mnakumbuka haya masuala ya majani na ruge hayajaanza mda huu,ruge kwa ulafi wake alimmega sinta wa juma nature ndio hapo ugomvi ulipoanza trace songs like sitaki demu na kisa demu kwaiyo CLOUDS HAWAFAI.
 
kwa PAUL hata rughe anakaa kamulize kalapina wakati anarekodi bongo records hakuwai ata siku moja kuimba nyimbo za matusi alibaki tusema majani unatubania P Mtoto wa mjini viunga vyote vya wamafia hapa town wanamjua na huyo Adam atadundwa tu mbona kawaida yake.
 
Majani anaweza kupinga unga lakini sio ghanja; by the way hata asili ya neno lake majani ni kuhusu bhangi!! So, simple rule ni kwamba ukishaanza kutumia bangi itafika wakati kwako itakuwa kawaida tu na utalazimika kutfauta kitu kingine cha kukupa stimu zaidi!! Acha ubishi wako na kutegemea recorded videos; utakuwa ufahamu staili ya hawa watu....jamaa ni wala bangi kufuru tena wengi wao wakiwa hata huko Clouds hawajawahi kutia mguu wanakuwa tayari wameshakuwa addicted!

Usikurupuke wewe kama umefumaniwa,,,anzia mwanzo wa thread hii utaelewa nilichoandika.
Nimesema Majani alikuwa anavuta bangi sijakataa na studio kwake walikuwa wanavuta bangi ila hawajawahi kuvuta unga,msiongeze chumvi vitu vingine kama hamjui,,Nimeshaenda sana pale Bongo Record japo mi sio Msanii.

ONGEA KITU UNACHOKIJUA SIO UNACHOSIKIA...
 
Sasa nani kati yetu anategemea maneno ya kusikia? Mimi au wewe unaefanya reference kwenye video? By the way, wapi nimesema Bongo Records ni kijiwe cha wala unga?halafu unajifanya unajua sana maneno machafu....sasa sikiliza, tafuta namba zingine za kuchezea; endelea!
 
mkuu Sisi tunaongea mambo ambao hatujui majani kaanza kurekodi mwaka 1995 AKIWA 15 AGE BAADA YA KUHITIMU MASOMO UHOLANZI (SAE INSTITUTE OF ENGENEERING) na kama tunakumbuka kipindi hicho clouds haikuepo bali ilikuepo radio 1 ambao ndio waliochangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa muziki wa bongo fleva JE KWANINI HAWA CLOUDS AMBAO NDIO WAMEANZA KIPINDI CHA 2000s Ndio wanyoshewe kidole na kama mnakumbuka haya masuala ya majani na ruge hayajaanza mda huu,ruge kwa ulafi wake alimmega sinta wa juma nature ndio hapo ugomvi ulipoanza trace songs like sitaki demu na kisa demu kwaiyo CLOUDS HAWAFAI.
mi nahisi kisa ambalo llinaoelendelewa kufanywa na hawa wanaoisema vibaya clouds ni kuweka wzai kila kitu abc kwa jinsi ambavyo clouds wanahusika katika kuharibu mziki wa bongo na kuwahujuu wasanii na kusite mifano hapo itakuwa mwisho wa habri lakini kila siku tukiendelea kulalamika hatutafika kokote na sanasana tutawaweka baadhi ya watu njia panda
 
Back
Top Bottom