20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
short and clear hawatahiriwi
Hutujui wakurya wew,,,,tunapigwa kisu bila ganziii..hapo ndo unakuwa Muraa
short and clear hawatahiriwi
Kuna watu hapa wana tabia za kasuku hata kwa mambo wasiyoyajuwa, ni bora kuuliza uelimishwe.
na wewe pia unawapenda?haswaaaaa lakin wanapendwa sana
mabahiliiiiiiiiiii ishiiiiiiWakuu nimekaa na wakurya sehemu mbalimbali, hawa watu wamenivutia kwa confidence waliyonayo. Sio waongeaji lakini wanajiamini sana wanapofanya jambo. Hawa jamaa kila nilipokuwa nao karibu nilishuhudia wadada wengi wakijipiga vikumbo kwa kuwatamani, hii ilinifanya nijione mdogo sana na kutaka kujua kwanini wako hivyo? kuna watu waliniambia hao jamaa wamezaliwa hivyo, wengine wanasema ni urefu wao maana wengi wao ni warefu. Wakuu naomba kujua kwanini hawa jamaa wako hivyo?
Duuh kuna kamsemo kua ''akileta shombo tunatia ndimu'' nadhani ndo kametumika hapa
Karibu mkuu
mabahiliiiiiiiiiii ishiiiiii
La Kairo Hotel Mwanza ni mali ya mkurya mbunge Airo.
Matajili wa Mwanza ukiacha wenyewe Wasukuma ni Wakurya kama hao kina Chambiri na Gachuma.
Dili za mkoa wa Mwanza kwa kiasi kikubwa zimeshikwa na Wakurya na ndio maana hata Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje ni mkurya.
Mkoa wowote wenye border huwezi kusema watu hawana pesa, nenda Tarime au Shirati leo ukashuhudie bila kuwa na kalenda huwezi kujuwa leo ni jumangapi wala tarehe ngapi watu wanakula good time muda wote.
Mwisho Wakurya na mkoa mzima wa Mara kiujumla ni watu wamekwenda shule kiuhakika.
Si sahihi kwa mtu ambaye hajafika Moshi wala haijui Moshi aseme wachaga ni majambazi na Wamachame hawafai kuolewa wana tabia za kuuwa waume zao. Hizi ni kauli zinazoweza kutolewa na mtu mjinga tu na ambaye amekimbia shule.
Wakhatabahu.
hebu nikuulize kitu.. kishimba aliyekufa ndo yule mwenye ghorofa nyekundu miti mirefu au?Gachuma hana hela? Au hela hadi ziwe ngapi?
1 na 3 siisemei.
La Kairo Hotel Mwanza ni mali ya mkurya mbunge Airo.
Matajili wa Mwanza ukiacha wenyewe Wasukuma ni Wakurya kama hao kina Chambiri na Gachuma.
Dili za mkoa wa Mwanza kwa kiasi kikubwa zimeshikwa na Wakurya na ndio maana hata Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje ni mkurya.
Mkoa wowote wenye border huwezi kusema watu hawana pesa, nenda Tarime au Shirati leo ukashuhudie bila kuwa na kalenda huwezi kujuwa leo ni jumangapi wala tarehe ngapi watu wanakula good time muda wote.
Mwisho Wakurya na mkoa mzima wa Mara kiujumla ni watu wamekwenda shule kiuhakika.
Si sahihi kwa mtu ambaye hajafika Moshi wala haijui Moshi aseme wachaga ni majambazi na Wamachame hawafai kuolewa wana tabia za kuuwa waume zao. Hizi ni kauli zinazoweza kutolewa na mtu mjinga tu na ambaye amekimbia shule.
Wakhatabahu.
Shule yako juu ya wakurya ni ndogo mno. Kama unakula chips na upo Dar, uliza mayai au hao kuku wa nyama kwa kiasi kikubwa kinatoka wapi!!!!! Wanaojua watakwambia. Ama kuhusu utajiri na biashara inaelekea upo enzi za kijerumani za kina Odemba. Tembelea Musoma, Bunda, Tarime, Mwanza kisha fuatilia ni kabila lipi wanamiliki zaidi biashara.
Poleni kwa kuibiwa ngo'mbe (i assume wewe ni mjaluo). Lakini, kumbuka kwa miaka lukuki wamasai walikuwa wanakuja kuiba ngombe hadi maeneo yenu ya ujaluoni. Ni wakurya tuu tulio-put a stop kwa hawa wamasai. Sasa tozo kidogo la ujira wetu kwa kuwalindeni na mifugo yenu dhidi ya wamasai ndiyo "mna-mind" hivi?
siwapendi wakurya maana1.sura hawana
2.hela hawana
3.mapenzi hawajui
4.WAO MIKWARA TU dammmmnnnnn
We lazima umefaidika na wizi wa ngo'mbe za wajaluo ,,utetezi wa kipuuzi kabisa wamasai watatoka arusha kuja kuiba ng'ombe za wajaluo rorya? Matajiri wengi wa Tarime walitajirika kwa kupitia kuwaibia wajaluo ng'ombe na mpaka leo wakuria bado wanashuka ujaluo i kuiba ng'ombe, its a very very serious matter nyie wakuria mlioenda shule ndo mnatakiwa mtafute namna ya kuwaelimisha ndugu zenu kukomesha hii tabia mbaya ya wizi inayozidi kuleta chuki kati yenu na wajaluo lakini kinyume chake ndo nyie mnaongea mzaa mnaona kama sifa vile kuwaibia ndugu zenu ng'ombe.
Kama na kichwani zimo inavutia, ila kama ni vinginevyo bora nyumba ntobo.
Unahitaji kuwa na Degree ngapi kujuwa makabila yanayokeketa wanawake Tanzania?
Muulize Mama yako kama mimi ni kilaza atakujibu pimbi wewe.
Ulisoma wapi?shule gani,mko na nani?
Maswali mengi kwani we ni polisi
natoka hapaTaterema omosaghane ighanke?
Nina wax wax na iq yako.