Umenena vyema mkuu na ndio maana maeneo hayo kama Shirati na Tarime ni rahisi kufikika na gari zinazokwenda huko hasa Tarime kwa mtu anaepasikia atashangaa kwanza akiingia kwenye gari kwa jinsi zilivyo za kiwango cha juu tofauti hata na zile zinazofanya safari za makao makuu ya mkoa kwenda makao makuu ya mkoa (lets say Dar - Dom). Kila nusu saa gari zinachomoka kwenda Mwanza na kurudi vivyo hivyo na hii inaonyesha kwamba jamaa ni wapambanaji na wana mzunguuko mzuri wa fedha
Ila hapo bold jamaa ni wajaluo hao mkuu kama huyo La Kairo ni wa Utegi na Wenje sina uhakika wa wapi ila ni mjaluo
Endelea 'kusikia'
Hivi kuna mkurya alikuzalisha akakuacha acha kiherehere kwanza hakuna mkurya anaweza kukuoa wewe kafie usukumani.
Sio! kwani vipi?
Kumbe... tuliwahi kusoma moja ya hizo mila ni wanaume kupiga wake zao kama sign ya upendo
Asipokupiga ujue hakupendii
Kumbe... tuliwahi kusoma moja ya hizo mila ni wanaume kupiga wake zao kama sign ya upendo
Asipokupiga ujue hakupendii
Kumbe... tuliwahi kusoma moja ya hizo mila ni wanaume kupiga wake zao kama sign ya upendo
Asipokupiga ujue hakupendii
Navyopenda sifa,hapa kabira rangu kusifiwa basi nimefuraaaaaaaaahi kweli kweli
Wakurya utawajua tu kwenye hii thread
Bora hata ya hao wakurya, kuliko hawa mwanaume ana gubu, mwanaume ananuna utafikiri uanaishi na mke mwenzio
muda wote uko humu,maku unaosha muda gani nyakibhono!?
Wakuu nimekaa na wakurya sehemu mbalimbali, hawa watu wamenivutia kwa confidence waliyonayo.
Sio waongeaji lakini wanajiamini sana wanapofanya jambo.
Hawa jamaa kila nilipokuwa nao karibu nilishuhudia wadada wengi wakijipiga vikumbo kwa kuwatamani, hii ilinifanya nijione mdogo sana na kutaka kujua kwanini wako hivyo?
kuna watu waliniambia hao jamaa wamezaliwa hivyo, wengine wanasema ni urefu wao maana wengi wao ni warefu.
Wakuu naomba kujua kwanini hawa jamaa wako hivyo?
siwapendi wakurya maana1.sura hawana
2.hela hawana
3.mapenzi hawajui
4.WAO MIKWARA TU dammmmnnnnn
Naona akili yako nusu umefikiri nipo tu humu all the time n hivi hua natumia app ya jf so sijalog out na hua si log out halaf nikiwa huku wewe umepungua wapi maku yangu inakuhus nin angalia ya mkeo usitake kujua yangu inaoshwa muda gani hiyo sio kazi yako wala jukumu laki usitake kujitia tia kama ushuz wa ngomani