Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Nimeitika nambie
Last edited by a moderator:
Wakurya wana confidence wakiwa na panga mkononi tu...
Wewe una confidence ukiwa na nini mkononi mkuu?
Tumtendee mleta uzi haki kwa kujadili dhima ya uzi wake... wakurya
Kuna watu hata hilo panga wakiwa nalo ukiwazingua ujue watalitupa panga na kukimbia, ila ukitaka kujua kama wakurya wana confidence ukimuona na panga nenda kamzingue urudi kwenu bila shingo
Na ukitaka kujua hana confidence mzingue akiwa hana panga uone mbio zake
haswaaaaa lakin wanapendwa sana
Na ukitaka kujua hana confidence mzingue akiwa hana panga uone mbio zake
Manka, shukran, Mimi nauliza swali, okay wakuriya wanapiga, sawa. Lakini mbona ndoa zao hata wanapooana na makabila mengine zinadumu kuliko zile za makabila ya "mke anapigwa kwa khanga"? Somebody is not telling the whole truth!!!
What is the whole truth sir?Manka, shukran, Mimi nauliza swali, okay wakuriya wanapiga, sawa. Lakini mbona ndoa zao hata wanapooana na makabila mengine zinadumu kuliko zile za makabila ya "mke anapigwa kwa khanga"? Somebody is not telling the whole truth!!!
What is the whole truth sir?
short and clear hawatahiriwi
hao si ndio nasikia wanawapiga wake zao.........
siwapendi wakurya maana1.sura hawana
2.hela hawana
3.mapenzi hawajui
4.WAO MIKWARA TU dammmmnnnnn
short and clear hawatahiriwi
Wakurya wapo safi sana...mkurya akikupenda huwa ni forever and ever tena ukifuata yale mnayokubaliana hapo atakupenda sana.
Mwanaume confidence bhana...
Tatizo siyo kwamba wana mikwara ila ni wakati gani mkwara utakuwa vise versa! hapo ndo mabinti wengi wanapata tabu sana...
Wapo peace sana hao jamaa tatizo lao tu ni hilo tu la kupiga lakini mpaka akukung'ute ni mmemwonyesha dharau za hali ya juu sana na amevumilia yamemfika, jamaa yanajua kujali familia zao ikiwa kuhakikisha zinaishi maisha mazuri achana hawa wa mjini wanapenda kutisha watu kila mkimchokoza anakuambia "mie Mkurya shauri yako lakini wenyewe huwa hawana story ndefu". Alafu sio wanafiki akisema hapana maana yake hapana na akisema ndiyo ni ndiyo kutoka moyoni sio kama wenzangu na mie unakuta unachekacheka kumbe moyoni unalako jambo. Ukifanikiwa kutembelea Tarime utajionea mwenyewe japokuwa jamii ya Watz wengi wanawatambua kama ni wakorofi lakini si kweli kwamba ni wakorofi kivile mpaka uingie kwenye 18 zake
Mwanapropaganda;Wakuu nimekaa na wakurya sehemu mbalimbali, hawa watu wamenivutia kwa confidence waliyonayo.
Sio waongeaji lakini wanajiamini sana wanapofanya jambo.
Hawa jamaa kila nilipokuwa nao karibu nilishuhudia wadada wengi wakijipiga vikumbo kwa kuwatamani, hii ilinifanya nijione mdogo sana na kutaka kujua kwanini wako hivyo?
kuna watu waliniambia hao jamaa wamezaliwa hivyo, wengine wanasema ni urefu wao maana wengi wao ni warefu.
Wakuu naomba kujua kwanini hawa jamaa wako hivyo?
wanajua kulea ila wana papara sana kitandani....