La Kairo Hotel Mwanza ni mali ya mkurya mbunge Airo.
Matajili wa Mwanza ukiacha wenyewe Wasukuma ni Wakurya kama hao kina Chambiri na Gachuma.
Dili za mkoa wa Mwanza kwa kiasi kikubwa zimeshikwa na Wakurya na ndio maana hata Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje ni mkurya.
Mkoa wowote wenye border huwezi kusema watu hawana pesa, nenda Tarime au Shirati leo ukashuhudie bila kuwa na kalenda huwezi kujuwa leo ni jumangapi wala tarehe ngapi watu wanakula good time muda wote.
Mwisho Wakurya na mkoa mzima wa Mara kiujumla ni watu wamekwenda shule kiuhakika.
Si sahihi kwa mtu ambaye hajafika Moshi wala haijui Moshi aseme wachaga ni majambazi na Wamachame hawafai kuolewa wana tabia za kuuwa waume zao. Hizi ni kauli zinazoweza kutolewa na mtu mjinga tu na ambaye amekimbia shule.
Wakhatabahu.
Tata umenikumbusha mbali sana siku nilioamka saa tisa usiku kwenda kutahiriwa umbali wa kilomita 15 kwenda na kurudi kwa miguu kilomita 30, na hapo hapo nilitahiriwa na kisu alafu unamwagiwa spirit kikombe kizima!! Achana na hao wanaokunjwa magovi kwa ganzi. Hakuna mkurya mwanaume ambaye hajatahiriwa labda huyo kakulia mkoa mwingine!!
lakairo sio mkurya. ni mjaluo.
na pia shirati ni rorya kwa wajaluo sio wakurya..
amna ezekiel wenje ni mjaluo sio mkurya.
asilimia kubwa ya matajiri na watu walioelimika sana kutoka mkoa wa mara ni wajaluo sio wakurya.
wakurya kazi yao kwenda sehem za wajaluo huko rorya, utegi na shirati kwenda kuiba mifugo.
wakurya wenye hela ni wachache sana na sana jamaa wamekalia ubabe tu
Haya ndio matatizo ya kujifanya unajuwa wakati hujui Rorya ilikuwa ni jimbo moja la Tarime.
Mabere Marando, Wenje na La Kairo wote wanatoka Rorya, La Kairo kwake ni utegi na hawa wanaitwa Abasubi au wasubi na Mabere Marando na Wenje wanatoka Shirati Gate way to Kenya Kisumu.
Unaposema mkoa wa Mara wasomi ni wajaluo unaijuwa population ya Wajaluo? Unajuwa mkoa wa mara una wilaya na majimbo mangapi? Wazanaki, Waikizu na Wagita unawaweka wapi? Umeshafika Zanaki wewe?
Mkuu kama mtu akakupeleka Tarime pale mjini alafu asikuambie huwezi amini kama ndio Tarime unayoisikia kwanza ni wilaya ambayo ni busy yaanai kama vile Aboud anavyofanya safari za Dar - Moron ndivyo hivyo hivyo utakuta kuna gari zinafanya safari za Tarime - Mwanza na kinyume chake na kila baada ya nusu saa kitu kinaondoka (na ni bus mpya Youtong zaidi ya 20 zinafanya safari na level seat) na papo vizuri japokuwa ni wilaya (huduma za bank ya CRDB, NBC na NMB zipo), papo kama Njombe au Karatu vile huku mazingira yake yakiwa kijani kabisaMy next vacation spot is Tarime!:cool2:
acha ubishi kaka mimi hapo shirati ndipo mke wangu anapotoka. napajua vizuri sana.
wenje na lakairo ni wajaluo na sio wakurya full stop.
tarime na rorya ni majimbo mawili tofauti na ni wilaya mbili tofauti zenye halmashauri mbili tofauti.
usibishe kitu usichokifaham.
mbunge wa jimbo pa tarime anaitwa nyambari nyangwine na mbunge wa jimbo la rorya anaitwa lameck airo aka lakairo na ndie mwenye lakairo investment.
sasa tangu lini tarime na rorya ikawa jimbo moja?
Sina muda kubishana na mtu aliyekwenda sehemu kuoa tu halafu anajifanya anajuwa wakati hujui kitu.
Tarime na Rorya ilikuwa ni wilaya moja na jimbo moja na liliitwa jimbo la Tarime, wabunge wa kwanza wa jimbo jipya la Rorya ni Profesa Sarungi kupitia Ccm na Mabere Marando kupitia Nccr Mageuzi na halmashauri wamepata juzijuzi tu mpaka kukawa na mgogoro makao makuu yakae wapi kati ya Shirati na Utegi.
Wewe umekwenda sehemu kuoa tu hujui kitu muulize mkeo Abhasubi ni kina nani ndio atakupa tafsiri.
Usije kujidanganya Mmchame, Mmeru, mkibosho, Mmarangu na Mrombo kwamba ni watu tofauti hawa wote ni wachaga.
Kitu Usichokijuwa ni bora ukae kimya wasiotahiri ni wajaluo, Wakurya wanatawaliwa tena bila ganzi na kwa wale wanaoishi ufukweni mwa Ziwa Victoria kama hujatahiriwa huruhusiwi kuoga upande wa wanaume na hata kama ulipotahiriwa ulilia pia marufuku kuoga upande wa wanaume.
lakairo sio mkurya. ni mjaluo.
na pia shirati ni rorya kwa wajaluo sio wakurya..
amna ezekiel wenje ni mjaluo sio mkurya.
asilimia kubwa ya matajiri na watu walioelimika sana kutoka mkoa wa mara ni wajaluo sio wakurya.
wakurya kazi yao kwenda sehem za wajaluo huko rorya, utegi na shirati kwenda kuiba mifugo.
wakurya wenye hela ni wachache sana na sana jamaa wamekalia ubabe tu
Endelea 'kusikia'hao si ndio nasikia wanawapiga wake zao.........
kwa hiyo unamaanisha mjurya na mjaluo ni kabila moja?
siwapendi wakurya maana1.sura hawana
2.hela hawana
3.mapenzi hawajui
4.WAO MIKWARA TU dammmmnnnnn
[/COLOR]Red & Blue: Ushahidi tafadhali vinginevyo ni umbeya
lakairo sio mkurya. ni mjaluo.
na pia shirati ni rorya kwa wajaluo sio wakurya..
amna ezekiel wenje ni mjaluo sio mkurya.
asilimia kubwa ya matajiri na watu walioelimika sana kutoka mkoa wa mara ni wajaluo sio wakurya.
wakurya kazi yao kwenda sehem za wajaluo huko rorya, utegi na shirati kwenda kuiba mifugo.
wakurya wenye hela ni wachache sana na sana jamaa wamekalia ubabe tu
short and clear hawatahiriwi
wanajua kulea ila wana papara sana kitandani....
tata muraa.... Amang'ana