Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Wakuu nimekaa na wakurya sehemu mbalimbali, hawa watu wamenivutia kwa confidence waliyonayo.
Sio waongeaji lakini wanajiamini sana wanapofanya jambo.
Hawa jamaa kila nilipokuwa nao karibu nilishuhudia wadada wengi wakijipiga vikumbo kwa kuwatamani, hii ilinifanya nijione mdogo sana na kutaka kujua kwanini wako hivyo?
kuna watu waliniambia hao jamaa wamezaliwa hivyo, wengine wanasema ni urefu wao maana wengi wao ni warefu.
Wakuu naomba kujua kwanini hawa jamaa wako hivyo?