P-Funk Majani umeteleza kumshambulia binti yako kwenye radio, wewe ni sehemu ya tatizo

Singo maza wengine matatizo sana. Wanawafundisha watoto umalaya kwa matendo yao. Mtoto anafanya kuiga tu
 
Historia ya kjla ni mapepe tokea akiwa shule ya msingi...mambo mengi hajaanza leo wala jana kwanza yule ni juventus tu ila mwili wake uko vizuri

Ova
 
nje ya uzuri hana future yoyote.....usinitajie fashion designer kama utataja hiyo nioneshe hata vazi moja alilowaho designing......angerudi shule naimani mama ake na baba ake wasingeshindwa kumtafutia connection ya kazi kwa viongoz
Kwan binti kazingua school? Nafkr bint anataka school inayohusu modelling fashion
 
Kwanini huyo Paula ameweka bendera ya Holland na Tanzania kwenye Instagram profile yake kama anadai Majani siyo baba yake? Kanajiona kazuri utadhani full half-caste kumbe Mbantu tu. Halafu katakuwa kafupi sana. Kama 5 feet 2 inches hivi.
 
We jamaa upande mwingine una logic ila tatizo hoja zako huwa sahihi upande mmoja tu ila wengine wanakosea.

Hivi kipindi kile Diamond anaenda kuongea kuhusu kumkana mtoto wa mobetto tena kwenye media uliona yupo sahihi? hukuona kama alimdhalilisha mtoto na mama wa mtoto? mbona hukukemea au hukuwa umejiunga JF?....Jitahidi uwe balanced.

Hivi kipindi diamond anamkataa mtoto tena kwenye nyimbo kabisa (nazani ni kwenye Fresh remix), ulikuwa wapi kuandika uzi wa namna hii?...Hebu kuwa balanced.

Sitaki kujua kama Majani yuko sahihi au sio sahihi..ila huna sifa ya kumkosoa tukifanya reference ya matukio ya nyuma ya Boss wako..Hivi majan kama angefanya ile interview neat fm bado ungekuja na hii thread??
 
Huwezi mtupia Majani kama baba, alisimama awezavyo. Hata alishauriana na mama na kukubaliana mtoto asishike simu kipindi anasoma, ila jamaa akitoka Kajala anampatia simu mwenyewe. Bado useme yule dogo alounganishiwa akaanza kumfinga dogo bado hajavunja unga napo Majani anahusika. Lawama zote apewe mama, Majani alipiga kelele sana kipindi mtoto hata sekondari hajaanza ila mama mtu hasikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…